Mjinga ni tenyahu anaenda kuanzisha vita mpya huku jeshi likiwa limechoka na resource zimeisha unategemea wakubwa wakusaidieTuliposema Iran alikuwa anaitaka hii vita tulimaanisha kwamba alishamsoma Israel anapigika kila eneo la ardhi yake.
Ona sasa Iran anavyojipigia kila eneo la Israel anavyochagua yeye.
Akitaka kumla kichwa Netapaka ni suala la kuamua tu.π
Gaza, hezboallah, Yemen, Syria na siku za nyuma pia alimpapasa Iran sehemu nyetiVita mbalimbali wapi, Gaza ni vita?!
Ayatollah ana umri mkubwa kuliko taifa feki la israel,na ni mwanazuoni wa kiislam, mwenyewe alishasema duniani hatuishi bali tupo safariniNdio mpango hata Benjamin kashasema ule uchebe ni mavumbi na mavumbini utarudi
Hahaha Ila we jamaa eti Uchebe ni mavumbi na mavumbini ata Rudi nimecheka kwa sauti kmmk hahahahahaNdio mpango hata Benjamin kashasema ule uchebe ni mavumbi na mavumbini utarudi
US itakuwa inaishambulia Iran ikiwa wapi?Inatafutwa sababu ya kumgeuza Ayatollah Kama alivo pigwa Iraq kile kipindi zilianza hizi hizi taarifa Saddam Hussein ana ICBM apigwe mapema kama mwizi
Naona sababu imepatikana tunacho subili ni false flag Tu military camp moja ya US ipigwe apo middle East US aingilie mchezo wakamvue dera Ayatollah
Mjinga ni tenyahu anaenda kuanzisha vita mpya huku jeshi likiwa limechoka na resource zimeisha unategemea wakubwa wakusaidie na bado vita ya ukrain inaendele na nato wameparangangikana unategeme miujiza ganiHuko Haifa, Israel kiwanda cha kusafisha mafuta kimekung'utwa vibaya na makombora kinawaka moto.
Iran uwezo wa kupigana vita vya muda mrefu anao shida Israel plus mabwana zake hawana pumzi ya kupigana muda mrefu.
Pale Gaza tu mwaka wa pili huu anahangaika na wanamgambo ambao wanatengeneza magobole kienyeji na bado hajawapata mateka.
Halafu ndiyo upambane na Iran mwenye teknolojia ya juu kabisa ya zana za kivita?
We boya huko tayali tangazo limetoka warudi chini ya ardhi muda wowote mizigo inakua on airTrump cuts short G7 trip over Middle East tensions as Israel and Iran exchange fire
Blasts have been heard in Tehran and sirens have sounded in Israel as US president convenes National Security Council.www.bbc.com
Mwenzake anatembea na kuhutubia raia ila yeye yupo ndani ya handaki
Syria anapigana na nani!?.. Lebanon kuna cease fire, John kerry kasema netanyahu ***, tulikua tumefikia deal na Iran,kashambulia vinu Iran,kaua chief negotiator.. safari hii hatupigani vita vyakeGaza, hezboallah, Yemen, Syria na siku za nyuma pia alimpapasa Iran sehemu nyeti
Ila mjue hadi saivi iron dome na mifumo mingine ya ulinzi iko imara haijaguswaOyaa, kweli!?
Wape habari yaoIran kayarusha tena mchana huu
Hayo matangazo anayatoa akiwa wapi nipe location yake niwaforwadie MossadWe boya huko tayali tangazo limetoka warudi chini ya ardhi muda wowote mizigo inakua on air
We umejuaje na israel anafanya censorship?Ila mjue hadi saivi iron dome na mifumo mingine ya ulinzi iko imara haijaguswa
Hiyo sio sababu .. kurusha ndege unahitaji ruhusa sasa hebu uone yule dingi pale wa jodan anga yake ameikabidhi israe na usa ndo wanaimiliki unategemea niniInavyoonekana Iran hajawekeza sana kwenye ndege vita.
Anajua adui anayedili nae yuko vizuri kwenye AD akisema apeleke ndege au helicopter zikashambulie atakula hasara.
Yeye kawekeza sana kwenye drones na makombora ya masafa marefu anajua akiyatumia yatakuwa effective kuliko kupeleka ndege vita.
Hell fuckin yeah!!!Oyaa, kweli!?
Tupo safari ila anaogopa kusafiri anajificha kwenye bunker chezea uhai weweAyatollah ana umri mkubwa kuliko taifa feki la israel,na ni mwanazuoni wa kiislam, mwenyewe alishasema duniani hatuishi bali tupo safarini
Israel inarusha mawe kwa mbali eti yupo ndani ya Iran unafikiri hizo missile vinavyo shushwa Kuna ndege itasogea ivi unaelewa tangazo la vita linavyo fanana lakini?Zaidi ya 50 zimerushwa uelekeo Israel
Naye Israel yupo ndani ya Iran akiendelea haribu
Iran wanasema wana makombora ya kupambana na maadui wote wa middle East ambao ni majirani..
Wanasema nchi yeyote ikithubutu kutumika na US kuruhusu ardhi yake itumike na US kuishambulia Iran, basi hio nchi inakuwa imeingia kwenye mgogoro, hivyo base kubwa ipo Qatar ya US, Iran wanasema watapiga hizo nchi hadi familia za kidikteta za nchi hizo ambazo ziaongoza nchi wakimbie..
Watapiga miundombinu, visima vya mafuta n.k, hivi tujiulize, Qatar wapenda bata wapo tayari kwa hilo, Saudia wapo tayari?, Jordan wapo tayari.. kwa sababu Israel hivi sasa ambae ndie mbabe wao au wanaemkubali ni nunda anachapika na ana mitambo ya ulinzi wa anga ya kuaminika...
Sasa ha wala tende na kuvaa vilemba, wanapenda pesa na magari ya kifahari wataweza huo mziki?
Na Iran aliyvyo mshenzi anasema wana makombora mengi zaidi ya kupiga majirani kuliko hata Israel, halafu Iran wakati huo huo naipiga Israel iwe mfano hadi Qatar na wenzake waogope..
Vita ya upande mmoja sio kama hii hii nipigine nikupigeGaza, hezboallah, Yemen, Syria na siku za nyuma pia alimpapasa Iran sehemu nyeti