SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila Makobaz kwa midomo mko vzr sana 😂
 
Israel hawafichi kinachoendelea kwao.
Mimi nashangaa watu wanasema wanaficha mmmmmmh
Hawafichi maeneo ya kiraia yaliyopigwa, strategy yao sasa hivi ni kutafuta huruma, maeneo ya jeshi hayaoneshwi ila ya kiraia yanaoneshwa.

HQ ya MOSSAD iliopigwa umeona? Ile Hospital ilikua between two IDF bases ambazo impact ya kupigwa ziliathiri umeona video za Hizo base? Kumepigwa Biolab etc
 
CRUX ni channel ya zamani sana kijana. Ndio unaijua leo? It is owned by Catholic Church.

Uwe unafanya research kabla ya kuweka comment kama kitu hukijui
Sasa inamiaka mingapi (inamuda gani).
Na umiliki wa channel inahusianje na nilichokiandika au na mada ya huku?
 
View attachment 3379154
Hio channel ina subscribe 3 million
Lakini wameweka live video ya 9 days ago.
Inaonyesha mashambulizi Israel.

SIdhani kama Kuna mashambulizi labda tusubiri baadae au kesho.
Kupata subscriber fake si jambo ya kujigamba, angalia actual views za video ni watu 400 tu, so sio Chanel kubwa, kwanza kutafuta taarifa sahihi youtube unajisumbua tu. Youtube kimakusudi wanaziondoa na ku promote hizo fake news wanaongeza engagement.
 
Endelea kutupa update mkuu
 
Kupata subscriber fake si jambo ya kujigamba, angalia actual views za video ni watu 400 tu, so sio Chanel kubwa, kwanza kutafuta taarifa sahihi youtube unajisumbua tu. Youtube kimakusudi wanaziondoa na ku promote hizo fake news wanaongeza engagement.
Kuna mmoja alisema CNN wapo live sasa. Hio ya CNN .
Na inaviewer wengi.
Ila 2 days ago.
 
Hakuna aliyekaa kuwa Israel hakuna mashambulizi.
Israel mashambulizi Yapo Tena ni mengi tuu na uhalibifu mkubwa.
Ila kwa upande wa Israel ni mpk iran arushe makombola na drone.
Ndo mashambulizi yake hayo. Hakuna kingine wanachofanya.

Na SI kweli kwamba mda wote wanafanya mashambuli 24 hours hapana.

Mpk wachukue makombola kutoka site yalipofichwa wayashafirishe mbali na eneo Hilo,( hii inasaidia kulinda store ya makombola isije ikahalibiwa).
Mpk wayaweke kwenye kituo au launching site Kisha ndo wayarushe.

Kufanya hivyo inachukua mda.
Ni process ya masaa kadhaa.

Na wao wanayatoa kwenye store na kusafirisha na wanarusha usiku au asubui kwa sababu wakifanya hivyo mchana USA na Israel ni rahisi kujua wanayatoa wapi kwa njia ya picha ya satellite na kufanikiwa kuharibu kabisa store za missiles.

Ndo maana wanarusha uciku au asubui. Ni machache sana wanarusha mchana.
 
Ngoja Iran wafunge strait of Hormuz ,ndio utaelewa vita hivi itakuathiri vipi , watanzania mna akili na upeo mdogo sana ,lita ya diesel au petroli ikiuzwa buku 10 tu ndio utajua .

Na kuna mahali nimesoma Iran wako mbioni kufunga hiyo strait
Itaongeza chachu kwa nchi husika kuwekeza kwenye uchimbaji wa nishati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…