SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ningepata bahati yakukutana na watalaam wa makombora ya Iran ningewapa idea Moja na hata kuuza hiyo formula kwao.. hii nitafanya biashara na Iran tu..

Hii formula inatoa option ya hatari zaidi ikifanyika interception kwenye ballistic missiles.
Missiles inakuwa attached na several missiles as attachments Incase of any interception to neutralize, the attachments leave the mother and separate to different uncontrolled direction to a certain radius na kuhit hata civilian targets..
Kwa hiyo unakuwa na option kuliacha likapige target au uintercept liende likaue raia wako.
 
Hii ni dharau au ni nini?mpaka sasa nakosa majibu? Why mademu? Why? Maana yake nini? Hii si ni kuonesha mazarau? Na je anga la Irani halina ulinzi kabisa?


 
Shukrani
 
Hii vita Nampa Israel point irani kapoteana ndani ya mda mfupi mno

Watu wameua viongozi bado wanasaidia wananchi wenu wanataka only soldier aisee nyie mnalipua ovya bado amuwapati....

It means israel angekuwa katili angeua hao raia wote....
Bro mbona unapotosha?
Israel imegeuka Gaza totally.
Makao makuu ya IDF yamelipuliwa.
Oil refinery ya ndege vita imelipuliwa.
Hata mayor wa miji wanasadiki kuwa hawakuwahi kushambuliwa kama hivi.
Safari hii Israel imeumiza sana raia wake.
Israel imegeuka kuwa magaidi inatega mabomu kwenye magari huko Iran.
Ishashindwa Israel
 
Hujiulizi Kwa nn kila Taifa kubwa hata wale ally wake Russia na China hawataki Iran awe na nuke???

Hivi barabarani kichwa akiwa anatembea na panga mkononi mtamuacha Tu???

Kichaa mmoja analo na unaona anavyo tishia kubonyeza batani kila siku(north Korea)

Russia na Ukraine wanazichapa for almost 2yrs now lakn hakuna hata mmoja anae taka kubonyeza batani ila nauhakika ingekua ni Iran vs Israel batani za nuke zingesha bonyezwa kitambo Sana
 
Israeli ikubali kushindwa kulipua kinu kikubwa cha nyuklia pale Iran.

Pia Israeli imeshindwa kusababisha regime change ndani ya Iran.
 
Scud za Saddam 1991, hypersonic halizuiliki mzee,uliliona la jana lililozima umeme mji mzima?
 
US President Donald Trump has said Iran and Israel will have peace “soon”.

“Iran and Israel should make a deal, and will make a deal,” Trump said in a post on his Truth Social app.
Trump na USA hawaaminiki tena. Walimwingiza chaka mzee putin kwa kuandaa mazungumzo ya amani. Russia ikashambuliwa kwa drone na kusababisha hasra kubwa ya ndege kama 40.
Wamemwingiza tena chaka Iran. Mazungumzo ya Nuc, israel wanaishambulia iran.
Hawezi kuaminiwa tena.
 
Wasiotaka nuclear kwa Iran ni magharibi tu
 
Ndiyo maana kamwachia urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…