SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Duhh kobaz iran kayakanyaga
R.I.P iran
Kayakanya wapi super power huku anaiimba China imsaidie Iran isifunge mfereji😂😂
Waliambiwa na mu Israel meenza kuwa wasitishe vita kabla Iran hajaanza kujibu mapigo maana akianza hatakubali ceasefire na ndicho kimetokea
 
Hivi, mpaka sasa mi bado nashindwa kuelewa. Inakuwaje taifa la Israel, lilindwe na Iron Dome, David Sling, THAAD na makolokolo mengine, af sisi wa Africa ndo tulindwe na Mungu wa hiyo Israel!!!!
Mungu wa Israel ameshindwa kuwalinda watu wake, wanapopolewa, hatimaye wametafuta msaada wa mitambo kulinda anga lao🤣🤣.
Lakini wafuasi wa taifa hilo waishio Lighano mpaka Ngwinde wanalindwa na Mungu wa Israel 🤣🤣
 
Mungu wa Israel ameshindwa kuwalinda watu wake, wanapopolewa, hatimaye wametafuta msaada wa mitambo kulinda anga lao🤣🤣.
Lakini wafuasi wa taifa hilo waishio Lighano mpaka Ngwinde wanalindwa na Mungu wa Israel 🤣🤣
wewe mbona unalindwa na CCM?
 
😂😂😂 Ngoja wakuckie
 


Al Jazeera naona wameamua kuweka data kabisa.
Ila wamesahau wanajeshi , viongozi wa serikali na wanajeshi pamoja na scientist.

Maana karibu wanajeshi ya iran 1000 wamepoteza maisha.
Wameuwawa kwenye makambi ya jeshi.
 
Askari wa North Korea wako vizuri sana kwa vita za miguu.
Kursk region imerejeshwa mikononi mwa Urusi kwa nguvu ya askari wa N.Korea.
Usijisifu una mbio ........pia wasifu waliokukimbiza...........wale elfu kumi wa kwanza waliisha wote ..........ukaja mzigo mpya...................slava 🇺🇦 Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…