100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Asiyetaka vita sasa ni Israel, sikiliza maneno ya Trump ambae nimfadhili na ambae wanashauriana na Netanyahu, halafu njoo usikilize maneno ya viongozi wa Iran... utajua nani anaomba maji..Iran alisema Israel akiacha kushambulia yeye pia ataacha, so hapa ambae hataki kusimamisha vita ni israel
Trump ameshasema Iran wakae wazungumze, Iran wamekataa... ipo hivyo..Iran itasitisha mashambulizi Israeli itakapoacha kuishambulia. Iran inajilinda.
Hii picha ni ya muda japo kuwa siamini habari za kuuawa kwake.Hii picha ni ya leo asubuhi Mkuu wa Mossad akiwa na Netanyahau
Hivi hilo suala la kusema Iran ameendelea kiteknolojia muda mwingine mnamuona kama father of technology huwa mnazingatia nini?Ukitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.
Vita nyingi Israel imepambana na vikundi vya migambo, vita nyingi Israel inasaidiwa kila kitu na US, US sasa Trump ana sera yake ya MAGA ambapo aliahidi US kuacha vita na wapambane kuifanya US kuwa kubwa kiuchumi, kiushawishi, kijeshi, kisiasa n.k, yaani US irudi ilivyokua...
Lakini vita inayoendelea mashariki ya kati inachochea US kutotekeleza hayo, je US itamwacha Israel apambane kivyake?
Iran imekuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa karibu miaka 50, Iran imekuwa kwenye migogoro na majirani kwa muda, na bado wamefikia hapo walipo kiteknolojia, Iran imepambana na Iraq iliyopewa misaada na US, majirani wake, USSR na nchi za EU.. lakini haikushindwa...
Israel hana cha kuitisha Iran, ni suala la muda tu....
Kumtifua muisrael sio jambo dogo kabisa kama hivi mpaka umeme umekataHivi hilo suala la kusema Iran ameendelea kiteknolojia muda mwingine mnamuona kama father of technology huwa mnazingatia nini?
Israel ina makombora ya hypersonic?Hivi hilo suala la kusema Iran ameendelea kiteknolojia muda mwingine mnamuona kama father of technology huwa mnazingatia nini?
Uhitaji kuvaa miwani kujua kuwa Iran imeendelea kiteknolojia hata kama sio bora kama mataifa mengine makubwa.Hivi hilo suala la kusema Iran ameendelea kiteknolojia muda mwingine mnamuona kama father of technology huwa mnazingatia nini?
Watakwisha kwasasa Netanyahu kajichanganya sana !!!Picha ya muda,huyo mkuu wa mossad kobazi washapita nae shambulio la hospital
Nafikili ata viongozi wa jeshi wanateeuliwa coz ya itikadi ya kidijiIran waliamua kuja na military doctrine ya kwao mpya. Ila imeshindwa mapema sana kupambana na superior enemy. Inawafaa kupigana na jirani sio mtu wa mbali.
Mfano wangekuwa na Navy nzuri ingesumbua Israel maana Israel wenyewe wana moderate Navy.
Au Iran angalau wangekuwa na air superiority fighter jets wangeleta tishio angani kwa Israel. Au wangepigwa ila baadae sana. Ila sasa hawana modern fighters. Walikuwa wanazungushwa na Urusi isiwape Su-35.
Na kwa ubishi wao na incompetency hawakuwa wanajifunza mbinu za kisasa kwa mataifa rafiki. Maafisa wao inaonekana wamejifungia, vyuo vya kijeshi vinafundisha wanachoamini wao.
Kuna sababu kwanini NATO kila mwaka wanaendesha mafunzo. Kuna sababu kwanini Urusi ilianzisha International Army Games nchi kama 30 zinaitwa zishiriki. Nchi zilizonunua vifaru Urusi huwa wanafanya Tank Biathlon na kilaza anajulikana pale.
Iranians wao ni kujiamini kupitiliza na ile sera ya kumpambania Allah kujitoa mhanga. Wachina wanajiamini ila hawapitilizi wala kuchokoza kimakusudi na kujitapa.
sawa kabisa Yahudi. Endelea kutuhabarisha
Hana, ko hilo ndilo jibu😇Israel ina makombora ya hypersonic?
Kukata umeme hata TANESCO wanakata😇Kumtifua muisrael sio jambo dogo kabisa kama hivi mpaka umeme umekata
View attachment 3380267
Basi unaenda kuwa mwisho wa Iran,Kuna kitu kinakwenda kutokea...
View attachment 3380273
Kumtifua muisrael sio jambo dogo kabisa kama hivi mpaka umeme umekata
View attachment 3380267
Kabisa yani na ndio Tanesco wakikata na mlipuko hapo kwenu hua unatokea vizuri.Kukata umeme hata TANESCO wanakata😇
Uyu sio sasa ngoja kwanza atazame kwa macho yake kichapo kutoka Iran !!!Kichwa cha netapussy ndio kinahitajika