Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Watapiga hesabu Gani !!? Wakati hata za kuhama na baki kichwani hawawezi....Wanacho cha kupoteza.
Roho zao na ardhi (sehemu) ya nchi yao. Thats a lot to loose man!
Mpk sasa hv kuna wakimbizi zaidi ya milioni nne kutoka ukraine, raia waliokufa ni maelfu, wanajeshi waliokufa ni maelfu, miundombinu iliyoharibiwa ya kiraia na kijeshi ni maelfu.
Endapo wataendelea na vita watapoteza maeneo mengi sana masahariki, kz na ks kuna possibility nchi yao ikabaki land locked. Idadi ya wakimbizi itaendelea kupanda halkadhalika vifo na majeruhi na hiyo sehemu waliyobaki nayo itaharibiwa vibaya. Wakiamua kusimamisha vita na kurudi mezani na kukubaliana na matakwa ya bwana putin hayo yanaweza kuepukika. Ni suala la kupiga mahesabu tu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hawampi mkononi bali wananunua silaha wanampa.Hivi Rais wa UKRAINE hiyo misaada ya kifedha anayopewa akiamua kuziiba kwa kuzificha ili baadae azitumie kwa malengo yake binafsi. Atagundulika?
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweWaliamua kusimama imara na ni maamuzi sahihi kabisa.Historia ya Nchi yao itawakumbuka kwa kulitetea Taifa lao.Vinginevyo Putin alitaka kuleta mazoea,kila akilala akaiota Ukraine asubuhi analianzisha,baada ya hapa hatoleta tena mazoea hayo,itambidi awe anafikiria mara mbili kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda kuvamia jirani zake.
Kaka mwenendo wa siasa za wenzetu unatofautiana na nchi za Africa especially kusini mwa jangwa la sahara ( community feeling ) za wenzetu ziko juu kulinganisha huku kwetu ambapo ubinafsi upo juu sana, kama ukraine ingekuwa ni corrupt state Russia asingetumia muda mrefu kutake over. Taarifa za kijasusi zingekuwa zinauzwa kirahisi vijana wa putini wasingepata hasara kubwa. Ukraine wanajitambua na ndio maana wanapambana, Rais wao aliepita walimuondosha kwa maandamano coz wanajua wanachokitaka. Wenzetu uhuru una matter sana kuliko kitu kingineUzalendo wafanye wanaokula mema ya nchi kwanza. Taifa letu sote ila wanaolifaidi wachache.
Huyo Zelensky na viongozi wote wa nchi ya ukr watoto wao na familia zao hazipati shida na wala hawako front line. Mkishaikomboa nchi wanarudi kuja kuendeleza ulaji na nyie mnarudi kuwa tabaka la chini
Ujinga
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] nyie!!! Nacheka kama mazuri vile, Zelensky ni worst president ever to rule Ukraine. Huwezi ukawa shoga unapelekewa moto na wanaume wengine alafu ukawa una akili timamuKuna shemeji ako apa, nikamwambia ila kwa hii CV aliyonayo huyu Prezda wa Ukraine hii nchi inaenda kubaya... Huezi ishi the whole carrier as comedian, tena type ya comedian anayehamasisha ushoga af ghafla bin Vuu ukaja shika nafasi nzito na kubwa kiasi hicho... View attachment 2190804Akadai mie na wivu kila mtu na bahati ake.
Bas bn nikatulia, nikamtizama weee, nikamuita jina flan akaitika. Kisha nikamuuliza. Em pata taswira uko juu ya ndege, ndege ipate itilaf kisha ianze kuyumba, wakati upo katika tafran unaambiwa Rubani anayeongoza ndege hata ile baiskeli hajawai endesha, utapata reaction gani...???
Akapiga kelele "Mama weeeee twaaaafaaa. Nikwambia kelele za nini nae si ni bahati yake au... Akajibu Bahati gani kwenye uhai wa watu, vitu vingine vinahitaji uzoefu, huezi fanya majaribio kwa kutumia uhai wa wenzio
[emoji18][emoji18][emoji18] Nikatabasam kiduchu, moyoni nikajisemea mwanamke ni mwanamke tu ka watoto vile(Hapa nikawakumbuka na baadhi maarufu wapo hapa [emoji1787]), kwao tomato ni ya kwenye chips tu ila ukimpa (tomato) nyanya halisi anaitafutia jina lingine...
Aisee...
1993-2018 Comedian
2019-Uptodate President
Hujawai hata kua katib tarafa [emoji848]
Wasaidizi na washauri wakuu ndio ka hao akina Arestovych from d same entertainment industry walio na ndoto za kuifanya Ukraine rude as Israel... Nini hatma ake, kwanini ka nchi kasigeuke kua Magofu.
Hata wewe lazima ufe tukupande kama mbegu na hauoti.Kitu nina uhakika nacho putin ni lazima afe
Wenye matege ya hivi ni wakorofi sana ...fuatilia tu.Huu mwamba wa chuma upon sana mpaka dunia iwe multipolair ndo utaondoka ila upo sana.View attachment 2190517
Hii ni nzuri kwa Puttin ila kwa raisi wa Ukraine hiyo nchi iko wapi ya kuwa salama kwa hapa ilipofika? Imelipuliwa kila sehemu, Silaha zimetapakaa na hao wenye silaha hawaandamani kumpinga raisi wao, nasikia weshawahi kuwapa sumu wanajeshi wa Urusi. Inamaana wanakubaliana na raisi wao.Maswali yako ni mazuri kwa mtu anayetaka kutetea hishma yake!
Unafikiri dignity na uhai ni kipi kinaanza!?
Anaweza kurudi mezani akakubaliana na Putin majeshi ya urusi yakarudi nyumbani nchi ikawa salama kisha yeye akastep down kuepusha uhasama kwa raia wake.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Its a matter of making the right decisions.sijajua kwann inakua tatizo kwa waukraine kupigania taifa lao? ht wapalestina dhaifu kabisa huwa wanapigana na israel kwann iwe dhambi kwa waukraine? mkuu hebu toa ufafanuzi kdg hapo
Alishasema kuwapeleka magaidi Kwa Mungu ni jukumu langu. ..hukumu ni jukumu la Mungu.Hayo ni maneno ya kujipa moyo. Russia sio Marekani. Inayopambana na ugaidi miaka na miaka. Ukitaka kujua Russia ni nani waulize IS. Putin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa Mungu watu kama hao unaowasema
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kumbe kweli ndege iliyokuwa imebeba silaha ilitubguliwa, leo nimeona skynews wametangaza
Anasema Washington, D.Then bado utakuta vitoto vinavoishi kwa shemeji zao zinashabikia hawa viumbe... Hawa viumbe hawajai kuwa na mapenzi kwa mtu mweusi zaidi ya kumletea ARV na chandarua kisha anasepa na madini kwenda kujenga nchi yake... View attachment 2190859Haya hawa hapo sasa wanaanza kuwaandaa kisaikolojia taratiiibu...
Baadae tutapigwa mkwara wa Global warming [emoji57], mifugo ipunguzwe kulinda mazingira kisha mnaletewa hadi nyama za kutengeneza maabara... View attachment 2190866Huu ndio ulimwengu tunaoishi, unachaguliwa cha kusikia, unachaguliwa cha kuona, unapangiwa hadi the way uwaze, lakin mimtu haikomi inaendelea kushangilia hizi [emoji241]
Mara 1000 bora adui ajae na Panga mkononi, kuliko yule akuijiae na maji aloyatilia sumu kukupa ukiwa na kiu.
Msiwe mnaongea vitu msio kuwa na ufahamu mtaonekana kituko.Kumbuka hiyo meli ilozamishwa ilikuwa na mfumo wa s300 ndani mwake. Russia hana mashine bora ya kivita yenye uwezo mkubwa kuishinda hii meli ilozamishwa apa juzi.
Kwa hii ndoto mkuu jiangalie Kama hujajichafuaNa muda sio mrefu Ukraine anakomboa miji yake yote akianza na Mauripol, baada ya hapo anajiunga NATO maisha ya raia wa Ukraine yanaendelea uzuri kabisa.
SLAVA UKRAINE
😀😀[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama vile huko kwa wapalestina na waarabu toka mwaka 1948 mpaka leo wanailipiza KISASI kwa waisrael mpaka leo na kiukweli waarabu na palestina wanaionea sana israel israel inalia liaga kuonewaga na wapalestina na waarabu ....[emoji18][emoji18][emoji18]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Wamalekani wa tandale haya Mambo hawayajuia kabisa.tuwasamehe bule ,sio kosa lao !!Kuna farasi amesema huko juu ni propaganda imebidi nimuache tu, nimepita kama sijaona comment. Ila Pro NATO acheni ubishi na utoto usio na tija tukiwaambia huko ukraine hali ni mbaya mnabisha sijui mnafanya makusudi au mnataka ubishani usio na tija.
Mkipata kihabari kibaya kuhusu Russia mnapalilia mnang’ang’ania kweli mfano moskova week nzima ndo habari kwenu. Hao NATO wanaompa kiburi ukraine watamkimbia watamwacha yatima ni suala la muda tu.
Russia ni jeshi kubwa ni majasusi kinachoendelea ukraine wanajua vizuri kabisa NATO ndo wanaopigana nao na si ukraine kama tunavojua huku.
Unaweza kuona jinsi Russia walivo hatari wanapigana na nchi 30 na zenye uchumi mkubwa bila sahau jeshi kubwa lakn wanawamudu vizuri kabisa.
Ingekua NATO wanapigana pale ukraine afu Russia wakaingia wangekua wamekimbia muda sana. Nyie vijana wa NATO hamuijui Russia vizuri hawa jamaa wako vzr sana kivita hata hio no2 waliyompa sio sawa Russia ni No1 duniani hawa jamaa wanagonga hatari aseee.
Kuna NATO mnachekesha sana kuna boya utaskia anakwambia Russia hafanyi service ya vifaa vyake vya jeshi, mara kuna utaskia Russia hawezi mudu vita zaid ya mwezi sababu ya uchumi, mara hana mafuta acheni kupotoshwa na propaganda za west.
Msione NATO wanapiga kelele wanamjua vzr RUSSIA na wanamwogopa na hakuna wa kumgusa.
Kaka acha kukalili wachekeshaji nao ni watu kama sisi na wana vipaji na taaluma zao nzuri tu kuweza kuongoza nchi. Kama viongozi wenye elimu kubwa tena maprofesa lakini mmoja kwa kinywa chake alisema ametoka jalalani.Ila raia wa ukraine nao ni wangese, hivi kweli hapa kwetu joti anaweza kugombea uraisi???
Hivi Rais wa UKRAINE hiyo misaada ya kifedha anayopewa akiamua kuziiba kwa kuzificha ili baadae azitumie kwa malengo yake binafsi. Atagundulika?
Sawa asante. Ni kweli mazingira ya hapa si kawaida na mara nyingi mtu anayejaribu kupata haki yake dhidi ya wakubwa au vyombo vya dola yuko hatarini.Ongezea na swali hili nikujibu vizuri!
Ni nchi gani ambako raia anaweza;
kama ni mwanaume Yuko huru kugeuzwa na kuingiliwa na mwanaume mwenzie na kutetewa na Katiba ya nchi!
Jibu la swali langu:Nchini kwangu hayo yote uliyotaja Pamoja na Hilo nililoongeza hakuna,labda baadhi ya nchi za EU na US yenyewe!