Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro nato dawa yao ni kuwa tembezea spana tuu mpaka wana kimbia wenyewe humu ....na wakirudi wanakuja na sijui tumepiga kifaru na stinger au sijui javellin javelin blaah blaah... [emoji23][emoji23][emoji23]...upuuzi mtupu ........yaani pro PUTIN tukaze goti wakija tu tunawapiga spana huku tukiwa tumebeba fact mkono wa kushoto .......yaani anaekuja na uongo anapigwa na anaoneshwa fact za ukweli ...... ...naona wamesepa siwaoni humu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine washamzidi Urusi mbinu na ndo maana Ukraine anapokea vifaa kibao kila siki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin ni mtu muovu sana hajali maisha ya binadamu wengine, hatakubali kuonekana amefanya blunders na hakujipanga kuivamia Ukraine na kupigana na jeshi lake ataua raia wengi sana na kuigeuza baadhi ya miji magofu kama alivyofanya Alepo au Grozny.
 
Kwamba hana nini mkuu, umekunywa togwa au ulanzi ?
Haujasikia habari ya Hypersonic alizorusha kyv mpak Uk na Australia wameamua wakae wajadili kuunda mifumo ya kuzuia Hypersonic.
Leo Comed Zelensky ametahadharisha Putin kutimia Nuclear au chemical weapon.
Mkuu acha ulevi.
Vita inayopiganwa Ukrain si kama ya Libya, NATO wamejazana Ukrain na Wengine wamekamatwa mateka na Russia.
Tema mate chini mkuu putini asiamue kutumia Tsar, ni zaidi ya hatari dunia itavurugika nakwambia.
 
Pro russia hamuwezi kuishiwa vichekesho mna ongea utazani nyuklia anayo russia peke ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…