President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Huu ndiyo ushinda sasa,muulize Putin akwambie maumivu ya kuzamishiwa Manowari yake.Anatokea Kilaza Mmoja Anakuambia Russia Anachapika
Surrender or dieMuda wa Kuyaua Majangili ya UkraineView attachment 2190479
Haiondoi maumivu ya kupoteza lile li Manowari letuEti Urusi Anachapika
Ukisikia Hivyo Jua Huyo mtu Ni kilaza na Bado Yupo kwa Shemeji
Nje ya Propaganda Hali Halisi ndio Hii Ukrein
SHIKA MOO MRUSI
America warned Kiev few days ago but as usual i think they didn't took it serious.
Yatajengeka hakuna shida,uzuri pesa z kujenga zipo.Ila miji ilivyokuwa imejengwa na kupangika vizuri kwa sasa inasikitisha kuona majengo yanabakia magofu tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]hii meli ilizama yenyew baada ya ajali ya moto kutokea, lkn ukraine ndo kakasirikiwa, wakulima wana tabu huko leo
Tangu siku ya kwanza ilikuwa hivi hivi,tukajua baada ya siku 3 Putin atakuwa kamaliza kazi,leo tunakwenda mwezi wa pili.Hakuna jipyaKipigo Takatifu Kinaendelea
Kharkov being hit again.
Na Jimeli kuubwa liko huko limegeuzwa makazi ya Papa na Nyangumi[emoji846][emoji23][emoji23] tuliona msafara wa kivita wa km 60 sembuse hapo [emoji848][emoji848][emoji848]
hawa pro russia wote leo wanatukana tu sijui shida nn!!
Baada ya Ukraine kusurvive zile week mbili za mwanzo,hakuna tena kinachowaogopesha.Watasimama mpaka dakika ya mwishoKwa hapa walipofikia inawezekana wameamua wafe wote historia iandikwe maana wanajua Urusi ana mabomu ya hatari hadi ya nuclear, lakini wapo wamesimama wakijitetea badala ya kuomba huruma yake.
Hakuna cha kupoteza tena zaidi ya wao kusimama na Ukraine mpaka mwanajeshi wa mwisho atakapoaga dunia.Baada ya Ukraine kusurvive zile week mbili za mwanzo,hakuna tena kinachowaogopesha.Watasimama mpaka dakika ya mwisho
Mkuu sisi wala hatunaga mbwembwe nyingi lakini tukipiga tunagonga panapouma.Ile ya meli ni tumechoma kwenye moyo wa Putin.Maumivu aliyonayo kupoteza ile Meli hayaelezekiUmenikumbusha utotoni unakuta dogo wa form one kagombana na njemba ya form four(kipindi kile walikuwa wakubwa kweli wanafunzi wa form four), basi dogo unakuta anapigana huku analia.... kwann unanioneaa kwann unanioneaaaa, dogo anapigwa mitama anaanguka anaamka na kilio huku anarusha ngumi mpaka njemba inaingia na hofu maana akitumia nguvu zake kamili ataonekana alimwonea na kesi ikienda juu hakuna mwalimu atakayemwelewa na kuacha kupigana hawezi asije zomewa kuwa amekalishwa na dogo, basi anabaki hapo katikati akikwepa kwepa ngumi na kumpiga mitama.
Akitokea mtu akawaamua ukimwangalia njemba unaona kabisa ameshukuru MUNGU maana dogo na hasira zake angeweza asikubali mpaka amtoe damu.
Ila kwa upande wa Ukraine amepata wa kumsaidia na kuchochea ugomvi sio kuamua ugomvi.[emoji3] Ngoja tusubiri mwisho wake.
Kwa maoni yangu Ukraine Hawana tena cha kupoteza. Waendelee kusimama na msimamo wao.
Urusi labda afute kabisa Ukraine isiwepo duniani, kinyume na hapo awamu itakayofuata ni awamu za kisasi kutoka vikundi vidogo vidogo miaka ya mbeleni maana masalia yatatengeneza vikundi adui wa Urusi, watu wa Ukraine wameonyesha msimamo na mapenzi kwa nchi yao. Ukiwaacha wanajeshi masalia kuna uwezekano kukaibuka vikundi vya kulipiza kisasi huko mbeleni. Vitakuwa vikundi vya kigaidi kwa Urusi.Mkuu sisi wala hatunaga mbwembwe nyingi lakini tukipiga tunagonga panapouma.Ile ya meli ni tumechoma kwenye moyo wa Putin.Maumivu aliyonayo kupoteza ile Meli hayaelezeki
Ilinenwa kua Urusi sio Zimbabwe.Russia keeps grain flowing abroad
Russia has continued exporting grain to some of its biggest customers, including Egypt, Turkey, and Iran, Bloomberg reported on Thursday, citing the general director of the Moscow-based Institute for Agricultural Market Studies, Dmitry Rylko. Supplies have been maintained despite the surge in shipping costs, he said.
According to Logistics OS, nearly 900,000 tons of wheat have been loaded at Russian ports so far this month, in line with the pace in March. Crop data from AgFlow also showed that Russian exports of key agricultural commodities, including wheat, fell by just 1 million tons over the first 13 days of April, meaning shipments abroad were close to the level for the same period in March.
Acha kuniangushaSio mwanahabari hivi hivi, ni wa serikali.
Baada ya kutawala,nini cha maana anaambulia,au kuharibu majengo.Maumivu ya kuzamishwa ile meli hayaelezeki kwa Putin na hatokaa asahau mpaka anarudi kwa muumba wake.niliwahi kuandika humu ndani, tokea hii operesheni ilipoanza wanajeshi wa russia wanatawala mchezo kwa siku 5 then wanafuata ukraine kwa siku 1 wafurahie, kwa mfano tokea ilipokuja taarifa ya kuzama kwa meli kuna tukio gani kubwa walilofanya ukraine?..kwa ufupi kipigo kimerudi tena kwao baada ya mapumziko ya siku 2.