Congo wanajua hili?We jamaa bhana we mfano majambazi yanakuja kwako kukuibia kila wiki kwa akili zako hizi we unaona wako sawa wanachokifanya ........rwanda hapo kwa kagame nchi yao inajengwa kupitia resource za congo kwa njia ya mauaji wewe kwako ni sawa tu anavofanya .......
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
HII IMETOKA KWA BWANA GALLIP S--22 ebu pitia hizo nyundo kwanza akili ikukae sawasi pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
Asee cha kufanya rejea kwenye kauli yako Dunia iko west kisha ibebe Tz hiyo uwapelekee uendelee kubaki baki hapo hapo Jupiter ukila mihogo yako kwa mrija.Maelezo mengi sana [emoji2].. usizunguke sana tuichukulie nchi yetu, eeeehe!! Tanzania tunatakiwa kuwa freee kwenye nini ili tuache kuwajengea wao?
Hivi huko kupendwa kwa Putin mnakitumia kipimo gani? Mtu ambaye anawaogopa maafisa wake mnasemaje anakubalika?Lakini hamjajua tu approval rate ya Biden imepungua sana mpaka 49% kwahiyo mwacheni Biden aendelee kusupport hiyo vita ataishia kuwekwa bench uchaguzi huku Putin anapaa kwenye approval mpaka 78%...Ujerumani inajaribu kuongea na Ukrain lakini Zeleski anaweka kichwa ngum lakini vikwazo vinaumiza wote Europe na Marekani.
Mi nimekupa mfano tu wa rwanda to congo lakin hapo congo kuna mataifa mengi tu yanaiharibu hiyo nchi .....asa kwa kauli yako uliosema dunian hatuko sawa na wala hatufanani ni kweli lakini swali langu linabaki kuwa pale pale je wewe unaona ni sawa kwa wanachokifanya kuonea wengine ili kujinufaisha ...wao. alafu mna watetea kwa kusema kisiwa kidogo lakini wana uchumi mkubwa kuliko bara la africa ....Congo wanajua hili?
Na kama hawajui ni kwanini hawajui wewe unajua?
Kama wanajua kwanini wapo kimya,na kama wanapambana wanapambana na Nani rwanda au?
kwanini wasipambane na rwanda moja kwa moja kama ushahidi wa wazi upo? Au ni stories tu?
Chooni Mzee[emoji3][emoji3][emoji3] hizi theories mnazitoa wapi vijana?
kijana sisi ni watanzania punguza mihemko[emoji1](joking)Kumbe jomba una mahaba.. sasa ka haiwezi shindana nao ikawaje ikawa ya 11 duniani katika nchi with the biggest economy duniani? Na katika hizo 10 zilizotangulia. Kuna China, India na Japan ziko Asia... Brazil nayo haipo kwenye hicho kikosi cha Int Community...
So out of all Westerners walioshupaza shingo kwa Russia ni US, Germany, UK, France, Italy na Canada walio juu yake in term of GDP. Je hao waliobaki ni akina nani?
Unasema hawezi shindana nao, ila wanaojua uchumi wanakwambia kua ENERGY ndio backbone ya uchumi sehem yoyote ile duniani. Russia ana supply energy to EU hawa ma capitalist kwa about 40%... Kwa hiki kiasi kama una akili unajua uchumi wa EU uko mgongoni kwa nani?
Kama hiyo haitoshi kukupa Alarm ya uchumi wao umeegema au unamtegemea nani unaeza kutueleza why baada ya ku'impose sanctions kwa Russia... Hivi vikwazo vinawaumiza wao zaidi kiuchumi kuliko Russia???
Boy uko serious kweli au na we ni katoto ka wale nisje kua napoteza mda wangu tu bure apa [emoji848]
Frank Wanjiru unadanganya na kujaribu kupindisha ukweli,mie habari za hiyo meli USS Cole nazijua nje ndani,naona hapa tutakesha.Nishajibu hilo swala,kuwa USS Cole haikupigwa kwa missile bali ni gaidi wa kujitoa muhanga ndio alijilipua na meli haikuzama. Pia kuna conspiracy theory kuhusu kulipuliwa hii meli kuwa Israel inahusika kulipua hii meli kushinikiza madai yao yatimizwe na Marekani.
Kwani Kuna ubaya Gani mbona USA alitumia kwa kinchi Cha Japan.
Kama chanzo ni wewe mwenyewe baada kuvimbiwa daku basi ni matumizi mabaya ya muda na bando bora hiyo pesa ungekunywa safari ya motoKifupi SAS , Navy Seal na Muisrael wapo Ground. Na hii vita inapigwa kutoka Pentagon Telaviv na UK. Russia anachokipata hakutegemea. Chen chen wana casualties sasa. Inakoelekea Ukraine itabaki Magofu tu na madeni kibao why russia kajitoa mhanga
Chanzo vya Facebook, haupo seriousHasara nyingine Kwa Urusi baada ya meli kuzamishwa.Kifaru Cha kisasa,hatari na ghali Cha Urusi,T-72 chateketezwa na Jeshi la Ukraine, huko mashariki mwa nchi[emoji848]
Войдите на Facebook
Войдите на Facebook, чтобы общаться с друзьями, родственниками и знакомыми.lm.facebook.com
Yaani hawawezi kabisa mikiki,Babu Yao akishambuliwa tutaoga mitusi Siku hiyo mpaka Basi yaani,Sasa hii meli Leo tutatukanwa mpaka tujute....tuwasamehe tu wanapitia magumupro russia wote humu wanatukana, ndege wafananao wanaruka pamoja
Tangu mwanzo ilikuwa ni Vita kamili,achana na Wakomunist wanaojifariji hapa.Wengine wametafuta sababu za kukana meli haikulipuliwa na Ukraine huku Boss wao Putin kawaka kwa hasira akiapa kulipa kisasi kwa meli yake kuzamishwa.Sasa ukiwauliza wakomunist wa hapa JF kama meli ilipata hitilafu na kuzama yenyewe,iweje Putin afure kwa hasira za kulipa kisasi.Hawana jibu.Sasa kama watafika huko ni OP au vita?
Huyo bado yuko kwa denial,baada ya muda ataukubali ukweli kama wenzakeMeli imezama ni hasara kwa Urusi, haya mambo mengine kuwa ilikuwaje hayana maana tena.