wenyewe wanasema gadafi alikuwa na nia ya kuinganisha afrika pro rusia wote ni vihiyo 😂😂😂Muammar Gaddafi na Idi Amin. Warussi wa kwa mpalange hawajui vile Gaddafi alimfadhili idi amin kuiteka mkoa wa kageraView attachment 2166404
Kabla hatujampa hongera tuzingatie kwanza msaada aliopewa kutoka magharibi na vikwazo alivyowekea urusi. Lakini pia tusisahau na dhamira ya urusi kuhusu raia wa kawaida (humanitarian corridors) na mazungumzo yanayoendelea pia size ya eneo la nchi ya Ukraine.Na hapa anastahili hongera. Kila mtu anajua kuwa kijeshi Ukraine ni dhaifu kwa Urusi hayo mengine unayoandika ni propaganda sababu UNAIPENDA SANA URUSI NA UNAMPENDA PUTTIN.
Matusi ya nini mzee.Harafu mashabiki wa Putin ni vichaa kama mzee wao. Yaan wanasema NATO wanamwogopa kichaa wao. Wakati huo wanasema Wanapigana ili Ukraine asijiunge na NATO maana ni hatari kwa usalama wa taifa lake .
Kwahali ilivyosasa Libya ukienda pale tripoli ukasema Gaddafi alikuwa dictator wewe hurudi hukuNimeacha kusoma nilipoona historia ya Libya huijui
[emoji117]Arab spring ndo iliangusha nchi za kiarabu
[emoji117]Arab spring ilianza Tunisia kutokana na mfumuko wa bei
[emoji117]Gaddafi aliuwawa na raia wake ambae walichoshwa na udikteta
[emoji117]Huyo Gaddafi unaemlilia ndo alimfadhili Idi Amin kuvamia nchi yenu Tanzania
ulivyo kichaa kama mzee wako Putin. Habar iliyoandikwa na BBC ikikufurahusha unaishadadia . ikikugonga unakimbilia propaganda . akiri ya Dr Shika hizi product ya Russia .
Hakuna mtanzania anaejielewa anaweza unga mkono Libya wala Palestinewenyewe wanasema gadafi alikuwa na nia ya kuinganisha afrika pro rusia wote ni vihiyo 😂😂😂
Toa RUBO au Ulale njaaJapan baffled by demand to pay for Russian gas in rubles
Asian importers of Russian gas expressed confusion this week regarding Moscow’s demand to pay for deliveries in rubles. The new requirement concerns countries that have imposed sanctions against Russia over its military operation in Ukraine.
On Wednesday, Russian President Vladimir Putin said “unfriendly countries” would continue to receive Russian natural gas in volumes and prices fixed in contracts, but are now to pay for the commodity in the country’s national currency. In Asia, these countries include Japan, South Korea, and Taiwan, which import liquefied natural gas (LNG) from Russia’s Sakhalin-2 and Yamal LNG projects.
acha wale kichapo hadi wachakaeHakuna mtanzania anaejielewa anaweza unga mkono Libya wala Palestine
👉Foreign support of Uganda in the Uganda–Tanzania War
Before this conflict, the Second Republic of Ugandaunder President Idi Amin had generally strained international relations. Accordingly, only a few states as well as non-state allies provided Uganda with substantial military support during the war, most importantly Libya under Muammar Gaddafi and the Palestine Liberation Organisation
Nchi inayoongoza kwa viwanda vya silaha duniani kuishiwa silaha kwa operation ya siku 30!
Propaganda nyingine ni kujimaliza wenyewe.
Hii ina maana kwamba Europe kwenye suala la maslahi wanaweza kumgeuka Kikongwe, sasa kama hali ndio hii, je NATO wataingia Russia?Uingereza yajitenga na maneno ya 'kilevi' ya Biden alipotaka utawala wa Putin ubadilishwe. Uingereza imesema ni jukumu la waRusi wenyewe kuamua nani awaongoze, na sio Biden.
View attachment 2166002View attachment 2166003
Lakini inajitahidi kuelekea huko 😉RUSSIA sio ZIMBABWE
Hakuna upande wa NATO anayetaka kuingia Urusi. NATO ni jumuiya ya utetezi, si ya mashambulio.Hii ina maana kwamba Europe kwenye suala la maslahi wanaweza kumgeuka Putin, sasa kama hali ndio hii, je NATO wataingia Russia?
Mzee anaropoka kama jibwa koko , mpaka Pentagon wanakuja na tafsiri mpyaKila raisi wa marekani anaekaa madarakani,walau huwa anajaribu kutatua tatizo fulani kubwa lililopo,ili aache historia nzuri,Bush alimuua sadam na kuikomboa Kuwait,Obama alimuua Osama bin Laden,trump alimuu kiongozi wa ISIS na kuzungumza na kiduku WA korea,Yeye BIDEN,mwanachama muhimu mtarajiwa wa NATO,anavurugwa mbele yake,na hana la kufanya na NATO wake,Kwa mzungu mwenzao,historia itamkataa sana,baada ya vita hii,mataifa mengi ya uarabuni yataanza kununua silaha za urusi,mfano ant missile za s400,Saudia wanazitamani sana,sema ndo wamekabwa na marekani...
Hawa UMBWA tukiwazunguka tutawachinja kama KUKURamani ya leo kutoka Aljazeera
View attachment 2166122
We jenerali wa kitandani hutamzunguka wala kumchinja mtu.Hawa UMBWA tukiwazunguka tutawachinja kama KUKU
RUSSIA sio ZIMBABWE
SanaaaaaaaHa ha haa,
Movie zimewavuruga sana vijana humu.
First blood,missing in action,Rambo II and II.
Huna facts ....👉 Ukraine haijamalizika kijeshi kwanza ndo limepanuka zaidi kutokana na silaha na wapiganaji wapya.
👉Ukraine inaongozwa na wayahudi sasa ukisema imekaliwa na wanazi ulivyokua mjinga
👉Ukraine tangia mwanzo haijapewa ndege vita hata moja na ndio maana wanazitaka wapeleke moto Moscow.
👉Putin amebadili msimamo baada kushindwa ichukua kyiv ndo kaamua kuelekea donbass.
Acha wafe tu MKUUNi bala kuna video moja nimeona mji wote umetapakaaa moshi angani