Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Zelensky hawezi kua marehem kwa hij ishu naaminiMkuu Mimi Nina maono tofauti kidogo.
Ingawa sifurahii Hali hii,lakini
Naamini siku Saba hazipiti Zelensky atakua marehemu.
Vladimir Putin aliishi Bagamoyo kwa miaka kadhaa,katika operation ya kuikomboa msumbiji.Hivi kwenda Russia visa ngumu kama huko US/UK? Nataka niende Moscow au Gronzy kuwasalimia Mwamba Putin na Kadrov vita ikiisha wamejua kunikomeshea watu haha!
Nakuambia hivi, Zelensky atataka kukimbia nchi lkn hatofanikiwa kuvuka mpaka drone inamsubiri.Zelensky hawezi kua marehem kwa hij ishu naamini
Jamaa akiona mambo mabaya anakimbia yule hatakaa
Jamaa anaulisha watoto zawatu ila yeye kama NATO tu ni COWARD balaa ila mambo hayajaiva tuuuu
Hii ni dalili ya ANGUKO KUU la Yankee Empire.Saudia yaendelea kumnanga Biden na Marekani na kujiweka mbali na sera za Marekani za kupangiana nchi/watu wa kushirikiana nao
MBS azungumza na Putin kwa simu, wajadiliana mikakati na mipango ya kuendeleza ushirikiano ktk nyanza mbalimbali kati ya Saudia na Russia. Pia marafiki hao walioshibana wamejadiliana maendeleo ya vita vya Ukraine.
MBS hataki Saudi ya sasa kupangiwa marafiki na Marekani.
Namuona Biden kanuna vibaya mno...
View attachment 2190692
View attachment 2190691
Once Mariupol falls in the hands of Russian federation, Putin's goals will be close to be achieved!Heheeee
Mtaongea lugha zote ila muhimu lengo la RUSSIA linaenda kufikiwa nshakuna kitakachotokea wakati jojia anapelekewa faya yalisemwa zaidi ya haya ila malengo yalifikiwa namaisha yanaendelea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Uliandika "putin ktk moja ya speech zake alsema kuwa urus haina no ovu dhidi ya maeneo ya majiran zake".kumwamn nan mkuu?
Saana na ajab mbali na kutuma hizo silaha...Ukiiangalia movie ya WE WERE SOLDIERS unabaki kusema tu STOP THE WAR
Cz ni men in suits & tie sitting in their offices engineering others who dies on front line !
And even when u win the war /battle but u can never heal the loss ! No winner in any war ! Even the winner
Ajabu wanapeleka more weapons badala ya ku enforces peace talks !
Means they are adding More fuel to fire instead
Una maana ganiMwandiko mzuri kwelikweli
MisaadaHizi ndege Russia inasema imezilipua si Russia walisema wamezimaliza, au hizi zinatokaga wapi?
Fungua macho. Bila shaka utaratibu wao una kasoro nyingi. Kuna ubaguzi mbaya katika sehemu za nchi, na historia mbaya zaidi.Marekani hana demokrasia wala hajali haki za binadamu. Taifa dhalimu sana hili.
SawaSio kitu rahisi bro, askari wa ukraine hawako wenyewe wanapata back up ya mabeberu ndio maana wameweza kulinda defence lines zao muhimu na vikosi vya urusi vimeshindwa kuvuka. Vita ina formula zake na mbinu zingine huwa zinaibuka kutokana na maitaji ya mazingira husika. Kipengere cha propaganda ni section muhimu sana kuongeza morale ya wapiganaji waliyo mstari wa mbele au kuvunja na kuwachanganya maadui zako. Kwa mfano, kuna vikosi baadhi vya urusi vilikaribiswa vizuri na raia wa ukaraine wakapewa chakula cha sumu, mji wa kivy ni eneo muhimu la strategia kuuteka na kuzingira Russia ameshajaribu akashindwa japo mwenyewe akatengeneza propaganda kuwa amatimiza lengo analudi nyuma kijipanga tena.
Hii vita haiwezi kuisha leo wala kesho na zalensky hawezi kufaNakuambia hivi, Zelensky atataka kukimbia nchi lkn hatofanikiwa kuvuka mpaka drone inamsubiri.
Wakati wapo askari wa Urusi wanapigana upande mwingine wapo askari maalumu wa Urusi wanafatilia nyendo za Zelensky tayari kabisa Kula kichwa.wanajua alipo na analindwa na nani,idadi ya walinzi na nguvu ya walinzi.
Zelensky halali sehemu moja usiku mmoja, Zelensky anahamishwa kwa akili na maarifa makubwa mno,lakini amini nakuambia,haipiti wiki ataingia kwenye kumi na nane za "Fsb Spetsnaz"
Kwa kifupi ni kwamba Zelensky anaviziwa kuliko mtu yoyote duniani kwa Sasa.
Sishabikii kifo Cha Zelensky lakini huo ndio Ukweli wenyewe.
Kaka hayo yote uliyosikia ni fujo tu, hakuna msingi.Kuna jarida nimelisoma katika vita inayoendelea nchini ukraine ni kati vita ya jamii mbili zinazopigana kati ya watu kutoka jamii ya wanazi dhidi ya jamii ya wayahudi.
Je wanazi ni akina nani na wayahudi ni akina nani maana tumeambiwa hii vita inayopigwa ni kati ya wanazi na wayahudi, na ni kwanini wanazi na wayahudi huwa hawaelewani.
Sina ushahidi pia kwamba Moskva haikuwa na kikosi cha wachawi waliofichwa ndani yake. Kuhusu mambo ambako hakuna habari hakuna ushahidi.Wewe wa ajabu sana, una ushahidi gani kwamba Moskva haikuwa na missiles zenye nuclear warheads.Kama unao tupe,vinginevyo stop bickering.
Tafadhali jibu maswali usikimbie:Demokrasia Kwa mambo ya ndani anajitahidi,ila si huyu huu US aliyeumbuliwa kudukua mawasiliano ya watu kinyume na sheria na Snowden?Mpaka Leo huyo jamaa kakimbia nchi!
Huyo Marekani kavamia nchi ngapi bila ridhaa ya UN security council?
Mpaka sasa hili unalolisema ndilo utakalotaka litokee ili useme I TOLD YOU GUYS, hakuna sababu ya kusema hushabikii kifo na wakati ndani ya siku saba asipouwawa utakuwa disappointed kuwa haukuwa sahihi pale utakapoulizwa mbona hajafa?Nakuambia hivi, Zelensky atataka kukimbia nchi lkn hatofanikiwa kuvuka mpaka drone inamsubiri.
Wakati wapo askari wa Urusi wanapigana upande mwingine wapo askari maalumu wa Urusi wanafatilia nyendo za Zelensky tayari kabisa Kula kichwa.wanajua alipo na analindwa na nani,idadi ya walinzi na nguvu ya walinzi.
Zelensky halali sehemu moja usiku mmoja, Zelensky anahamishwa kwa akili na maarifa makubwa mno,lakini amini nakuambia,haipiti wiki ataingia kwenye kumi na nane za "Fsb Spetsnaz"
Kwa kifupi ni kwamba Zelensky anaviziwa kuliko mtu yoyote duniani kwa Sasa.
Sishabikii kifo Cha Zelensky lakini huo ndio Ukweli wenyewe.