President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Rais mpumbavu,anaiangamiza nchi yake na wananchi wake kwa kudanganywa na Nato na wamarekani,kweli mchuma janga hula na wa kwao,Papa mwenyewe hapendwi na waumini wote, sembuse kiongozi wa kisiasa?!!ni kiongozi gani duniani ambaye anapendwa na watu wote?!sasa hiyo mikoa miwili iliyojitenga ulitegemea nini, yaani watu wanajitenga tu kutokana na ushawishi wa nje, na wewe kama kiongozi unaangalia tu!!nakwambia huyu ndio rais aliyoko mioyoni mwa wananchi wengi wa ukraine, na yeye anayosimmamia ni matakwa yao ya katiba waliyoyapitisha hata kabla hajawa rais wao, mfano nia ya kujiunga NATO, na EU.
Achana na Warusi, wana hasira mno maana malengo yao hayajatimiaLakini wananchi wake wako pamoja naye na wana mkubali sana!!na anaonekana ni shujaa, ndio raha ya kuwa kiongozi uliyechaguliwa na wananchi, sio lile pandikikiz la Putin!!
Duh, sasa kwanini avatar yako ni ya mheshimiwa Yuda?Tokea jana usiku milipuko isiyo koma inaendelea kusikika ndani ya jiji la Kiev huko Ukraine.
Duru zinatabanaisha maeneo yahifadhio silaha na viwanda vya silaha ndiyo yanayolengwa zaidi.
Kina nani ambao hawampendi?Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.
MK254 njoo usome hii commentRais mpumbavu,anaiangamiza nchi yake na wananchi wake kwa kudanganywa na Nato na wamarekani,kweli mchuma janga hula na wa kwao,
Take badala ya tookAmerica warned Kiev few days ago but as usual i think they didn't took it serious.
Hujamsikia Jeo Biden kuhusu swala la Taiwan.kwann mkuu? issue ya taiwan inaweza isije kuwa complicated saana vile china imeshafanikiwa sana na one china policy plus economic power yake ni ngumu kumchallnge
Russia yaendelea kuwaonesha kwenye Tv wanajeshi wa Uingereza waliodakwa na majeshi ya Russia kwenye mapigano ya Mauripol
Mwanajeshi wa pili wa Uingereza Shaun Pinner aoneshwa na kuhojiwa kwenye TV ya kijeshi ya Russia....asema hataki kuendelea tena kupigana Ukraine, anataka kurejea nyumbani. Huyu Russia hawajamchabanga, ila wa mwanzo ambaye ni Aslin walimtengeneza vizuri kwa kipigo hevi...uso wake ukaumuka utadhani ulitiwa hamira.
Wanajeshi hao walivunwa kwenye mapigano ya mji wa Mauripol, walijisalimisha kwa majeshi ya Russia pamoja na wapiganaji zaidi ya 1400 wa Ukraine baada ya mji huo kuzingirwa kwa zaidi ya wiki 7, pasiwe na cha kuingia wala kutoka huku ukipelekewa moto mkali wa mvua za mizinga na makombora...asante sana Putin kwa hiyo mbinuvita ya kipekee!
View attachment 2190379View attachment 2190380View attachment 2190381