MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Kwa mtazamo wangu huwenda USA na NATO walikuwa na taarifa kuwa ndani ya meli kuna kombola la nuke Kwa hiyo west walitaka kupiga counter attack, yaani walipue meli kisha kombola la nuke lilipuke, na katika mlipuko meli Vita zote zilizopo pale bandarini na nchi kavu Kwa kilometa kazaa wangeangamia wakati Russia anajiuluza nini kimetokea wamshamvulie urusi Kwa ghafla, lakini nadhani wamemiss calculation zao na bomu lililo ndani ya meli halijaripuka, hiki ndicho kimemtia hasira Russia na kuongeza mshambuliNdiyo
Akili yangu ipo vile vile ndugu Dinho ila labda kama wewe unajiambia unachoona ni sawa kujiambia.Naona sasa akili inaanza kukukaa sawa, maana nimepitia karibu uzi wote huu, ww ulikuwa unaona hao UKRAINE kama wanawamudu URUSI.
Duh...comment nyingine bwana acha tu...vita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa 🇷🇺🇷🇺. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo 🇷🇺🇷🇺 atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?
Nikiwa mdogo pale kijijini kwetu aliwahi tokea jamaa mmoja aliitwa Mwasile , jamaa alifungua Kaduka kake , pale kijijini kulikuwa hakuna duka zaidi ya kwa jamaa . kwa kweli alikuwa ndo mkombozi niseme. Jamaa kulitambua hilo akaanza malingo Mara Leo afunguwe , kesho pamefungwa yaani akawa haeleweki sometimes mnashindwa hadi kunywa chai kisa sukari hamna Mwasile hayupo. Hali ile iliendelea bahati nzuri akaja mpemba mmoja akafungua duka lake kijijin tena kubwa kuliko la Mwasile . mwisho wa siku Mwasile Akahama pale hakuonekana mazma .
Haya maneno ya kuacha kuitemea Urusi kwenye nishati ni ya kisasa zaidi na yamekuwa yakitamkwa na wana siasa lakini kitaalamu na kiuchumi haiwezekani kirahisi.Mkuu amini hii vita imewapa funzo hawa jamaa . Ndo maana nimesema wataendelea kuitumia nishati ya [emoji635][emoji635] lakini wakati huo wakiendelea kutafuta alternatives nyingine , ambayo nauhakika itapatikana tu . Muda utasema .
Ok,[emoji120][emoji120] mkuu, duniani hapa usipende sana kutumia msamiati wa HAIWEZEKANI . kumbuka mwanzoni dunia ilikuwa na utegemezi mkubwa wa nishati ya mafuta . utakubaliana na Mimi kuwa nishati ya gesi ilikuja kufanya mapinduzi makubwa sana kwa mafuta . mitambo na vyombo vingi kwa sasa vinatumia nishati ya gesi .gesi Leo hii imekuwa ikipiganiwa kuliko hata mafuta . Hata ulaya kinachowaumiza zaidi ni gesi kuliko nishati ya mafuta . maana yangu ni IPI ?. Kama jamaa walitoka kwenye utegemezi mkubwa wa mafuta . na sasa wapo kwenye utegemezi mkubwa wa gesi, Amini kuwa iko siku wataamua pia kuachana na utegemezi wa gesi watatafuta chanzo kingine cha nishati ,
Leo hii tunasikia wameanza kutengeneza gari zinazotumia nishati ya umeme , unafikiri hawana akili ?. Wanaanzaga kuhama mdogo mdogo . tena kama utani vile . Kwanza hizo gesi na mafuta iko siku zitaishaga huko ardhini , unafikiri hawalitambui hilo ?.
vita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa [emoji635][emoji635]. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo [emoji635][emoji635] atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?
Nikiwa mdogo pale kijijini kwetu aliwahi tokea jamaa mmoja aliitwa Mwasile , jamaa alifungua Kaduka kake , pale kijijini kulikuwa hakuna duka zaidi ya kwa jamaa . kwa kweli alikuwa ndo mkombozi niseme. Jamaa kulitambua hilo akaanza malingo Mara Leo afunguwe , kesho pamefungwa yaani akawa haeleweki sometimes mnashindwa hadi kunywa chai kisa sukari hamna Mwasile hayupo. Hali ile iliendelea bahati nzuri akaja mpemba mmoja akafungua duka lake kijijin tena kubwa kuliko la Mwasile . mwisho wa siku Mwasile Akahama pale hakuonekana mazma .
Kwa namna shughuli za kijeshi zinavyoendeshwa kwa umakini mkubwa hasahasa linapokuja swala la nyuklia ni vigumu kuamini kama wanaweza kufanya blunder (miscalculation) kubwa kiasi hiko.Kwa mtazamo wangu huwenda USA na NATO walikuwa na taarifa kuwa ndani ya meli kuna kombola la nuke Kwa hiyo west walitaka kupiga counter attack, yaani walipue meli kisha kombola la nuke lilipuke, na katika mlipuko meli Vita zote zilizopo pale bandarini na nchi kavu Kwa kilometa kazaa wangeangamia wakati Russia anajiuluza nini kimetokea wamshamvulie urusi Kwa ghafla, lakini nadhani wamemiss calculation zao na bomu lililo ndani ya meli halijaripuka, hiki ndicho kimemtia hasira Russia na kuongeza mshambuli
Tichaaaa .........basi unajiona umetiririkaaaa mzeee baba ......alafu unajiita mwalimu ......huna akili ....kabisavita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa [emoji635][emoji635]. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo [emoji635][emoji635] atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?
Nikiwa mdogo pale kijijini kwetu aliwahi tokea jamaa mmoja aliitwa Mwasile , jamaa alifungua Kaduka kake , pale kijijini kulikuwa hakuna duka zaidi ya kwa jamaa . kwa kweli alikuwa ndo mkombozi niseme. Jamaa kulitambua hilo akaanza malingo Mara Leo afunguwe , kesho pamefungwa yaani akawa haeleweki sometimes mnashindwa hadi kunywa chai kisa sukari hamna Mwasile hayupo. Hali ile iliendelea bahati nzuri akaja mpemba mmoja akafungua duka lake kijijin tena kubwa kuliko la Mwasile . mwisho wa siku Mwasile Akahama pale hakuonekana mazma .
Duuuh,punguza kuangalia movies!Kwa mtazamo wangu huwenda USA na NATO walikuwa na taarifa kuwa ndani ya meli kuna kombola la nuke Kwa hiyo west walitaka kupiga counter attack, yaani walipue meli kisha kombola la nuke lilipuke, na katika mlipuko meli Vita zote zilizopo pale bandarini na nchi kavu Kwa kilometa kazaa wangeangamia wakati Russia anajiuluza nini kimetokea wamshamvulie urusi Kwa ghafla, lakini nadhani wamemiss calculation zao na bomu lililo ndani ya meli halijaripuka, hiki ndicho kimemtia hasira Russia na kuongeza mshambuli
Eti anatolea mfano wa duka la Mwasile na Oil & Gas ya Russia😀😀😀😀!Tukiwambia nyie ni vilaza uwezo wako wa kufikiri ni zero unatukana. Ticha unanipa wasiwasi elim yako na uwezo wa kufikiri Russia ana kila natural resource hao EU wasiponunua atapata soko nchi zingine na atauza.
Russia hajawai mlingia mtu na nishati zake hao EU ndo wanaringa wakati wanashida usifikir nchi zingine zitafata ujinga wao never. Hata wakiamia kwenye nyuklia bado wanahitaji uranium kutoka Russia.
Uwezo wako wa kufikiri ni zero afu unajiita mwalimu hao wanafunzi wanaelewa darasani??
Russian sio afrika mzee ile ni levo ingine ....marekani wenyewe na ubabe wao lakini hawathubutu kutia mguu kwa urusi....Bado sijamuelewa kamanda Putin.
Chanzo cha mgogoro ni Ukraine kutaka kujiunga na NATO.
Sasa majirani wengine wawili wa Urusi yaani Sweden na Finland nao wamenuia kujiunga na NATO.Sasa je Putin ataanza vita nyingine ama?
Mrussi yupo vizuri aiseeAlternative ni ipi hiyo!?
Coal wanamtegemea Russia
Uranium wanamtegemea Russia
Mafuta wanamtegemea Russia
Hata magogo/Kuni wanamtegemea Russia
Hiyo alternative wanayoisema wataitafuta ni ipi na itatoka wapi!?
- Mafuta yapo Venezuela na Iran ila Venezuela na Iran ziko na Putin watawasaidiaje!? Saudia ndio huyo ashaanza kuwa unreliable. Ktk kipindi hiki cha uhitaji Opec wanakataa kupump mafuta zaidi ili kujaza pengo la Russia.
- Gesi ipo qatar ila haiwezi kufika ulaya bila kupitia Syria ambayo ipo chini ya Assad ambaye yupo madarakani mpk sasa kwa hisani ya Putin. Gesi haiwezi kupita kwake. Na ikienda kwa njia ya meli ni lzm itakuwa ghali
- Coal na uranium usipozitoa russia si bei itapanda!?
Hivyo ni vitisho tu. Hawana ujanja
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umerudi salama mkuu...!Ni kweli, nilikuwa kujitolea Ukraine huko!
Kwamba Russia hana pengine pakuuza!?vita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa [emoji635][emoji635]. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo [emoji635][emoji635] atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?
Nikiwa mdogo pale kijijini kwetu aliwahi tokea jamaa mmoja aliitwa Mwasile , jamaa alifungua Kaduka kake , pale kijijini kulikuwa hakuna duka zaidi ya kwa jamaa . kwa kweli alikuwa ndo mkombozi niseme. Jamaa kulitambua hilo akaanza malingo Mara Leo afunguwe , kesho pamefungwa yaani akawa haeleweki sometimes mnashindwa hadi kunywa chai kisa sukari hamna Mwasile hayupo. Hali ile iliendelea bahati nzuri akaja mpemba mmoja akafungua duka lake kijijin tena kubwa kuliko la Mwasile . mwisho wa siku Mwasile Akahama pale hakuonekana mazma .
Hapo pembeni ni tractor?Chombo kinatitiaView attachment 2189357
Wewe jamaa mbna unapenda kumshambulia mtu kwa matusi badala ya kujibu kiustaarabu ?. Hivi tukisema humu wote tuanze kutukanana nini hatma yake ?. Kwanini usijibu hoja kiustaarabu ndugu . Heshima haiuzwi .wote humu matusi na kejeri tunaviweza tena pengine hata kuliko unavyofikiri .Tukiwambia nyie ni vilaza uwezo wako wa kufikiri ni zero unatukana. Ticha unanipa wasiwasi elim yako na uwezo wa kufikiri Russia ana kila natural resource hao EU wasiponunua atapata soko nchi zingine na atauza.
Russia hajawai mlingia mtu na nishati zake hao EU ndo wanaringa wakati wanashida usifikir nchi zingine zitafata ujinga wao never. Hata wakiamia kwenye nyuklia bado wanahitaji uranium kutoka Russia.
Uwezo wako wa kufikiri ni zero afu unajiita mwalimu hao wanafunzi wanaelewa darasani??
Maandishi yako yanasadifu jina lako😆😆Kwa mtazamo wangu huwenda USA na NATO walikuwa na taarifa kuwa ndani ya meli kuna kombola la nuke Kwa hiyo west walitaka kupiga counter attack, yaani walipue meli kisha kombola la nuke lilipuke, na katika mlipuko meli Vita zote zilizopo pale bandarini na nchi kavu Kwa kilometa kazaa wangeangamia wakati Russia anajiuluza nini kimetokea wamshamvulie urusi Kwa ghafla, lakini nadhani wamemiss calculation zao na bomu lililo ndani ya meli halijaripuka, hiki ndicho kimemtia hasira Russia na kuongeza mshambuli