Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NB: Usipojua kuyakuta wapi (baada ya wewe kuleta Minsk hapa), ninaweza kukusaidia. Uliza tu!
 
Ungefatilia elections za marekani usingeleta habari za Fox News
Niache kumsikiliza Colonel Macgregor (kwenye picha, na manyotanyota yake) ambae ni afisa wa juu mstaafu wa Jeshi la Marekani, anafahamu nje ndani kuhusu NATO na mikakati yake ya kijeshi Ukraine, nikusikilize wewe mMarekani wa Tandahimba ambaye hata kwenye daftari la kudumu la waMarekani O.G. haumo!

 
ukiacha crimea(ukraine) urusi pia inadhibiti baadi ya maeneo km abakhazia na south ossetia (georgia) pamoja na Transnistria(Moldova),,..

ukiacha hizo nchi kuna kazakhstan ambayo tangu rais mpya bwn Tokayev aingiel madarakan amekuwa na baadhi ya sera ambazo haziifurahishi moscow, kwanza ameongeza mahusiano na EU/US pia ht kucooperate na NATO kwe issue za logistics zinazohusiana na afghastan, lkn juz hapa yalipotokea maandamano makubwa nchini mwake aliomba usaidizi toka CSTO ambapo russia pia ilituma wanajeshi wake kusaidia but baada ya hapo akfny kitu cha kuishangaza moscow, kwanza akaforce rais mstaafu(ally mkubwa wa moscow) kuachia madaraka mengine aliobaki nayo kwe chama na usalama wa taifa, kumtia ndani mkuu wa usalama soon baada ya kurudi kutoka moscow then kutaka wanajeshi wa CSTO kuondoka just after 2weeks kwa madai usalama ushatengemaa then ulipotokea mgogoro wa ukraine jamaa akataa kutuma wanajeshi huko but pia akasema nchi hiyo haisapoti upande wowote kwe mgogoro huo,

haijawah haitotokea ikataka kujiunga NATO but kuna eneo kubwa karibu na mpk wao ingawa lipo kazakhstan but wanaishi watu wenye asili ya urusi na urusi ilishawhi kusema eneo hilo ni lake, so baada ya moldova,georgia na ukraine nchi pekee ambayo ina kila sababu ya kuwa na hofu ni kazakhstan ambayo imeanza kudemostrate u-ukraine japokuwa haijapunguza urafiki na urus
 
kawaambie wew mwenyewe sasa mbona unatutuma sisi
 
The spread of anti-Russian sanctions on energy carriers would lead to a halt in the Hungarian economy in the shortest possible time - Prime Minister Orban.

Therefore, Budapest is against such a measure.

In addition, Hungary rejects Ukraine's call to allow arms supplies through its territory, Foreign Minister Peter Szijjártó said.
 
BIDEN ON THE POLISH-UKRAINIAN BORDER 🔥

American President Joseph Biden flew to Polish Rzeszow (140 km from Lvov), intends to visit the Polish-Ukrainian border and units of the US 82nd Airborne Division deployed near it.

A day earlier, NATO once again distanced itself from the fighting in Ukraine, but Biden's reconnaissance could bring ancient Lviv closer to today's Mariupol.
 
Hio story umeitoa kwa media gani, jibu swali?
 

Your browser is not able to display this video.


One drunken gentleman gave a very warm welcome to the visiting US President when he tossed a glass bottle at Joe Biden's motorcade in Brussels.


He was immediately detained by the police
 
Kwann hii vita inakuwa ndefu na Europe haifanyi jitihada kuifupisha katika mazingira kama haya unayopost kila wakati?
EU wanasema Tsh unawazungumzia uongo/unawazulia...wao wamekaa kwenye kikao chao cha pamoja (nchi/mataifa 30 dhaifu) wametoa tamko la pamoja (walau lionekane lina nguvu) kuwa Russia asimamishe vita maramoja na kuondoa vikosi vyake na mijisilaha yake Ukraine.

Hili nalo mpaka tuandike 'notice' zake ?!

 
kazkastan sio muda mrefu watazipiga na talban wanamgogoro mkubwa wa eneo
 
Muulize Colonel Macgregor, mmarekani O.G. (sio wa Buza) na afisa mstaafu wa ngazi za juu kwenye Jeshi la Marekani
Unataka kukimbia na kujificha sasa baada ya kuleta upuuzi?? Hapana sitamwuliza kanali Mcgregor, sioni sababu. Wewe umeleta upuuzi hapa.
Pamoja na upuuzi kuwa kanali ndiye afisa "wa ngazi za juu kwenye Jeshi la Marekani". Hapana, mpendwa, kanali si afisa wa ngazi ya juu katika jeshi kubwa penye ngazi kadhaa juu yake. (kwenye jeshi la Luxemburg au Burkina Faso ungesema kweli, huko kanali kweli yuko juu tayari).

Basi umeleta upuuzi na hutaki kuitetea?? tttttt.....🤣

Kwa hiyo tuelewane: vikosi vya NATO havikuingia katika Ukraine, NATO haiko Ukraine, menginevyo Puti asingevamia!

Tuko pamoja, je?
 
Update baada ya mkutano wa jana wa NATO, G7 na US.

Biden told world leaders in Brussels the US would "respond" if Russia uses chemical or biological weapons in Ukraine
Na zikitumika hizo chemical weapons atasema" the US would respond if Russia uses Nuclear weapons in Ukraine" kama alivyo sema kuhusu kuivamia kabla ya uvamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…