SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ninalala kama kawaida, muda wangu wa kulala ni saa 5 usiku hadi saa 12 asubuhi kila siku
Wewe jamaa unalala muda Iran ikianza kupeleka MOTO !!

sasa nikama unazima TV wkt Ukishajua kwasasa matangazo yatakuwa kuusu Iran kuchapa wana wenu taifa teule la mchongo !!

hiii sio Double Standards waungwana !!!¡!!!!!!!!!!!!!
 
So point yako ni nini hapa? Mbona anarusha high end missiles kule Israel na 99% yanatunguliwa?. So you think Qatar ameweza kuyatungua just because ni ya short range? What makes you think so? Do you know kwamba Qatar ni nchi ndogo but ina utajiri mkubwa sana?

Iraq na Syria wana Air defence system? Again, unaposhangilia kupiga uwe na evidence ya impact. US hawezi kuwa mjinga aweke kambi zake za kijeshi Mashariki ya Kati halafu wanajeshi wake wawe exposed kizembe hivyo, hizo kambi zote zina bunker system, na uwezo wa kudetect makombora, again, hiyo taarifa iko readily available, fuatilia. Hata yanayotua Israel, hayana uwezo wa kuleta madhara kwenye bunkers system. Impact ni minimum mnooo ukilinganisha na mvua ya makombora ambayo amefanikiwa kuyarusha, usisahau hilo.

Kwa wanaoshangilia bila kujua, Waisraeli hadi muda huu hawaishi kwenye mahandaki, kila familia na majengo mengine yana bunker facility yaani structure inayoweza kuhimili kombora. So every time wanapopewa warning wanaingia kwenye hivyo vyumba, ila wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Hadi beach zao zimejaa watu wanaenjoy maisha, this is how comfortable you can get unapohakikishiwa usalama na kuiamini serikali yako.
 
Unazijua asilimia 99% kweli yale magofu pale ni asilimia moja tu basi Iran ni kiboko
 
Sasa unasingizia mahandaki, hio si mbinu ya kivita, yaani ni sawa na mpira uchezwe ufungwe uanze kusema wachezaji wa timu nyingine kazi yao ni kulinda goli tu na kujazana golini ndio maana hawafungiki..

My friend, hizo ni strategy za Hamas, kwa maaana ukiwauliza Hamas na wao kwanini wapo chini watakuambia Israel ina ndege za kivita na sisi hatuna, Israel inapewa misaada ya silaha na drone na US na sisi hatuna....

Suala la kuwa na mahandaki si uhalifu wa kivita ni strategy, ni kama Israel ilivyo na vifaru, ndege vita, helicopter na huku Hamas hawana....

Nilitegemea intel ya Israel inavyosifika ingeweza kutambua mara moja hayo mahandaki nji zake zote, wanegundua kupitia mashushu pale Gaza... lakini matokeo yake kashindwa.....

Yaani Dar Es Salaam inapambana na Kigamboni na huku Kigamboni imezungukwa lakini intel inafeli.... hii inashangaza, Gaza imezungukwa pande zote.... drones zipo juu, satellites zipo juu.. lakini wapi.

Intel imefeli pia kipindi Hamas wanaanza kuengeneza hayo mahandaki kwa siri kwa muda mrefu...

Israel is over rated... full stop..
 
Wamekubaliana kusitisha
Iran katoka kashinda hapa alisema mimi wa mwisho kupiga risasi. Pia kapiga US base na kasema hakusign lolote walivyo taka asarende. Hakuna dalili Uranium yake ya 60% imepigwa. Kule Fordow hawana dalili US na Israel ya uhakika kulikuwa na nuclear materials au Iran alizihamisha pia hata kama nuclear materials yailikuwepo hawana dalili 💯 wamefanikiwa kuzipiga.

Us atasema yeye kaondoa Iran nuclear threat kwa kupiga 3 nuclear facilities za Iran ofcourse hana dalili 💯 kapiga Uranium sababu hakuna madhara yoyote yale Iran au nchi jiran wameyapata

Israel atadai kashinda vita kwa kudai kaondoa nuclear threat ya Iran na kavunja silaha za Iran au kupunguza stockpile za Missiles

Hapo hatujui nani kashinda kila mmoja anajua nani kashinda.

Mimi kutokana na akili zangu naona Iran kashinda vita.
 
Alicho fanya Trump ni kupozesha hii vita kama alivyo fanya kipindi kile Iran alipo piga kambi za US kulipiza kisasi cha yule general, hata kama wame umia kweli ange sema wana lipiza vita inge sambaa zaidi
 
ISRAEL ISRAEL kadundwa mchana kweupe picha zipo Telaviv daaa lkn Iran wameniudhi seem moja !!

Wangewapiga na Wanajesh wa IDF pale Gaza!!!

lkn ngoja tutajua Vita bado mbichi Houth hawamo kwenye makubaliano wao wataendelea kupeleka MOTO !!!

ISRAEL kama ingekuwa inaweza kuzuiya Makombora ya Iran isimgesitisha Vita kabanwa seem ya Uzazi..
 
Safi sana Iran,ila vita hii atakua amekomazwa vyema,bila shaka atachukua za haraka kuziba mapungufu yake,mungu anakupa mitihani ili ujitambue,penye makosa urekebishe, nitafurahi sana Irani akiwa super power angalau middle east.🙏🙏💪💪💪
 
Announcement from the Israeli government:

Last night, Prime Minister Benjamin Netanyahu convened the cabinet together with the Minister of Defense, the Chief of Staff, and the head of the Mossad, to report that Israel had achieved all the objectives of Operation "Rising Lion," and even much more.

Israel has removed a dual immediate existential threat – both in the nuclear field and in the field of ballistic missiles.
In addition, the IDF achieved complete air control over the skies of Tehran, inflicted severe damage on the military leadership, and destroyed dozens of central Iranian government targets.

In the past 24 hours, the IDF has also severely struck government targets in the heart of Tehran, eliminating hundreds of Basij operatives - the terrorist regime's suppression mechanism - and eliminating another senior nuclear scientist.

Israel thanks President Trump and the United States for their defense support and participation in eliminating the Iranian nuclear threat.

In light of the achievement of the operation's objectives, and in full coordination with President Trump, Israel agreed to the president's proposal for a bilateral ceasefire.

Israel will respond forcefully to any violation of the ceasefire.

Israeli citizens must continue to adhere to the Home Front Command's instructions until full compliance with the ceasefire is confirmed.

Our hearts go out to the families who lost their loved ones and we send wishes for a full recovery to the injured.

In Operation "Rising Lion," the State of Israel achieved great historical achievements and placed itself on a par with the world powers.

This is a tremendous success for the people of Israel and its fighters who removed the two existential threats to our state, and ensured the eternity of Israel.

The Prime Minister will make a statement later today.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…