Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado sijamuelewa kamanda Putin.

Chanzo cha mgogoro ni Ukraine kutaka kujiunga na NATO.

Sasa majirani wengine wawili wa Urusi yaani Sweden na Finland nao wamenuia kujiunga na NATO.Sasa je Putin ataanza vita nyingine ama?
Tumpe muda MKUU naamini PUT IN wanajua kipi wanafanya nanini wanatakiwa kukifanya nakwawakati gani wakifanye
Hao FINI na SWED hawatajiunga na NATO hiki kipigo walikua wanatumiwa watu salamu !!!
 
Bora niishi nchi inayo kosa hayo kuliko KUISHI nchi yenye hayo na kuingiliana kinyume na maumbile katiba hiyohiyo I amtetea mtendwaji na mtendaji...kaishi huko kaka ukafirimbwe vizuri Kwa uhuru.
 
The world is entering a new era of the Cold War because of the situation around Ukraine.

This was stated by the official representative of the President of Turkey Ibrahim Kalin.

We need to prepare for the impact that the "new cold war" will have in many areas, from food and energy to cybersecurity, he said.

At the same time, Turkey will continue to help search for a compromise between Russia and Ukraine.
 
bhana wee nakumbuka enz zile embas zipo karib karib nikawa nawaza hawa jamaa watakua wanadukuana hapa sio kitoto na mpka sas hiv ukipit nje pale jamaa huwaele elew yaaan .siom gar sio watu yan sielewag wale jamaa pale salenda
 
The main thing about the special operation of Turkey:

- Turkish special forces units, supported by artillery and UAVs, landed in the areas of Metina, Zap and Avashin in the province of Dahuk in northern Iraq;

- the positions of the Kurdistan Workers' Party (PKK) were hit by F-16 aircraft;

- the head of the Turkish Foreign Ministry said: "If we see a fire in a neighboring country, we come to put it out";

- Defense Minister Hulusi Akar: β€œThe objectives of the first stage of the special operation have been achieved. Unlike previous operations, this one will be long, as Turkey will not stop until the last terrorist is killed”;

- on Turkish television it is said that the territories on the Sinjar-Mosul border may be possible final targets;

- Bot farms started working in social networks, talking about "Great Turkey" with part of the territories of Iraq, Syria and Greece;

- The official authorities of Iraq did not comment on the actions of the Turkish Armed Forces.
Galip Sr
 
ndio mana hii ishu otaisha wakubwa wakikaa mezan wakubaliane bipolar
 

Solar bado ni kipipi kwa ulaya jua ni adim snaa kule kwa wenzetu.
 
Hizo takwimu za wanajeshi 20000 umezitoa wapi?
 
Hizo takwimu za wanajeshi 20000 umezitoa wapi?
Ni hesabu ya Ukraine. Kama kila habari za aina hii, ina propaganda. Kwa hiyo si ya uhakika sana. HAkika hao 1500 au nini waliotajwa na Urusi si kweli. (maana hata kwenye kuzama kwa Moscow hakuna taarifa hata ya kifo 1 - ambayo haina uwezekano mkubwa wakati baruti na roketzi ndani ya meli zinalipua).
Marekani nilisoma wanakadiria zaidi 10-12000 vifo upande wa Urusi.

Kwa vyovyote: kama wangebaki nyumbani na kufanya kazi yao halali: Kulinda na kutetea nchi yao - wote wangekuwa hai.
 
Bora niishi nchi inayo kosa hayo kuliko KUISHI nchi yenye hayo na kuingiliana kinyume na maumbile katiba hiyohiyo I amtetea mtendwaji na mtendaji...kaishi huko kaka ukafirimbwe vizuri Kwa uhuru.
Hivi katika maisha yako hujawahi kupiga puli!?πŸ€”πŸ€”πŸ€”. Kama umewahi kwanini !?. Je unatofauti gani na shoga !?.
Wataalamu wa saikolojia wanasema mtu anayepiga masturbation huwa anakuwa na jinsia mbele kwa wakati mmoja.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Duh....yaani bado mpaka Sasa upo kwenye manowari?! Wenyewe wameshasahau wewe bado umeshikilia hojaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Putin analia hadi leo (na kufoka). Halafu hakika hakuna aliyesahau tukio (isipokuwa watoto wa Ubongo wanaopenda kuchezea propaganda..). Hakika kila nahodha Mrusi atapima kila siku mara kadhaa kama umbali wake na pwani unatosha!
 
Fungua fikra vizuri , πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ akidondoka hata hao Europe ambao ni wateja wa nishati ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί na wao automatically wataanguka . hiyo itapelekea uchumi wa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kuyumba .
Harafu nawashangaa mnaokaza kuwa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί anauza 🌍 nzima nishati yake . Mfano mdogo tu hapa Tanzania mbona mafuta (petrol na ya kula) yapo bei juu na tunaambiwa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ndo mzalishaji mkuu mbona haji kutuuzia huku ?. Mnasema anauza 🌍 nzima ipi hiyo ?.
 
Mkuu kama hutojali achana na hizi mada za ushoga sijui puli.
 
Mkuu kama hutojali achana na hizi mada za ushoga sijui puli.
πŸ™πŸ™πŸ™ . hawa proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί wengi wanafiki humu. Wanajifanya kuupinga na kuukataa ushoga kwa kusingizia πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ ndo ameleta hayo mambo . Nlitaka nimuonyeshe kuwa ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine tu mfano .
Masturbation. Prostitutions nk.
Huwezi kusema unapiga vita ushoga huku ukiwaacha Malaya wanajiuza mitaani.
Huwezi kusema unapinga ushoga huku ukiacha watu wananunua vifaa vya kupigia masturbation .
Dhambi ya ushoga ipingwe kama dhambi zingine tuache unafiki.
 
Achana nayo tu hiyo topic sababu hoja zake hazina hata uhusiano na kinachotufanya tuingie kwenye hii mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…