President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
unanikumbusha hadithi ya darasa la tatu MUWA ULIOZAMISHA MELIWana msiba mzito sana leo,ngalawa chalii huko [emoji23][emoji23]
Nchi za EU zipo wazi inajulikana nyingi ama zote hazitaki vitaMkuu hizi Nchi za Ulaya hata German wanaburuzwa tu na US wenyewe hawataki kabisa habari za vita ila Mapimbi kama Poland, Ukraine na baadhi ya Nchi za Balkans zinapelekwa kama Makondoo ya sufi hawa misimamo
Nadhani sasa utaanza kuniamini kama Mfalme Zumaridi [emoji23][emoji23].Kuna hoja yako huwa napenda kurefer kipindi kile majeshi ya Russia yako km chache kuingia Kyiv,ulisema kama Ukraine ataweza kuhimili hapo walau kwa week 2 mbele,basi Russia atakuwa na kazi ya ziada.Kwa Boris kuja hadi Kyiv unadhani ile safari ilikuwa ya bure.Sasa naongezea hata Eid El Fitri tutakula na Zelensiky atakuwepo akiendelea na mapambano ya kuilinda Nchi yake .Leo hakuna kazi tunapumzika na shughuli za kulijenga taifa. Ni kutulia na kinywaji na kufuatilia OP part 2 ya Urusi. Kuna mtu alinieleza juzi humu kuwa tutakula pasaka OP ya Urusi ikiwa haijatimiza malengo. Nyamizi
Bila shaka yeye na wachumi wake wanajua kwa vikwazo walivyowekewa na pesa zao zilizoshikiliwa huko nje then wanahitaji diversification ya hizo currencies kwa kiasi gani.Haiwezekani
Ila currency alokua nazo kabla ya unahisi zipo chache kiasi chakuhitaji nyengine !!?
Inawezekana hawa wapuuzi tuuumkuu tulisema hapa kwa ruble hayana uhalisia sn km baadhi ya watu wanavyofikiria, hii hype yote haipo sasa ht kremlin hawaiongelei tena
👏👏👏 nafikiri 🇺🇦🇺🇦 sasa hivi ameanza kurusha vitu vya mbali . muda utanena .Baba lao missile Neptune anasubiri kwa hamu meli nyengine.🙂
Kwahili jamaa sijawaelewa kabisa yaani bora wangekaa kimyaBila shaka yeye na wachumi wake wanajua kwa vikwazo walivyowekewa na pesa zao zilizoshikiliwa huko nje then wanahitaji diversification ya hizo currencies kwa kiasi gani.
HahahaNadhani sasa utaanza kuniamini kama Mfalme Zumaridi [emoji23][emoji23].Kuna hoja yako huwa napenda kurefer kipindi kile majeshi ya Russia yako km chache kuingia Kyiv,ulisema kama Ukraine ataweza kuhimili hapo walau kwa week 2 mbele,basi Russia atakuwa na kazi ya ziada.Kwa Boris kuja hadi Kyiv unadhani ile safari ilikuwa ya bure.Sasa naongezea hata Eid El Fitri tutakula na Zelensiky atakuwepo akiendelea na mapambano ya kuilinda Nchi yake .
Wanafanya re-allocation ya bajeti kwenye mambo mengine na bajeti yenyewe sio kubwa sana. Kufanya maintenance ya meli kubwa ni gharama hata Marekani last month iliona iachane na baadhi ya Litoral Combat Ships ambazo zipo jumla 35 ifanye mambo mengine. Urusi wana tabia ya kuchukulia vitu juu juu ndio maana nuclear submarine kubwa kuwahi kupata ajari ni Kursk ilizama 2001, nuclear disaster ilitokea Soviet Union, miajali ya ovyo jeshini ni wao utasikia ammunition depot imeungua. Marekani ikitokea depot imeharibika kwa uzembe kuna kesi nyingi zinafunguliwa tofauti na Russia ambao wanalindana na hawana accountability nzuri.Okey boss nimekuelewa. Kwann unaamini hazifanyiwi maintenance kama inavyotakiwa?
[emoji23][emoji23][emoji23].....tayari wapo humu wamesha funga shule ....ukitaka kuwajua angalia wanavoishambulia ile meli ya jana iliozama .....yaani taabu tupu ...Leo madogo hawajaenda shule na chuo huu uzi utavamiwa sana leo.
Mmekalia Huo Ujinga wakati video inaonekana wazi hakuna missile iliyopiga hiyo meli!Mpaka moto explosion inatokea,hakuna kwenye video eneo lolote linaloonesha kuwa Kuna missile imepiga!Video evidence inasadiki taarifa ya Russia kuwa chanzo ni moto!Baba lao missile Neptune anasubiri kwa hamu meli nyengine.🙂
Mkuu mbona mie sio pro nato na nipo kwenye list rekebisha mkuupro nato wote maarufu humu ndani nimewaweka kwenye ignore list na mmoja kati yao ni swahiba wangu wa karibu ndani ya JF.
kwe ulimwengu wa siasa ni kawaida sn,Inawezekana hawa wapuuzi tuuu
Hawana lolote na RUBO yao ndio maana sijawahi kua naimani na mizungu mishenzi maana naamini wana same agenda MBWA hawa
While they have Patrice Lumumba University, in the remembrance of the great Congolese anti-capitalism leader killed by racist, exploitative, manipulative side.Sky News?? Anyway Russians are 100 times racist. In USA they recognize Racism as a crime and many people have gone to jail because of it.
Now come to Russia, racism is institutionalized, you can't walk for 5 min in st Petersburg without stop and search or people glaring at you. My cousin spent 7yrs in that country and said he will never return.
Yaa ndo hivo mnalipia gharama za hiyo meli moja kwa mji mzima Msianze kulia lia sasa tulieni hivo hivo .....maana mmeya tafuta wenyewe .....Hasira za meli hizo
Highest level of sarcasm,nimecheka mno,kwamba kila tukio wana maelezo yake ya kupinga[emoji3][emoji3]-hii sio vita bali ni special operation
-tumejondoa kiev kwa nia njema kufanikisha mazungumzo ya amani
-meli yetu imepata ajali ya moto ila umeshadhibitiwa,uharibifu ni mdogo tu na inavutwa kuelekea bandarini
-tumepoteza askari 1350 tu
-
migambo mnaruka na kukanyagana .Mkuu mbona mie sio pro nato na nipo kwenye list rekebisha mkuu
Huko tutarudi tena Mkuu,sasa hivi tuko busy 'kupangua' hili la Meli yetu kuzama[emoji23][emoji23]vipi ule mpango wa kulipa kwa ruble unaendelaje?