Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Umeandika Nini wewe juu Rudi Tena kasome ulichoandika?Kwan uwezo wa kombora unapimwa vipi?
Unapimwa kwa uzito wa kilipuzi na Kasi ya hilo kombora .
Kombora la Khaibar lingetumika Qatar wasingeweza ku intercept.
Sasa na hizi habari za kuleta amani vipi Tena.💥
Israel imetoa wito kwa wakazi wa eneo la District 7 Tehran kuhama sababu watakua na operation ya kushambulia miundombinu ya jeshi la Iran
View attachment 3380722
Kwani ndege za Israel na USA zibazoshambulia ndani ya Iran zinatokea wapi?IRAN ALIPASWA ARUSHE MABOMU YAENDE DIRECT USA na siyo Qatar.. kurusha makombora kwenda Qatar kwa kigezo cha unaharibu kambi za kijeshi za USA ni kutangaza vita na Qatar na siyo vinginevyo.
Nb. Kuna jemedari huko amesikika akilaani Irani siyo waislam ni washia.. kushambulia Qatar ni kushambulia waislam lazima iran alipe
Ngojeni tuone
Hapana, Iran wameamua ku deal na Israel tu, hata kurusha hizo missiles ni kuonyesha nguvu, bali hawakutaka kukuza mzozo na majirani, lakini angetuma zile hypersonic zenye vichwa tani 1.5-2, isingekuwa vizuri...Naona hata iran wenyewe watakuwa wamechoka sasa.
Maana maneno ya ayatollah.
Ni ya kipole sana.
We jamaa unajikuta unajua ila ni poyoyo tu.Umeandika Nini wewe juu Rudi Tena kasome ulichoandika?
Sasa mashambulizi wanaendelea huko iran.
Kwa hio vita hivyo ni mchezo tuu wanatuchezea pande zote mbili?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coincidence ??View attachment 3380724
Mkuu hao amani bado sana. Bado watapigana sanaSasa na hizi habari za kuleta amani vipi Tena.
Ukweli kituo kimepigwa cha kambi ya Marekani mengine ni Propaganda tu akuna Ushaid kuwa kombora ilo lililo anguka barabarani limetoka Iran au ni yake makombora ya air defence system yameangukia apo.. Iran sio poaaaHiki tumegusia hapa kwa Nini asilenge.
Airbase za Israel kuzuia ndege zisinde iran.
Sasa Leo Kuna video tumeona hapa.
Wanarusha missile imeanguka pembezoni mwa barabara eti.
Zingine kwenye mashaba.
Lingine kwenye kituo Cha kupoozea umeme.
Sasa kwa mwendo huu aaa
Asante kwa uchambuzi.Hapana, Iran wameamua ku deal na Israel tu, hata kurusha hizo missiles ni kuonyesha nguvu, bali hawakutaka kukuza mzozo na majirani, lakini angetuma zile hypersonic zenye vichwa tani 1.5-2, isingekuwa vizuri...
Kwanza Israel ingepata nguvu na support kutoka nchi hizo za kiarabu ambazo hadi sasa zilikuwa zinailaumu Israel kwa kufanya genocide Gaza...
Unataka kusema hawa ni ndugu au umemaanisha nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coincidence ??View attachment 3380724
Sijaelewa andiko lako.Ukweli kituo kimepigwa cha kambi ya Marekani mengine ni Propaganda tu akuna Ushaid kuwa kombora ilo limetoka Iran au ni yake makombora ya air defence system yameangukia apo.. Iran sio poaaa
Wewe umejuaje wkt Israel inaficha vipigo asa seem za jesh !!!Mpaka sasa mmeshindwa kupiga hata kambi moja ya Israel ndio mtaweza kuchakaza za Marekani
uko faster sana mtaalam au wewe ni IDF💥
Israel imetoa wito kwa wakazi wa eneo la District 7 Tehran kuhama sababu watakua na operation ya kushambulia miundombinu ya jeshi la Iran
View attachment 3380722
Hizi havri akina Kosugi wanazipita💥
Israel imetoa wito kwa wakazi wa eneo la District 7 Tehran kuhama sababu watakua na operation ya kushambulia miundombinu ya jeshi la Iran
View attachment 3380722
Mmmh mkuu mapigo yote Israel tunayaona mkuu.Wewe umejuaje wkt Israel inaficha vipigo asa seem za jesh !!!
Mpango upo tayari andaa bando tu kwa updates zaidi, muajemi kavurugwa sio poa kaona amalize mchezo mapema, vyuma 500 vipo kwenye launchers mida hiiNgoja tusubiri maana hata juzi walisema 400 yanarushwa uciku ,
Ila wanarusha 30 Tena asubui.
Sema kweli!!Marekani ni nchi yenye nguvu huwezi kuamini majeshi yote duniani yanaweza yakakusanyika lakini marekani ikiamua kutumia nguvu zake zote haizidi masaa 24 dunia inakuwa unga. Hamna mwenye sauti juu ya marekani