gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Jipe moyoInachofanya israel ni kumuacha kidogo mpinzani wake naye arushe kidogo ngumi na mateke ili dunia ione kumbe naye mpinzani anapambana huku yenyewe ikiwa na lengo la kuifanya iran ichakae kabisa iwe kama gaza
Bado hamjasemaWanasema wameshambulia access roads, maana kumbe Iran alienda ziba milango yote kwa kumwaga mchanga wakutosha
Nani wa kujipa. Moyo kwenye hii vita?Jipe moyo
Pitia updates vizuri nilishaziweka muda mrefu. Wameshambulia access za kuingia fordow , barabaraZa kushambulia fordow aliposhambulia Trump hujazipata?
gallow birdIsrael muda mchache uliopita imeshambulia eneo linalozunguka fordow nuclear site
Tukimaliza Iran inayofata ni pakistanMashambulizi haya ni ishara ya kuongezeka kwa mzozo wa hatari unaohatarisha maisha ya maelfu ya raia wasio na hatia. Badala ya kusuluhisha tofauti kupitia njia za kidiplomasia, hatua hizi za kijeshi zinachochea maafa, uharibifu mkubwa na kuzorotesha amani ya kikanda na duniani. Kauli kali kama za Pakistan kuhusu silaha za nyuklia zinapaswa kulaaniwa vikali kwani zinahatarisha usalama wa dunia nzima. Uongozi wa busara unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Huyo ni journalist na nguli wa uchambuzi, siyo lazima upende anachokisema, komaa na unachoelewa weweAwami nae ana
Upeo wa kuchambua hayo masuala?
Israel imeanza kuuwa na kutesa wapalestina hata kabla ya hamas na Hezbollah haija fikiriwa kuanzishwa.HAMAS na HEZBOLAH ndyo wakuwalaumu