Pamoja na support ya Nato, ukraine inaangamia,ila Zelensk kakubali taifa lake liwe uwanja wa majaribio ya silaha za mabeberu wa ulaya na marekani 🤔Kwanza anga lote la Ukraine lipo chini ya NATO, kwa teknolojia gani ya kijeshi waliyokuwa nayo Urusi mpaka waweze kuishambulia Kiev? Hivi huyu jamaa anatuchukiliaje sisi?
Uongo mwingine bwana
Hata niwe under arrest ya afande Muroto,sinywi taka za Mrusi.Mrembo nataka nikutoe out ukanywe vodka ya Mrussi upo tayar??
Jama anasema yupo tayari kupigana na Russia kwa 10 years. Jamaa alikuwa comedian kweli aisee!Mkuu Mimi Nina maono tofauti kidogo.
Ingawa sifurahii Hali hii,lakini
Naamini siku Saba hazipiti Zelensky atakua marehemu.
Mkuu hapa kuna watu ukiwakuta kule kwenye Jukwaa la Siasa wanavyotokwa mapovu dhidi ya 'uonevu' wa CCM na ukija hapa kwa huu uzi unakuta mtu yule yule huku anashabikia uonevu wa Putin unabaki unajiuliza,ndiyo huyu huyu mtu mmoja anaeshabikia huu uonevu au ni pacha wake.Ukrain wamesimama na wamehesabiwa na vizazi vyao vitawakumbuka na kuendeleza kutetea Taifa lao siku zote.
Yah Mzee wao Wana data zao nyingi kuliko hizo data IMF na World Bank walizotoa...Namwona RUSSIA no6 hapo afu kuna mtu anakwambia masikini[emoji28]
Hakika sasa wamekua wapiga RAMLI chonganishiWameongea kikolosai, kikorinto, Kilawi.. Watamaliza lugha za biblia zote watakuja kuongea mpaka kindamba kenge Hawa...
Hata niwe under arrest ya afande Muroto,sinywi taka za Mrusi.
Umesameheka MKUUPoint, kwanza naomba radhi kuna sehemu nilikujibu shombo am sorry. Vita bila kupika propaganda nzuri ina matokeo mabaya sana na yakuhuzunisha. Nakupa mfano, wakati jwtz wamevifurusha vikosi vya amini jeshi lilipewa majukumu mapya ya kuingia Uganda na kumn'goa idd Amini, baada vikosi kushumbulia na ketaka mji wa mbalala walilipa kisasi najua hapa umenielewa. Bro vifo vingine vya raia vya raia vinaweza kutokana na visasi, kwa mazingira yanavyoonekana jeshi na Raia wote wako vitani kulinda nchi hapo vikosi vya russia vinapata changamoto kusonga mbele, Kuna baadhi ya convoy zilikuwa zinazuiwa na raia. Kama wewe ni mwanajeshi umetumwa kwenye hii vita kudead ni njenje tu, na unaweza kupata tatizo la kisaikolojia maana unaweza kupewa order kushambulia raia. Kuna sauti za
makamanda wa Russia wanatoa oder ( kill them for the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala sake).
@Tsh kama hii habari itakua naukweli unaona
Hizi ni ambazo zimedakwa na Hawa wahuni,Sasa zipo nyingine zimedakwa maeneo mengine na wahuni wengine wa ki Russia .Mizigo inazidi kudakwaView attachment 2191058
Nimesema dialogue closed.Andika Kiswahili, usijaribu lugha ya kigeni. (Ulitaka kuandika "uncouth", hakuna "uncooth"). Nahisi umekopi kwa psychopaths from the west, sawa na kile ulichowahi kuleta kuhusu "Khazarian Mafia", ulitegemea vichaa wa Marekani pekee.
US na shost zake hii OP inayoendelea hapo KIEV imewaacha UCHI sanaaUS allies around the world refuse to impose sanctions on Russia.
According to The Economist, India has become the most uncomfortable country in this regard. The publication notes that at a recent online meeting with Biden, Modi, instead of blaming Russia for what happened in Bucha, called for an independent investigation.
In Asia, the Middle East, Africa and Latin America, even long-time allies and satellites of the United States are rejecting their requests for sanctions against Russia, or even criticism of it, the publication says.
The author of the article adds that in the Middle East and Turkey, the position of the West in relation to Ukraine is considered hypocritical and self-serving. Especially considering the US war in Iraq in 2003 and NATO bombings in Libya in 2011.
In addition, he draws attention to the different approach to accepting refugees from Ukraine and Syria in Europe.
Galip Sr View attachment 2191007
A pointless comment not worth to respondNyiye hata mkiulizwa mafanikio ya Russia katika hii vita mnaishia kutuonyesha majengo yaliyoharibiwa,tukikuulizeni lengo hasa la Putin kuvamia Ukraine lilikuwa ni hilo la kuharibu majengo? Kama ni hilo basi amefanikiwa lakini kama malengo yake yalikuwa ni mengine,basi bado anacheza ngoma ya lizombe
Unajua Triga umemfukuza T14 amata humu jamvini kwa nondo zako.Sikushughulika na maswala ya Bucha kwa sababu nlijua propaganda kazini. Ukweli wa kwamba Urusi anazingatia casualties za civilian ameusema Putin mwenyewe pale aliposema watu wengi wanauliza operesheni haiwezi kumalizwa haraka akasema inaweza tatizo isipokuwa kinachokwamisha ni casualties.
- Urusi mwanzoni walitoa mpk deadline kwa watu kuondoka maeneo ambayo wangekuja kuyataget badae. Wakapunguza mapigano.
- wakatengeneza nafasi za korido za kibinaadamu kuruhusu watu waondoke meneo hatarishi
- wanatoa msaada wa vyakula na dawa kwa raia mpk wanajeshi waliojisalimisha wa ukr
Inatosha kwangu kusema russia wanazingatia kupunguza human/civilian casualties
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtu akikaribia kufa ndio anakua na tabia ubishi namna hii.Jama anasema yupo tayari kupigana na Russia kwa 10 years. Jamaa alikuwa comedian kweli aisee!
Wewe umechelewa huu uziAaaaaaagh!
Huu ni uongo mkubwa, Ukraine hawawezi kuwapigia magoti Russia, sio Ukraine ninayoijua mimi, never, never!!!!
Hao Russia watafurushwa na majeshi ya Ukraine, baadae NATO wanaweza kuja kuongeza nguvu kuwafuata hao Russia mpaka viunga vya Moscow!
Russia ni Zimbabwe iliyochangamka!!!
NdiyoHivi mkuu meli ya urusi iliyozama ilikuwa au ina uwezo wa kutumia nuke??