SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

North Korea hawezi kupigana USA
Uduku anategemea nuclear tuu. Ndo kitisho chake.

Askari ya kiduku walienda Ukraine,
Walikufanya kama unga wa ngano unapulizwa na upepo.
 
Iran sidhani kama utakubali.
Maana kilichotokea kule kwako.

Missiles launcher nyingi zimearibiwa sana ndo maana Hana uwezo wa kurusha makombola mengi.
 
Dogo nimekuuliza huwa unajikagua sphincter muscles kwa lengo gani, na huwa unatumia nini?

Lengo la wewe unayejiita mwanaume kujikagua sphincter ni nini?

Mwanaume anajikaguaje sphincter?
Baadhi ya vitu ni FACTS, wala havihitaji ukaguzi.

Mwanaume TIMAMU anaanzaje kuhoji MAAMUZI ya Iran kushambulia US military bases zilizopo middle east?

Wewe si mzima!!!
Wewe ni bwabwa AKA punga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…