Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Ukraine Ni Allien?
 
Kwanini sasa hayo mazoezi yao wasiyafanyie ndani ya Ukraine, wameamua kuyafanyia kwa jirani?
 
Wewe acha uongo, nia ya Russia ilikuwa ni kuiteka Ukraine hasa Kyiv ndani ya siku tatu tu na sasa baada ya kushindwa ndio sasa wanataka waimege Donbas, kama hujui ngoja nikueleweshe.
 
duh m-rusi bado anaendelea kutoa kichapo
 
Sasa kufanya Nini huko Urussi,fursa za biashara hakuna,pesa sijui rubbles,hakuna dollars Wala Euro wakae tu na li nchi lao.
Hata hawa mbuzi wa Putin hawawezi kubali kwenda nchi ya kijinga ya urussi. Mwaka mzima baridi tu!
 
Kwanini sasa hayo mazoezi yao wasiyafanyie ndani ya Ukraine, wameamua kuyafanyia kwa jirani?
Nato hawataki kuingia Ukraine kwa maana sio mwanachama wao sasa kama Russia ana ubavu awafuate huko huko Poland kama atarudi tena akanyage ardhi ya Russia.
 
Lete ushahidi usipayuke tu kama vile chizi.nchi gani iyo yenye ukubwa kama ukraine itekwe kwa siku 3.hata rwanda tu uwezi fanya ivyo labda waweke silaha zao juu ila kama upinzani upo basi ni vita ya muda.

Kama ulikuwa ujui basi inabidi ujue kuanzia sasa.Ukraine ni kubwa kuliko uliokuwa muungano wa nchi 7( Yugoslavia).yugoslavia inaingia mara 3 kwa Ukraine
Wewe acha uongo, nia ya Russia ilikuwa ni kuiteka Ukraine hasa Kyiv ndani ya siku tatu tu na sasa baada ya kushindwa ndio sasa wanataka waimege Donbas, kama hujui ngoja nikueleweshe.
 
Kuna kitu kingine huwa nashangaa kwenye huu uzi hasa kutoka upande wafuasi wa magharibi. USA na Coalition yake ya NATO washam'declare Russia as their enemy lakin yet wanavunja makubaliano ya awali wanaendelea kujipanua kuelekea kwake.

Biden anasimama kutwambia Russia’s Unprovoked and Unjustified Attack on Ukraine ilihal wao ndio waliolipanga kutoka awali ili kupigana na Russia nje ya mipaka yao. Moja ya kauli hizo ni hapa kwenye hii video.
Your browser is not able to display this video.

The same man aliyejitapa wazi bila kupepesa kwamba alituma watu kwenda kulipua Yugoslavia 24th March 1999. Leo anasimama kumuita mwenzie War Criminal, Butcher na mengineyo.
Your browser is not able to display this video.

Mshauri wa Zelensky nae ni mmoja wapo wa waliopanga haya yanaoendelea Ukraine, kwa kifupi wameshiriki katika kuwatoa kafara raia wao kuwapa ardhi hao MaGlobalist wa kimagharibi kupigana na Russia kwenye Ardhi yao. Msikilizeni vizuri. Na alitoa hint kati ya 2021/22.
Your browser is not able to display this video.

Na katika kubwa ambalo halikuonekana kwa wengine either mahaba au ushabiki, target ya USA na western ni kumwondoa Putin madarakan kama walivofanya kwenye tawala zingine ambazo tunazifaham kama Libya, Iraq na kwingineko walikojarib wakashindwa baada ta Putin kuingilia kati.

Ile kauli ya kusema kua Putin hatakiwi kuongoza haikuwa ya bahati mbaya ile ilikuwa ajenda, Lakini how? Weakening Russia Economy, make people starving, Njaa huwa ni adui mkubwa wa mwanadam [emoji23][emoji23][emoji23] mbele ya njaa nchi haikaliki maana ake yatafanyika mapinduzi kisha utawala utapinduliwa.
Your browser is not able to display this video.

Kitu ambacho waliki'underestimate ni Putin's ability to handle matukio kama hivo. Putin ni Jasusi na very tactical, Hana siasa nyingi kama wao kwasabab tayari ashajengewa picha hasi na analijua hilo kutoka kwa hao hao wamagharibi. Anajua anachokifanya na hatimae kaweza kuwaingiza kwenye 'trap' yake.

Ni ipi twendelee kwenye post nyingine uko mbele.
 
The Ministry of Defense of the Russian Federation has published footage of the destruction of the UJ-22 Airborne drone of Ukrainian nationalists with the help of the Pantsir missile-gun system.

The drone carried an aerial bomb and 82 mm caliber mines under its wing, the Russian military department said.

In total, since the beginning of the special operation in Ukraine, the “Shells” have destroyed more than 300 drones and dozens of military aircraft.
Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
We bado mweupe sana kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Ukraine Ni Allien?
Ukraine sio Adui wa Urusi dada yangu,amini nakuambia,Hawa ni ndugu wa damu kabisa .
Mchawi hapa ni USA TU,ndio mchonganishi.
Anachokifanya Urusi kwa Ukraine ni kama baba au mama kumchapa mtoto wake,au kaka kumpiga mdogo wake ikiwa atakua ame misbehave.
Hii IPO hata kwenye familia.
Adui wa Urusi ni mmoja TU, USA.hata Hawa EUROPEAN wanapelekeshwa TU na USA kugombana na Urusi .
Ndio maana unaona miradi ya Gesi na mafuta wanafanya sana EU na Russia.
USA hapendi miradi hii istawibkwa sababu Urusi anafaiduka sana kiuchumi hivyo kumwezesha kutengeneza masilaha ya Hali ya juu kama hayo. Na hii ndio chuki ya USA ilipo.
 
Nato hawataki kuingia Ukraine kwa maana sio mwanachama wao sasa kama Russia ana ubavu awafuate huko huko Poland kama atarudi tena akanyage ardhi ya Russia.
Urusi hana sababu ya kuwafuata huko, kwasababu Operation hii haimhusu Poland wala NATO, inamhusu Ukraine na kiherehere chochote kitakacho sogeza pua yake ndani ya Ukraine au Urusi.
Kama wanahamu ya kufuatwa huko kwenye mazoezi yao, wafanye wamekosea warushe kombora moja tu liingie Urusi au lijeruhi hata askari mmoja tu wa Urusi kwenye vikosi vilivyopo Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…