SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Bado nasubiri video na picha za marubani wale warembo pro Iran waliosema F-35 zimeangushwa
 
Halafu baada ya kusema maneno hayo tunaomba visa tuende Marekani 😂😂😂😍
Angalia nan alikuja nchi za wengine ,wao wanataka ujinga wao wa demokrasia kwemue nchi za wenzao ..Wafungie na wao wasitoke nyege za nn?
 
Ukikaa humu unaweza kudhani Irani inateketetea ila ukifungua data vizuri unawaona waisrael na mabegi wanaondoka
Wanaoondoka ni raia kwasababu Irani anapiga makazi ya raia pamoja na raia wasio na hatia ili aonekane kachakaza israel. Tofauti na israel analenga maeneo muhimu ya iran ili airudishe iran mavumbini..

Israel wakianza kulenga na wao raia kama ilivyokua kule gaza hawatachukua siku mbili utaona jopo la wairanian wakikimbia hovyohovyo ila siyo lengo lao japo kua kuna muda italazimika raia wa iran na wao kulipia Kama vile raia wa gaza wanavyolipia kosa la HAMAS la october 7
 
Israel muda mchache uliopita imeshambulia eneo la kolahdooz square, Joint staff barracks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…