SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

🤛🤛
 
Mungu wa Israel ameshindwa kuwalinda watu wake, wanapopolewa, hatimaye wametafuta msaada wa mitambo kulinda anga lao🤣🤣.
Lakini wafuasi wa taifa hilo waishio Lighano mpaka Ngwinde wanalindwa na Mungu wa Israel 🤣🤣
🤣🤣
 
Ila Israel na USA wamesema wamesitisha na Iran pia asitishe process zake za nuclear akifufua tu wanafufuka naye, nahisi ndio wakati mtaona mabango ya Pray for Iran 🙏 yakiwa mengi kuliko hata matangazo ya marufuku kukojoa😇
Unafikir muajem ni mjinga kiasi hicho

Wakati wa vikao vya mwanzo vya mazungumzo ya amani,yeye aliwajua vyema adui zake,aliendelea kujitayarisha kwa vita kwa miezi mitatu

Kifupi iran wanajua mbinu zote za maadui zao
 
Aliekuambia ni nani?!
Unajua maana ya regime change?
Angalia nchi za kiarab zilipofanyiwa hicho.
Alaf angalia aliwekwa nani?

Hapo wanataka watoe mfumo wa ki ayatollah.
Sio mtu
Sasa post ambayo much know ulimjibu ulikuwa umezungumzia regime change au kumuua Ayatollah? Much Know yupo sahihi kutokana na hoja yako, lakini wewe ulichofanya hapo ni kusogeza magoli, na kuhama kutoka kumuua Ayatollah na kuja na stori za Regime Change! Kumuua Ayatollah hakuwezi kuleta regime change kwa sababu atateuliwa mwingine!
 
Hii mbona ipo wazi. Wa iran walishapewa taarifa zaidi ya miezi 3 kuwa vinu vitashambuliwa ndo maana usikii taarida yoyote ile ya radiation, maana yake internal core reactor ni salama
 
View attachment 3381960

Al Jazeera naona wameamua kuweka data kabisa.
Ila wamesahau wanajeshi , viongozi wa serikali na wanajeshi pamoja na scientist.

Maana karibu wanajeshi ya iran 1000 wamepoteza maisha.
Wameuwawa kwenye makambi ya jeshi.
Vita gani umewahi sikia wanatoa data za military side damages? bila kuzipika
 
Una uhakika gani na hizo taarifa wakati Israel imeweka masharti makali ya kuripoti kinachotokea Israel? Hata ukitaka kupiga picha tu sehemu ambayo mzinga umefanya yake, HURUHUSIWI, ni hadi upate kibali! WANAFICHA NINI?
 
Hivi, waTanzania, ya Lissu mmeyamaliza muanze kuchambua ya Israel na Iran! Ripoti kamili unayo kama una kazi wizara ya Ulinzi nchini Israel! Vitu kama hivi ndo viwaumize vichwa!!!
 
Wanataka shambulio lirudiwe
 
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!! Netanyahu huko Israel ni Shujaa kila anapopita mitaani anashangiliwa mno na watu!! Wafuga Midevu na Majini endeleeni tu kujipa moyo na kujifariji baada ya Iran kupigwa.

Angalia hapa chini Mwamba Benjamin Netanyahu anavyopokelewa kwa bash Asha na raia wa Israel. Watu wote wanajua kuwa silaha yenu kubwa ni Uongo na Upotoshaji
 

Attachments

  • העם_עושה_כבוד_כשחיסול_סינואר,_נסראללה_ושאר_המרצחים_והמתקפה_באיראן.mp4
    12.2 MB
Ehee vipi mkuu bado Iran kapatikana?
Tena kama Kupatikana wamepatikana vizuri sana!!!!

Na walivyo wajinga na wapumbavu nasikia kwamba kutakuwa na Gwaride la Ushindi huko Tehran usiku wa leo.

Kwa ajili ya nini?

Hakuna nchi ambayo imedhalilishwa kiasi hiki kwa muda mfupi hivi kama Iran

Mpango wao wa nyuklia umeangamizwa wanasayansi 60+ wameangamizwa

Uongozi wao wa juu wa kijeshi Makamanda waandamizi 30+ wameangamizwa

Uongozi wao wa juu wa kiintelijensia Umeangamizwa.

Uongozi wa IRGC na askari wa miguu wengi wa IRGC na Basij wameangamizwa.

Vikosi vyao vya anga na mifumo ya ulinzi wa anga vimeangamizwa.

Mamluki wao waHezbollah, Hamas, Assad, na mlolongo wengine wa wakala umetoweka, hatimaye Lebanon na Syria zinaweza kuwa huru kutokana na upenyezaji wa mashia.

2/3 ya uwezo wao wa kurusha makombora imetoweka, pamoja na mamia mengi ya makombora yao

Ayatollah anaishi kwa sababu tu Trump anataka aishi.

Mossad iko kila mahali nchini Iran, hata uongozi wa juu zaidi wa kisiasa na kijeshi umepenyezwa kikamilifu.

Iran walipata nini?

Majengo 50 lililoporomoka nchini Israel, 3 kati yao ni misikiti ya sunni.

Watu 28 waliokufa, 11 kati yao ni Waarabu wa Kisunni.

Hakuna mwanajeshi mmoja wa Kiisraeli aliyekufa kutokana na vita vyao vya siku 12.

Walikuwa wakiomba kusitishwa kwa mapigano tangu siku nne sasa, kupitia njia 5 tofauti, lakini wana jeuri ya kudai ushindi wao pengine kwa fedheha kubwa tuliyoiona hivi karibuni?

IDF imewafanya wanyenyekevu zaidi na wanajifanya wasionekane wameshindwa vitani ndiyo maana wanajiandalia Sherehe ya ushindi fake!!!

Kama Iran ingekuwa nchi makini na kwa sababu wameshambuliwa wasingekubali huo usitishwaji wa Mapigano lakini kwa kuwa walikuwa wamelemewa pandę zote imebidi tu wakubali kusitisha mapigano kuliko kuendelea kupigwa kama watoto!!!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…