Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Supa pawa wa mchongo aendelea kudhalilishwa. yani mpaka chupi wanavuliwa 👇👇

 
Una kichwa kigumu Sana wewe kijana... naona tuutie grease ubongo wako ndio utaelewa!Sijui nikueleze Mara ngapi Mimi sio mshabiki USA?Putin na Biden to me wote wapo kwenye kapu moja.Siwaelewi na siwapendi,waache viherehere Basi watulie kwenye nchi zao Itapendeza.
 
Sasa hapo RT inafurahiaaa au imeripoti habari ilivo ...bila kutia mafigisu figisu .kama cnn na bbc waavofanya ...

Imeshangilia wapi wakati kiongozi wa hayo maandamano ni mkenya
Hata TBC na magazeti ya uhuru na mzalendo kazi yao ni kutangaza na kuandika tu au vipi.....
Waafrika ndio maana mlitawaliwa mkidhani wazungu walikuja kutalii tuu....
 
Kaka hio vita ingekuwa ukraine kasimama peke ake nakupa wiki tuu ingeshabondwa sana ........we huoni mataifa 30 ya ulaya yanaipa silaha ukraine kupitia poland ...na marekani nao wanapeleka silaha na fedha za kutosha huko na mamluki .....sasa hapo huoni kama russia hawapigani na yukrain balai anapigana na marekani na ulaya .......ivi we kwa akili za kawaida tu ukiangalia ukraine anaweza kusimama peke ake mbele za putin .....bila back up yoyote......hapa alipo tu nchi ishakuwa majivu pamoja na msaada anaopata .....
 
kweli mkuu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2166369
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....acheni utoto basi .......pro nato bhana yaani mmemuokota pimbi moja huko mtaani mkamvisha gwanda mnasema ni kamanda kutoka russia katekwa ...hata kama mna propagandanism sio hivi asee... Jaman ....dahh
 
Pale wako wamarekani, wajeruman, waingereza na wanajeshi wengine wakukodi kibao! Hakuna anaejitolea pale ila walitumia mwanya uo kama njia tu yakuingiza wanajeshi wa mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jomba ...tafuta hela wewe
tunaoshabikia west hatuna huo muda wa kupoteza na kutafuta info ya kukupinga sababu time is money.....especially hii vita......... WTF....
hapa ni social interaction....and fun.... hatuna huo muda wa kupoteza
na pia tumewezeshwa na mfumo wenye akili wa kiwest wa kutafuta hela au tunaishi hukohuko west.....
tulikuwa na muda wa kutafuta info wakati wa kuyapanga maisha tukiwa chuo kikuu kwenye research assignments lakini sio JF ili nionekane najua sana ......

Mfumo wa Russia ni takataka ya dunia, kama Third world na unaedeshwa na ma oligarch including putin(baba wa ma oligarch)
jiulize kwa nini wananchi wa russia wenyewe kila kukicha wanatafuta njia za kuja kuishi west...
Hebu kunywa kahawa vikombe kadhaa nitalipa.....
Halafu tafuta hela Jomba.......
 
Wacha kujitapa tapa hapa ........[emoji3][emoji3][emoji3]...Two 2 wew labda upo west ya huku mbagala ....em kakojoe ulale kwanza.....
 
Hata TBC na magazeti ya uhuru na mzalendo kazi yao ni kutangaza na kuandika tu au vipi.....
Waafrika ndio maana mlitawaliwa mkidhani wazungu walikuja kutalii tuu....
Ila ingekuwa ni cnn au bbc au dw ....ungekenua meno yote 32 ....etii
 

Vietnam haikua jirani na Marekani, Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana kushndwa kuteka Kiev na tayari ameanza mikakati ya kutotoroka, useless kabisa.
 

Uyo dogo anautoto sana bado anabalehe na anakaa kwa shemeji yake. Wa kumpuuza tu bado anamihemuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…