Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Pakistan miaka ya nyuma alisaidiwa na USA kupigana na India.Taarifa ndani ya Iran zinasema Pakistan iliruhusu marekani kutumia anga lake wakati wa mashambulizi ya makombora huko Iran
Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iran😳
Mimi sidhani kama ni kweli.Ila wamarekani ni vituko 😀
US Secretary of State Rubio:
The US is prepared to talk to Iran.
Damage tunaona mkuu wanarekodi wao wenyewe.Tatizo ni hayo matango pori ya SUCCESSFULLY INTERCEPTED tokea upande wa yahudi
sasa sijaelewa point yako hapaIsrael ilishasema mwaka 1984 kwamba Iran ipo karibu kutengeneza nuclear weapon..
Ayatollah ndiye alikataa kutengeneza WMDs, lakini Iran ingetaka kuwa na nuclear bomb ingekuwa nayo, ni vile tu yule mzee alisema katika dini hairuhusu kuwa na silaha ya maangamizi kama nuclear...
Lakini Iran kwa miaka yote hio wakifanya urutubishaji wa uranium wangekuwa na bomb la nuclear, hata wao wanakiri na ilishatokea baadhi ya washauri wa Ayatollah kumshauri wa develop nuclear bomb mzee Ayatollah akakataa...
Haya tufanye kuna mlipuko mkubwa!Raisi wa I
Mkuu mlipuko kuwa mkubwa au wa kawaida hutegemea na kilichokua kinapigwa. Waliopo hapo wanaripoti kuwa mlipuko ni mkubwa
Mkuu unadhani idadi ya missiles zilizorushwa na Iran angalau 1/3 zingetua hali ingekuaje pale Israel?Tatizo ni hayo matango pori ya SUCCESSFULLY INTERCEPTED tokea upande wa yahudi
Taliban watoa statement kuishutumu marekani kupiga Iran
View attachment 3378908
AiseeDamage tunaona mkuu wanarekodi wao wenyewe.
Hizo za intercepted ni baadhi sio yote.
Kuna hypersonic missile ni ngumu kuzuia.
Iran huko serikali hairekodi chochote
Utafikili kama mambo ni swali.
Kwani anajifurahisha nini kwani telaviv imeanza kipigwa leo?Acha kujifurahisha
Nilikuwa nakujibu kwenye hii sentensi 👇 kwamba Iran ipo asilimia 90 kumiliki WMD, ndio maana nikakaumbia hayo madai yao ya kudai Iran inakaribia kumiliki WMD ni toka 1984 wanasema kitu hiko hiko, hawajaanza leo...sasa sijaelewa point yako hapa
labda lilikua gumu zaidi kulingana na muda ambao wenyewe walikua wanaona umebaki mana kwa maelezo yao wanasema irani ilikua ni kama imefika asilimia 90 kupata nuklia
Marekani na washirika wake wanaweza kuuangusha utawala wa Iran ila hawezi kuidhibiti serikali yoyote itakayokuja pale Tehran. Na hali ya uhalifu inaweza kuwa mbaya sana eneo hilo na ikamyumbisha Israel kuliko alivyo KhameneiTaliban oyeeeeh!
Wanangu sana hawa, wazee wa kazi!
Israel pekee! 😳 hivi huoni Iran anapigwa mandeIran has nothing to gain zaidi ya kuumia... Kama Israel pekee imeibadili Iran Kuwa Syria unadhani itaweza kudeal na USA?
1/3 ya Majengo ya Tel Aviv Either Yamebomolewa ama yameharibika Kiasi, According to Advisor wa Usa.Mkuu unadhani idadi ya missiles zilizorushwa na Iran angalau 1/3 zingetua hali ingekuaje pale Israel?
Just imagine kati ya makombora 100 halafu yanatua makombora 30 pale Haifa hali si ingekua kama Gaza !!??
Do you trust Muslims creatures