SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

NOrth korea naye atafikiwa tu muda wake ukifika, nani aliamini kama Iran itachapwa kindezi kiasi hiki? Beberu lina hesabu za mbali sn.
 
Ila myahudi mstaarabu Sana. Ingekuwa Iran ana Nukes Kwa jamba jamba aliyopewa hii wiki angeshashusha mda mrefu pale Tel- Aviv.Lakini myahudi anapigana Tu Kwa uwezo wa Iran wakati ana nuke
Ukiwa na nuclear unaheshimiwa dunia nzima. Ndio maana sio kila nchi inapaswa kuwa nazo. Marekani Israel na west wanawachukulia Iran kama wendawazimu. Mwenda wazimu hapaswi kukabidhiwa silaha. Hata rungu.
Angekuwa na byuklia huu mgogoro usingekuwepo. Labda iran wauziwe mabomu ya nuc toka Pakistani korea kaskazini au russia.
 
Jipe moyo iran ndio inaondoka hivyo
 
Hizo hata zikipigwa sioni kama zina msaada wowote kwenye vita hii ya kisasa inayo endelea, Iran anatakiwa kujenga jeshi anga la kisasa.
 
Hujanielewa nimesema Israel ana nukes lakini Iran Hana na Israel hajapandwa na kichaa cha kuanza kuzirusha.Ingekuwa Iran anazo angesharusha kitambo.
 
Iran:
TUNAKWENDA kufanya marekebisho machache kwenye mitambo yetu ya Nuklia Fordow na kisha inaenda kufanya kazi KWA Kasi kubwa.
Hii ni baada ya matokeo ya mashambulizi yaliyofeli ya B2 12 za US.



Operation imegharimu karibu Bilioni 900 za kitandania ndani ya DAKIKA chache bila mafanikio ya kujivunia. Imeacha MADHARA ya vitundu vichache KWA juu kama sita hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…