babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Putin anamwendo flani hivi wakibabe,huwezi mlinganisha na yule mpeana mikono na kivuli[emoji23]. Au yule aliokotwa kwenye mtaro baada ya saa 24[emoji28]. Kisa kasikia mlio wa kombora. Kapoteana na walinzi wake.Huyu mwamba ni number chafu
Kwa hiyo unakiri kwamba Russia alifanikiwa kuwahadaa US/NATO kuwa ana nguvu!?Ni kweli hata wao walijua Russia ni Superpower mwenzao lakini sasa ndio wanashitukia kuwa uwezo wa Russia ulikuwa overrated tofauti na uhalisia. Ndio maana wanazidi kumsapoti Ukraine ili kumchokonoa jamaa waendelee kumsoma. Huu mtego alioingizwa Putin uko well calculated. Ni suala la Muda tu
Ulipotelea wapi 😀Tangu mwanzo ilikuwa ni Vita kamili,achana na Wakomunist wanaojifariji hapa.Wengine wametafuta sababu za kukana meli haikulipuliwa na Ukraine huku Boss wao Putin kawaka kwa hasira akiapa kulipa kisasi kwa meli yake kuzamishwa.Sasa ukiwauliza wakomunist wa hapa JF kama meli ilipata hitilafu na kuzama yenyewe,iweje Putin afure kwa hasira za kulipa kisasi.Hawana jibu.
Inaeleweka.Yaani ingelikuwa Marekani ndio inapigana na Ukraine na kwa hasara za kijeshi alizopata Russia na Vifo vya Millitary Personnel,Basi Marekani angelikuwa ameshaikimbia Ukraine zamani Sana. Lakini kwa Urusi Ni Tofauti,Hata wakifa Wanajeshi wote lakini lazima ushindi Upatikane. Hii ndio tofauti ya Urusi na Marekani kwenye Slogan zao za Kivita.
Russian Millitary Slogan;
"Mission Must be Accomplished at any Cost"
American Millitary Slogan;
"If the Victory is too costly to Achieve you retreat to minimize Casaulties"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....huyo NYAMIZI alikimbia humu aliposikia russian boys wanaingia PHASE 2 huko kiev dada akaona isiwe taabu aibu zote za nini ndukiUlipotelea wapi [emoji3]
Dah,Ila huyu jamaa anaweza ingia mwenye chart ya world Guinness kwa UOGA aiseeHivi huko kupendwa kwa Putin mnakitumia kipimo gani? Mtu ambaye anawaogopa maafisa wake mnasemaje anakubalika?View attachment 2189585
Inaonekana.Kwa hiyo unakiri kwamba Russia alifanikiwa kuwahadaa US/NATO kuwa ana nguvu!?
Kwamaana hiyo intelligence yao ni mbovu huwa mnaioverrate!!!?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
west watakuwa maskini kuliko russia, hilo liko wazi kwa kila mwenye akili timamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kati ya russian na western ni nani nai maskini wewe angalia wameweka vikwazo lakini vina warudi wao wenyewe ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hahaha, sidhani. Itakuwa kuna majukumu alikuwa nayo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....huyo NYAMIZI alikimbia humu aliposikia russian boys wanaingia PHASE 2 huko kiev dada akaona isiwe taabu aibu zote za nini nduki
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ila wa Russia mna hasira Sana leo...Kama chanzo ni wewe mwenyewe baada kuvimbiwa daku basi ni matumizi mabaya ya muda na bando bora hiyo pesa ungekunywa safari ya moto
anapendwa halafu anawapiga pini wapinzan wa kisiasaHivi huko kupendwa kwa Putin mnakitumia kipimo gani? Mtu ambaye anawaogopa maafisa wake mnasemaje anakubalika?View attachment 2189585
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....naona unamlinda na kumtetea kweli kweli bim mkubwa NYAMIZI kwani kuna nini kinaendelea broohh ...Hahaha, sidhani. Itakuwa kuna majukumu alikuwa nayo.
Ataelewaaaa...!!??Cha asubuh shida ako cha mchana hukioni, Just kidding tu so usikasirike.
Ona sikia jamaa angu, toka miaka kadhaa dunia imekuwa ikitengenezwa katika mfumo wa duara. Katika mfumo wa kumlisha mtawala. Katika mfumo wa kuhudumia kati huku pembezoni pakibaki wazi.
Uchumi ni nini? Uchumi sio GDP hiyo ambayo unaenda kulinganisha kwa kutumia number rafiki angu, uchumi ni shughuli za kibinadam kuanzia level ya chini ya udhalishaji wa malighafi mpk level ya juu ya habari na usambazaji wa bidhaa.
Si kweli kwamba dunia iko Magharibi, bali Dunia ni Dunia, isipokuwa sie viumbe tuna hulka ya kutumiana [emoji847]... Ukitaka kuona watu wamechoshwa vipi na huo mfumo wa kutumiana angalia response wanayoitoa kwenye hili zogozogo linaloendelea.
Ukiwa na macho mazuri utawaona Western wanajua tunakoelekea na ndipo utapoona hao [emoji241] wakikazana kuhakikisha haliwi na kuvunja umoja wowote utaojitokeza upande wa Global South...
Ukiachana na hilo kuhusu Africa kua maskin hiyo ni story nyingine wala haihusiani kabisa na kile kilengwa cha hapa. Em jiulize Bara ka la Afrika, limejaa rasilimali za kutosha, lina hadhina za kutosha ila zote zinabebwa zinapelekwa nje huku Raia wake wakibaki kua maskin wa kutupwa utasema Dunia iko magharibi?
Moja ya kitu kibaya na cha kinyama ambacho Global South imewah kufanyiwa ni kupandikizwa "Inferiority Complex" kwenye mind zao. Global South inavunwa na hawa mabepari wa magharibi... Global south sio masikini bali wametengenezwa kua maskini ili exploitation iendelee... View attachment 2189535 Huu ni mfano tu kwq Africa. Na kitendo ambacho viongozi hawa hawa mnaowaweka wanabariki upuuzi huo.
Na ikitokea akaja wa kutaka kujinasua utaona namna atakavoshambuliwa na kuondolewa madarakani...
Shida kubwa tunajichukulia we are nothing but they(hao kua) are something kwenye kila sphere of life. Na hiyo ndio imekuwa silaha ya kujimaliza wenyewe hatufanyi kitu mpaka watupangie na vile walivojiweka kiasi cha kufanya ukiwa na kipaji ukipata pesa unakimbilia kwao kujenga na sio kuimarisha sehem ulipo...
Kuna ka aina flan hv ka utumwa kukavuka ndio ukombozi wetu ila hakuna mwenye Gut hiyo na akitokea basi hatodum lazima ataondolewa...
Language ni Pillar y Communication skills, mawasiliano mazuri yanaleta uelewa mzuri hivo kuchochea maendeleo. Uzae mtoto usukuman, lugha ake ya kwanza iwe kisukuma, akue aanze kujifunza kiswahili, atoke kiswahil ajifunze lugha ya beberu, ndio aanze kujifunza maarifa. Huyu atakuja kukukomboa lini? Unaeza kunipa mfano wa nchi iliyoendelea inayotumia lugha ya mgeni kujielimisha? Huu ni moja ya mfano wa majanga yanayotukabir.
We need to be free, tukiwa free ndio tutaeza fanya maendeleo yetu. Ila sasa major regions of the world ipo utumwani kuwatumikia watawala wa dunia. Hatufanyi kwa ajil yetu bali kwao.
Hao wapinzani ni ma puppet wa us na allies wenzie so Putin sio fala mzee ....anapendwa halafu anawapiga pini wapinzan wa kisiasa
leo wamekuwa wakali mno, meli wamesema haijashambuliwa ila bado wanakuwa wakali shida sijui ni nini, tunaoga matusi vyakutoshaIla wa Russia mna hasira Sana leo...
kila mpinzan serious kwake ni puppet sio?Hao wapinzani ni ma puppet wa us na allies wenzie so Putin sio fala mzee ....
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hii westrn wanaziba maskio na kusaga meno wanatamani wafumue ardhi wazam8e wazima wazima
India receives components of 2nd unit of S-400 Surface to air missile system from Russia
As reported by India Today, Russia has delivered a consignment of S-400 amid the ongoing conflict between Russia and Ukraine. The consignment of S-400 missile system was delivered by ship and is now operational. Parts of the missile system arrived via both air and sea routes and were quickly deployed in the designated locations. There are no delays in the delivery of S-400 components and its going on as per planned. Apart from S-400, India has also received the overhauled engines from Russia
Anatakiwa akomboe kwanza majimbo yake, akiweza awarudishe nyuma wanajeshi wa urusi, akiweza ashambulie Russia. Swali ataweza kufanyo chochote kati ya hayo? Kwa sasa anailinda Kiev isianguke kwa msaada wa nje. Angalieni ukweli sio propaganda za media.Mi nachodhani PUTIN hakujiandaa na hii vita ya UKRAINE. Kweli angejiandaa vilivyo haya madudu yasingejitokeza.
Na kadri UKRAINE anavyozidi kupata silaha kutoka USA, UK aisee anaweza kuanza kuishambulia URUSI kwenye ardhi yake.
Wanasema ukicheza na mtoto mjinga anaweza kukutoboa jicho. URUSI anafanya masihara na hii vita, itamcost.
Habari inashangaza kidogo. Nikitafuta naona iko tayari Krimea. Inafanya kazi kwa umbali wa km 5000.Russian Army has started using "Murmansk-BN" 2nd phase is definitely starting,more sophisticated weapons being used. The most powerful electronic warfare complex "Murmansk-BN" suppresses the communication of the Ukrainian Army
Nani asage meno kwa sababu gani kama Uhindi inapata roketi hizo, kama si China???Hii westrn wanaziba maskio na kusaga meno wanatamani wafumue ardhi wazam8e wazima wazima
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app