Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nijibu swali moja tu: wewe unavyofahamu objectives za Russia kufanya military operation ndani ya Ukraine ni zipi. Kutaja hakuchukui zaidi ya paragraph moja. Baada ya hapo najibu maswali yako
Katika comment niliyokujibu mwanzo nilizitaja. Na nakutajia tena. Ila nakukumbusha ww hujanijibu bado maswali yangu, au umeshindwa!?

Kwa mujibu wa Raisi wa Urusi mwenyewe malengo ni matatu au manne

1. Demilitarize ukr
2. Denazify ukr
3. Helping Russia speaking population in donbass

4. Prevent Ukr frm join Nato (

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Samahani unataja mkataba gani "unaomtaka asiwe upande wowote"?
Mimi najua mkataba mmoja unaotaja swali hili, ni mkataba wa Helsinki wa mwaka 1975, ibara 1. Hapo Urusi (Umoja wa Kisovyeti) ilikubali kwamba kila nchi katika Ulaya ina haki kuchagua yenyewe ushirikiano na nchi nyingine.:
"all the participating States have equal rights and duties. They will respect each other's right to define and conduct as it wishes its relations with other States in accordance with international law and in the spirit of the present Declaration. They consider that their frontiers can be changed, in accordance with international law, by peaceful means and by agreement. They also have the right to belong or not to belong to international organizations, to be or not to be a party to bilateral or multilateral treaties including the right to be or not to be a party to treaties of alliance; they also have the right to neutrality."
Chanzo: University of Minnesota Human Rights Library

Ninayosoma hapa inapingana na hatua zifuatazo za Putin:
1) anataka kuzuia haki ya Ukraine kuchagua ushirikiano wake na nchi nyingine
2) anataka kubadilisha mipaka nje ya sheria ya kimataifa (Krim, Donbass, Georgia...)

Katika ibara 1 ilikubali pia "the right of every State to juridical equality, to territorial integrity and to freedom and political independence. They will also respect each other's right freely to choose and develop its political, social, economic and cultural systems as well as its right to determine its laws and regulations."

Uvamizi wa nchi huru ni pia kuvunja mkataba. Sioni Ukraine ilivunja mkataba huo. Pamoja na hayo Urusi una mkataba na Ukraine wa 1994 alipoahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine.

Je katika maoni yako hakuna lazima wajibu wa Urusi kufuata mikataba yake?
 
Post ya galip S-22 sijaiona hiyo unaweza kui tag mkuu
 
Pro Russia ni watupu kichwani, waongo, wapotoshaji na wengi wao hawajui Historia wamekariri tu mambo waliyosikia ambayo sio facts hata waki Google wanaweza kuona na wanayarudiarudia kama Kasuku.
 
Russia says it thwarted ‘terrorist attack’ on military facility: TASS
The FSB security service of Russia said it had detained four members of an armed group in the Kaluga region south west of Moscow and said one was preparing a “terrorist attack”, the TASS news agency reported.

The four were members of the Hay’at Tahrir al-Sham group, the local media outlet said.

Muda ni mwalimu Putin did a strategic blunder now anapigana Hadi ndani kwake
 
Finland ‘likely’ to submit application to join NATO: Minister
A Finnish cabinet minister has said it was “highly likely” that Finland would apply for NATO membership, despite Russia’s warned of unspecified “consequences” should FInland and Sweden join the military organisation.

Putin amefanya kosa kuwafanya majirani zake wa muwazie upya
 
Ingekuwa ndiyo hivyo unavyofikiri saa hizi USA na NATO yake wangekuwa wameishaingilia Kati....Bado hujaona mighty ya Russia....USA wanajua na NATO wanajua huwa unasoma na kusikiliza information au news between the lines kile kinachotangazwa na vyombo vya habari vya west.
 
Ww acha kujitoa ufahamu kwa hiyo na hili la silaha nalo unataka tuanze kubishana?
Nchi yako Ina Uchumi gani mpaka iweze kununua silaha za kimagharibi?

Kuhusu ugumu wa maisha nimesema dunia nzima hata huko kwa mabeberu wana ilaumu Russia kwa hali ngumu inazo zikabili nchi zao ila ww kutoka koromije unabisha.
 
Mkuu andiko zuri,lkn nakukumbusha TU,sio Putin peke yake Ni Urusi yote toka zama za USSR ndio nchi pekee duniani isiyoogopa n hi yoyote.
Kumbuka Afghanistan USSR ikiipiga afghanistan peke yake na Afghan ikisaidiwa na NATO wote + china+ Saudi Arabia+ others.
Urusi ikiiingia vitani na nchi moja Jua nchi hiyo itasaidiwabna NATO + others..
 
Ukraine Itasalimu amri kabla ya April 30, 2022...ni maoni yangu tu...Kuna watu maarufu wa Ukraine watakuwa destroyed...
 
Triga kwa heshima kubwa uliyonayo humu jamvini nakuomba acha kubishana na huyo jamaa,jikite kuchambua mambo ya mwenendo wa vita TU.
Umemuacha mbali mno huyo jamaa mfano wa mbigu na ardhi.
Yaani inabidi umfundishe kwanza ndio umjibu vijiswali uchwara vyake.
Endelea kutuelimisha sisi ambao tunaelewa mapema.

Hawa watu Hollywood movies zimewaharibiu sana.wanaamini USA ndo Kila kitu.
 
Hivi wa NAZI ndo waasi au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…