Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Mchina sio mjinga kama mrussi.Kiduku ana wivu sana, kaona Putin anaongelewa kuliko yeye akaamua kutest kombora ili tu apate attention ya Dunia,hana habari na kinachomkuta rafiki yake Russia.Urafiki na China siku zote ni fake kama vitu vyao vilivyo,kule UN walimute kama hawapo vile kwenye kupiga kura😀
Kumbuka Russian economy is oil dependent alafu sasa wateja wake wakuu EU wamemgomea.
~In 2021, the EU imported $108 billion (€99bn) worth of energy from Russia, by far its biggest import from the country.
Aisee kweli wewe una uwezo mdogo wa kusoma na kuelewa mambo...Colonel ktk US army ktk hali ya kawaida (nje ya vita) ni rank ya tano...uwe wasoma na kuelewa mambo kabla ya kukurupuka kukomenti.Hisabati ni changamoto Tanzania. Unaleta screenshot "what are the 5 highest ranks in the (US) army? halafu unachora nafasi ya kanali ambayi ni nafasi ya sita.
Ndiyo, naona nafasi ya Kanali haiko kati ya vyeo vikuu. Makanali kuna zaidi ya 1600 kwenye jeshi la ardhi la Marekani. Mameya wako zaidi ya 7700. majenerali wako
Acha upotoshaji hivi alisema atakayeisaidia Ukraine au atakayejaribu kuizuia Russia?Unakumbuka ile mikwara mbuzi ya yeyote atakaeisaidia Ukraine atakiona cha moto,kila siku Ukraine anapelekewa misaada tena ya silaha wazi wazi na mtoa mikwara Putin kaufyata.
"HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU" by watoto wa Putin wa JF [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa mtazamo wangu hapo Russia ndiyo anaumizwa kwasababu Washindani wake wamepata sababu nzuri tu ya kumwadhibu kiuchumi na wakati huo huo ataendelea kupigana kwa muda mrefu na vita inahitaji pesa,ikiendelea kwa muda mrefu itakuwa msiba mkubwa kwa Uchumi wa Russia ambao tayari umeshachakazwa kwa vikwazo vya kiuchumi. By the time 'anapewa ushindi" huku kwenye Uchumi atakuwa hoi bin taaban.Yale ya 1990 wakati wa kuanguka kwa Soviet ndiyo yanakwenda kujirudia tena kwa Russia kama Taifa.Ni swala la muda tu.Nikitazama wanachofanya NATO/ US si kumsaidia Ukraine ashinde. Pia si kuingia vitani na Urusi bali ni kuhakikisha Ukraine inarefusha muda wa mapigano. Sijajua wanajaribu kupata nn katika hilo.
WAMROGE TU AFE KABISA......Na mimi nikiwa kama mchawi wa Tanzania naungana na wachawi wa Ukraine kumpiga Zongo Putini
Hii inaitwa mbinu ya kumdhoofisha adui,na vile saa hivi hasikilizi hata ushauri wa washauri wake wanamuacha tu afanye anavyotaka,maana ukimshauri kitu anakuona uko upande wa Ukraine unawekwa kizuizunii,hivyo muache apuyangee wee akijastuka ana mdororo wa uchumiKwa mtazamo wangu hapo Russia ndiyo anaumizwa kwasababu Washindani wake wamepata sababu nzuri tu ya kumwadhibu kiuchumi na wakati huo huo ataendelea kupigana kwa muda mrefu na vita inahitaji pesa,ikiendelea kwa muda mrefu itakuwa msiba mkubwa kwa Uchumi wa Russia ambao tayari umeshachakazwa kwa vikwazo vya kiuchumi. By the time 'anapewa ushindi" huku kwenye Uchumi atakuwa hoi bin taaban.Yale ya 1990 wakati wa kuanguka kwa Soviet ndiyo yanakwenda kujirudia tena kwa Russia kama Taifa.Ni swala la muda tu.
Kiduku ana wivu sana, kaona Putin anaongelewa kuliko yeye akaamua kutest kombora ili tu apate attention ya Dunia,hana habari na kinachomkuta rafiki yake Russia.Urafiki na China siku zote ni fake kama vitu vyao vilivyo,kule UN walimute kama hawapo vile kwenye kupiga kura[emoji3]
Hujui kusoma ama? EU ndo wateja wakubwa wa gesi na mafuta ya mrussi. Kwa hio wakimgomea(washaanza ) atakuaamepata pigo kubwa sana katika uchumi wakeAmeshasema mtalipa kwa ruble sasa wewe unaumia nini?? Ameshasema kama hutaki acha. Unafikir Russia atakosa wateja wa oil na gas? nawasiwasi na thinking capacity yako.
Na hilo ndio lilikuwa lengo,akajaaaHivi vita vimefanya Russia ipoteze kabisa hadhi yake kama Super Power.
BURE KABISA!russia hamna kitu kumbe
Kweli kabisa ndo maana Poland nayo pia imeanza kumtisha Putin. Kumbuka Poland inajeshi Kubwa kuliko Ukraine. Nchi nyingi washajua ni paper tigerHivi vita vimefanya Russia ipoteze kabisa hadhi yake kama Super Power.
MISAADA INATOLEWA KILA SIKU YULE BABU KATULIA TULI, MIKWARA MBUZI ILE😂😂😂Unakumbuka ile mikwara mbuzi ya yeyote atakaeisaidia Ukraine atakiona cha moto,kila siku Ukraine anapelekewa misaada tena ya silaha wazi wazi na mtoa mikwara Putin kaufyata.
"HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU" by watoto wa Putin wa JF 🤪🤪🤪🤪
Hata Maduro Venezuela ana gesi,wasitetemeshe watu na hiyo gesi yao.Ficha ujinga wako, gesi imejaa Middle East yakutosha.
Germany Won't Pay Russia in Rubles for Natural Gas, Defying Putin Request
BY LORA KORPAR ON 3/24/22 AT 1:12 PM EDT
SHARE
NEWS RUSSIA GERMANY NATURAL GAS GAS
German Chancellor Olaf Scholz refused Russian President Vladimir Putin's request to have Germany pay for Russian gas deliveries with rubles.
At a Group of Seven (G7) press conference in Brussels on Thursday, Scholz said this is because "there are fixed contracts" that specify the payments must be made in euros or dollars "and that's what counts,"
Hata Nigeria ni namba 9 duniani kwa gesi.Hata Maduro Venezuela ana gesi,wasitetemeshe watu na hiyo gesi yao.
Sasa kumbe zipo tu,,,,sasa kitisho kimetoka kwenye kushinda vita wamehamia kwenye gesiHata Nigeria ni namba 9 duniani kwa gesi.