SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Your browser is not able to display this video.
 
pamoja na kumpa LIKE iran ila bado nawapa heko Israel taifa la watu 9mil kupambana na taifa mara 10 yao interms of population.

this is great

Cheki Israel isivyo jaa kwa Iran
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kabisa mkuu IRAN kwenye Vita vipo kwenye Damu zao !!

tukumbuke vita na Iraq miaka 8 na bado Iran ilisimama senbuse awa Wachumba...!!

apo walipo wapo hoiii Vijana wao wanataka kukimbia nchi kukimbia Vita

sawa tu na pale Ukraine !!

wkt IRAN vijana ndio wanamimika kulinda nchi yao ,
 
Kweli..
 
pamoja na kumpa LIKE iran ila bado nawapa heko Israel taifa la watu 9mil kupambana na taifa mara 10 yao interms of population.

this is great

Cheki Israel isivyo jaa kwa Iran
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 3380293
Umesaau nakukumbusha ongezea apo kuna Marekani inawatu milioni 270+ eneo kubwa zaid uyo ndio Mungu wa Israel kwaiyo ako kaeneo ni picha tu mkuu.. Israel ndio Marekani!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…