Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Tatizo la Iran alitengeneza vikundi, Korea hajafanya hivyoWeee Kiduku akisema aanze pale South Korea hawataweza jilinda maana hakuna air defence duniani inaweza piga hypersonic 5 zikitumwa kwa pamoja
Mkuu nadhani hakuna haja ya picha kwasasa maana watu wanashuhudia vyuma vya Muajemi vinavyoshuka ndani ya ardhi ya Mazayuni.Oyaaaaaaah!!!
Tuanze kupandisha mapicha picha au mpo live mnashuhudia wenyewe Myahudi anavyochapika!?
Acheni uzwazwaMkuu nadhani hakuna haja ya picha kwasasa maana watu wanashuhudia vyuma vya Muajemi vinavyoshuka ndani ya ardhi ya Mazayuni.
Hii dozi itaendelea hadi bwana wake na Israel ajitokeze hadharani naye achapike.
Akifanya masihara kambi zake zote middle east zitakaangwa kwa moto wa hypersonic nakupotea mbali.
Acha uongo usifanye hatuoniHaifa inateketea kwa moto wakuu.
Iran kafanya maangamizi yakutisha huko Haifa maana mji unawaka moto kila kona.
Muda huu vyuma vingine vinaendelea kushuka Occupied West Bank.
Aise Iran ni mbabe tuache propaganda za mashog,a kutuaminisha kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi wa anga.
Imagine kama sio kukua kwa teknolojia maana yake tungekuwa bado tunapigwa kamba na propaganda za maghribi.
Iran ilipofeli ni kuwaunda raia wake wawe kama namna kama dola inavyotaka.Nafikiri baada ya mapinduzi ya kiislam Iran ili hitaji one party state mpaka sasa naweza kuwa sahihi ama sio sahihi siasa zao kwa namna fulani naona zina tengeneza division fulani.
Hammaz
Kosugi
baba-mwajuma
Xi Jinping
Umifustilia Kwa umakini jamaa ni mnafiki yeye ndio kawatuma Israel kufanya wanayo Fanya ili Iran ikae na kwenye meza ya mazungumzo kuhusu nukesMzee wa MAGA anakuja na mpango wa kuwapatanisha Iran na Israel na kauli mbiu yake ya MAKE MIDDLE EAST GREAT AGAIN.
Huyu mzee anataka kutolewa roho na Netanyahu!!!
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934246724039491993
JUST IN: 🇺🇸🇮🇷 President Trump says "Iran and Israel should make a deal, and will make a deal."
"MAKE THE MIDDLE EAST GREAT AGAIN!"
Ukiwa na shida ya macho ni tatizo lako na bahati mbaya mimi siyo mtaalamu wa macho.Acha uongo usifanye hatuoni