matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Angeshambulia MADHARA yangefika Hadi Palestina na Jordan na nchinnyingi za kiarabuWakati huo huo kwanini Iran haijashambulia kinu cha nuclear cha Israel Dimona na Israel na US wameshambulia vinu vya Iran?
Iran inaelewa madhara ya mionzi ya nuclear, US alishaitumia Japan, sasa unasemaje Iran wangetumia? kwanii wasiipige Dimona nuclear ivuje madhara yatokee?
Umerudi baada ya mashambulizi ya iran kuanzaHili jukwaa ni la ukoo wenu,natakiwa kuwaomba ruksa?
Ashindwe Israel kulinda Anga lake aje kuweza Marekani umesikia wapi Iran kwasasa kashashindikana anamtwanga yoyote!!!
Hawana huo uwezo,kwa hali aliyonayo sasa hivi Iran akipata chance yoyote ya kufanya maangamizi ya halaiki kwa Israel au Marekani anafanya bila kusita sema tuu huo uwezo hana.Wakati huo huo kwanini Iran haijashambulia kinu cha nuclear cha Israel Dimona na Israel na US wameshambulia vinu vya Iran?
Iran inaelewa madhara ya mionzi ya nuclear, US alishaitumia Japan, sasa unasemaje Iran wangetumia? kwanii wasiipige Dimona nuclear ivuje madhara yatokee?
mbona juz kat kadondosha mizigo ya matani kadhaa?Trump mtu wa mipasho hana action
Zile sio drones zile ni fighter Jets tena moderns one ambazo Iran wenyewe huwa hawazioni wanashangaa tu vyuma vinashuka kutwa nzima kama bao la kwanza😇Sasa Iran mbona anashambuliwa na ndege za Israel na Us kwanini Hazi intercept?
Ushawahi kusikia huko mwanamke kanyongwa kisa hajavaa kilemba?By the way unataka kusema kuwa Makha na Madina kuna mashoga?Huna akili wewe zoba ,Emirates ,Saudia Jordan nk ambao ni mashoga wa Marekani na Israel unajua sheria zao juu ya wanawake ?
Mkuu Katika vyote hapa duniani ogopa sana mtu Religious Extremist, hawa jamaa wangeachwa wakamilishe hiyo mipango yao ya nuclear, ingebidi kila mtu awasikilize matakwa yao...!Iran kapiga kambi za marekani ambao juzi wamepiga Iran bila kuchokozwa
Iran kapiga kambi za marekani ambao juzi wamepiga Iran bila kuchokozwa
Sasa yeye kama atakuwa anapigwa targeted area kwake Kwa heavy punch alafu yeye anapiga pembeni automatic atajikuta amechoka af mpinzani wake atakuwa bado yuko fitiUmbali kutoka Iran mpaka Us ni 11,000+ kms, sidhani kama Iran anayo makombora ya kusafiri umbali huo.
Naangalia Aljazeera hapa mfumo wa kulinda anga la Qatar unazuia makombora mengi ya IranWe umeona wap yanadunguliwa mkuu
Marekani asipo jibu basi tutajihakikishia kuwa hili shambulizi limepangwa.Ili mradi aonekane kayarusha kuelekea bases za Marekani ili mashabiki wake muendelee kuwa na imani nae. Wanasema eti wamerusha idadi ya makombora ile ile waliyorusha Marekani kwenye nuclear sites zao.
Sasa, wewe mshenzi, mimi kutoa maoni yangu hapa haikupi ticket kurauka hovyo hapa sawa?Hilo swali lako la kijinga yani kijinga/ kulipiza mashambulizi Kwa Iran unaona ubaya.Nadhani maswali yako ilibidi yawe marekani ameenda kufanya nini Iran.....Upumbavu wa watu kama wewe ndo mana ccm wapo madarakani hadi leo
Baba yako aliyezaa zoba na mdumavu wa akili kama wewe ndio mpumbavu sio Taifa la watu wenye akili kama IranIran Ndio mpumbavu
Kwaivo ikisema Ikulu ya Marekani ndio aya wakupe na Ushaid tuone sisi wengine atuwaamini Walokole kutokea popote!!!!Ikulu ya marekani wamesema wamefanya uharibifu mkubwa mno halafu kuna kobazi wa buza anakuambia hakuna kilivhoharibika
NaaaaaaaaaamEri jamano arushe hata moja New York City pale na yeye afeel maumivu