Kuropoka!?!?!duh....Mnateseka Sana aisee?!ukiletewa hapa utafiti uliofanyika nchi mbalimbali kuhusu mtazamo na kuaminiwa kwa vyombo vya habari vya habari vya magharibi utasemaje Ndugu yangu?!?! Utaendelea kweli ku-comment kwenye Uzi huu?! Na bill Shaka huna habari kuwa mjadala umeshafanyika tayari na mingine inaendelea kufanyika kwenye nchi mbalimbali za West on media performance on/in Ukraine-Russia war ...verdict ni biased reporting in the mainstream media in favour of the west...Umefanya research au umeropoka tu brother, yaani kabisa unasema nchi mbalimbali duniani ๐๐๐๐ unachekesha sana. Harafu fahamu kuwa propaganda ni silaha na ina pande mbili uwongo na ukweli unaoumiza. Propaganda inaweza kupikwa kutokana na agenda ya kushamirisha jambo litokee. Kwa mfano, neno ( ubeberu ) ilikuwa ilikuwa ni propaganda ya kashamilisha sera ya ujamaa, ndani ya uwanja wa vita inaweza ikajengwa propaganda kama ( fake retreating ) kumuhadaa adui kisha kumshambulia kwa kasi. Mabeberu tunawachukia bure tu lakini wako smart sana mambo yao hawababaishi maana ushindani ndio jadi yao. Tunaitaji therapy kutibu ( inferiority complex) ili tuepuke unyonge kuona tunaonewa na mabeberu badala ya kushindana vizuri.
Kama na hapo hajaelewa mnunulie pampas avae akacheze kwa kujiamini na watoto wenzie [emoji23][emoji23][emoji861]Braza wewe unataka ubadili Gia angani tubadili vita coz ndo iliyotuleta hapa umeona moto wanavyopelekewa umeanza kuchambua mafuta Kwanza kwenye nishati mafuta unaonekana upo mweupe unahisi mafuta ni petrol na diesel kama tunaoziwa sisi end product wenyewe wanauziwa crude oil na kuyachakata kwa matumizi mbalimbali umekazana wataachana na mafuta wataachana na mafuta pambafu Kwanza kwa taarifa yako brand zote za supercars wanatengeneza gar zenye kunywa mafuta mengi Bugatti,Ferrari,Lamborghini,Aston Martin and etc and the owners of car are very proud of fuel consumption itz not easy for anyone especially shi##t hole Country unaposema wanasitisha haraka unadhani ile ngoma ya kumcheza mwali akiingia kwa mumewe mnatoa maturubai kwa hiyo ndege zao zitakunywa mtori na nmeanza kuhisi ukisikia urusi anawauzia gas ulaya unadhani kama zile tunazouziwa sisi za mihan na taifa gas zipo kwenye mitungi make Kwanza hapo ncheke kule zimefungwa kama Maji majumbani na viwandani matumizi ya natural gas wew utakufa utayaacha yanapiga kazi makaa ya mawe yameacha kutumia Sana kwasababu ya gas unajua yamerun kwa karne ngapi na sio kwamba yameachwa yamepunguza matumizi ila Kuna viwanda vinayatumia na bahati mbaya ni kwamba Urusi vyote anavyo kwahiyo braza #msalimie semeji hapo nyumbani kwake
Mnooo mnooo mnoooooNdugu yangu hiyo USA kwa Sasa mmmmmh Vita hii imetoa mafunzo mengi Sana kwa kweli...ukiona hata watu wa kawaida tu wanaanza kuzishitukia nchi za magharibi pamoja na vyombo vya habari vya kipropaganda ujue mambo yamebadilika...kwa Sasa katika nchi mbalinbali duniani kuaminika kwa BBC, Aljazeera, Skynews, Fox News, CNN kumepungua mno mno mno mno[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23]
kama ilikuwa unafikiria Ukraine inaukubwa kama mbagala unapoishi basi kazi ipo.Tangu siku ya kwanza ilikuwa hivi hivi,tukajua baada ya siku 3 Putin atakuwa kamaliza kazi,leo tunakwenda mwezi wa pili.Hakuna jipya
Walioshiwa na kula wanawapa watu vyakulaHawa Captured Ukrainian Soldiers wakilishwa vizuri tu na matibabu wanapatiwa View attachment 2191890 Media hazioneshi hiki, Upande wa pili wanafanya matendo ya kinyama na bado hawakemei.
Kutegemea reserves kuhimili vikwazo ni risk endapo nchi za Ulaya, Asia na Africa zitaweza kuhimili kutokuhitaji huduma yake akakosa soko la export au kama kazuiwa kufanya transport ya bidhaa zake kwenye maeneo ya bahari na Anga nje ya eneo lake.Russian economy entering โdifficult periodโ โ central bank
The countryโs businesses will need to adapt to the sanctions reality
The period when the Russian economy could live on reserves is over, Elvira Nabiullina, head of the Central Bank of the Russian Federation, .
Trending news: Nabiullina warns of running out of stocks in Russia - The Moscow Times - Hindustan News Hub
Nabiullina warns of running out of stocks in Russia - The Moscow Times Hindustan News Hubhindustannewshub.com
Tuwajaalie muda MKUUAsee watajiunga na NATO ili kujikinga na chokochoko za warusi
Chechniya ilivamiwa na Urusi karne ya 19 na kuwa koloni yake. Baada ya mwisho wa Ukomunisti na kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti Chechniya ilitangaza uhuru ikashinda jeshi la Kirusi na kuwa nchi huru kwa miaka michache. Hadi jeshi la Urusi kurudi, kuharibu mji mkuu Grozni na kuua watu wengi hovyo (jinsi wanavyofanya sasa Mariupol). Baadaye Warusi walimweka baba Kadyrov (aliyewahi kushirikiana nao - aliitwa msaliti ya wengine) kama dikteta na kuipa Chechnya hadhi ya mkoa wa kujitawala chini ya Kadyrov. Mzee Kadyrov aliuawa na askari aliyelipiza kisasa kwa kuuwa kwa familia yake, kijana alirithi (bila shaka kidemokrasia kabisaaaa, jinsi marafiki wa Putin hapa wanapenda kutuaminisha)Ni raia wa Urusi kutoka mkoa wa Chechen.
Kinachowafanya waonekani wa kipekee ni kwa sababu TU ni waislam.
Ni halali kabisa kupigania taifa lao la Urusi.
Ila ni wapiganaji wazuri sana.
Ile censorship tu iliyopo ndani ya twitter ingetosha kuzimua akili ya mtu iliyolala. Bahati mbaya kuna baadhi mind zao zishakufa hata ufanye nini hatokuelewa.Sina hakika pia kama wewe
Ila huyo jamaa napitia tu michango yake kwafaida halaf namjibu kupitia watu wengine
Western wanasema wana uhuru wakutoa maoni wakati huo huo ukitoa maoni kuhusiana na kupinga kwa mauaji ya ISRAEL yalofanywa na HITLER ukitilia mashaka basi unatiwa ndani halaf wanasema kuna uhuru wakutoa maoni kama hawaelewi maoni yanatakiwa yaheshimiwe hata kama hayakupendi ndio maana Hebdow anachora kikatuni cha SAW wanasema anauhuru wakutoa maoni ila mauaji ya wayahudi ukipinga huna uhuru naunakwenda ndan
Demokrasia yakimagharibi niunafiq mtupu UMBWA wale
Inasikitisha sana.....aonekani Kwa kweli.Jamani leo Ndugu yangu wa 'inasikitisha saana' sijamuona humu...kulikoni???
Upo sahihi MKUUIle censorship tu iliyopo ndani ta twitter ingetosha kuzimua akili ya mtu iliyolala. Bahati mbaya kuna baadhi mind zao zishakufa hata ufanye nini hatokuelewa.
Na wala haiihitaji kutafuta majina meeeengi chukua jina moja tu la Trump. Wamemfanya nini na sasa yuko wapi [emoji23][emoji23][emoji23]...
Prezda Mstaaf anakula ban kwenye social media zote, kisha aambiwa hiyo ndio Democracy na uhuru wa maoni.
Ok hivi sasa Elon yupo katika jitihada za kutaka kununua Twitter, angalia Comments za Wamarekani halisi wanazotoa ndio utajua kuna democracy au demon-cracy.
Nenda kaangalie data ya nchi inayoongoza kwa kua wafungwa wengi duniani utaikuta US on top ikiwa na Avarage ya zaidi wafungwa 600 kwenye population ya watu laki 1.
Kwa takwim za data za 2020, China-US trade ilikuwa valued to $615Billion, katika hiyo US akifanya import zaidi $450Billion maana ake anafanya biashra na China kwa deficit. Anachukua vingi kutoka China kuliko China anavyochukua kutoka kwake.
Kwa data za 2019 pia, Russia-US trade ilikua valued to $35Billion, katika hiyo total US akifanya import ya $24Billion, na penyewe kuna deficit. US akiingiza kingi kutoka Russia karib mara ya mbili zaidi ya kile Russia anachokichukua kutoka US.
Sasa kama hizo nchi hazina democracy inawezekanaje kufanya nazo biashara ya kiwango kikubwa kiasi hicho.
Kwanini sasa adai zina'undermine democracy hivo zipingwe kiuchumi ilhal anaongoza kwa kufanya nazo biashara...
US ni MNAFIKI wa kiwango cha lami... Democracy anayoihubiri yeye ni kuyatii matakwa yake nothing special.
Haziko mbali wala tunazo... Hizi data ziangalie vizuri. Tunaweza kuzi'ignore blue and red kwa kuzichukulia zipo katika mtazamo wa kisiasa zaidi... Ila tembea na hiyo pink... Angalia chombo kipi kilichotoboa zaidi ya 50%... Jawabu ni hakuna.Kuropoka!?!?!duh....Mnateseka Sana aisee?!ukiletewa hapa utafiti uliofanyika nchi mbalimbali kuhusu mtazamo na kuaminiwa kwa vyombo vya habari vya habari vya magharibi utasemaje Ndugu yangu?!?! Utaendelea kweli ku-comment kwenye Uzi huu?! Na bill Shaka huna habari kuwa mjadala umeshafanyika tayari na mingine inaendelea kufanyika kwenye nchi mbalimbali za West on media performance on/in Ukraine-Russia war ...verdict ni biased reporting in the mainstream media in favour of the west...
Bila Shaka hujui haya...kwenye Vita hivi media performance ni mbaya mno iwe media za Russia au za West...
Pole Sana Ndugu yangu...
Ushauri wangu jifunze angalau kidogo kutumia lugha nzuri kwenye mijadala ..hupotezi chochote ukifanya hivyo...
Hapa jaribu kufanya upembuzi sawa sawa population ya afirca+ asia haiizidi ulaya?Kuitegemea Asia na Africa tu bila ulaya si salama sana (ingawa itamsaidia kupambana na vikwazo) sababu Asia,Africa PP ya raia si kubwa ukilinganisha na Ulaya.
Ujinga kama huu ndo ulinifukuza huku, kazi ku copy and paste ushuzi wowote mtandaoni. Hizi habari peleka telegramHas the Ukraine War just come to Great Britain or a false flag?!
Share
Unusual Explosion near RAF, Welford Base in the UK
Royal Berkshire Fire and Rescue Service said: โAt 1.41pm on Saturday, 16 April, we received reports of a fire at an industrial building in Westbrook, Newbury. UK.
The UK is one of the countries that have made serious negative moves against Russia. It is not a stretch to consider that Russian sleeper agents could have ignited this fire. Or, since Russia has high tech military advances they could have created this explosion from a satellite or a hypersonic missile. Once the missiles are launched they travel so fast, they are invisible until they hit their target.
We are now at the stage where Russia will start going after Nato targets to give the politicians a signal to back off. Or, Russia could be reducing Nato assets one at a time. The next stage of warfare between Russia and the US/Nato is in Poland, the Balkans and the UK, to name a few.
If the war advances to a higher stage, Nato will start attacking Russia from bases in those states.
At first Russia will try to make the clandestine attacks look like accidents Nato and the US will pretend they donโt know it is a direct attack from Russia, and they will also continue to covertly send ammo and arms to Ukraine. It is a crafty game of thrones.
Sabotage is going on all over Europe and the US at this time, but the main media will never acknowledge or report the attacks. Oil refineries are on the top of the list of targets. Businesses in Europe and the US are also going up in flames, in a time when the world is about to enter into an economic depression. Itโs anyoneโs guess what will happen next.
GE
___
Unusual Explosion near RAF, Welford Base in the UK
AiseeeView attachment 2191541
View attachment 2191543
Pro Russia bado hawaamini kuwa hii Meli ilizamishwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Population si hoja ya kuangalia sana, issue ni Purchasing power(PP), Uwezo wa hiyo population kufanya manunuzi.Hapa jaribu kufanya upembuzi sawa sawa population ya afirca+ asia haiizidi ulaya?
Hii mipango ya uzazi inayohamasishwa kila siku huku kwetu ina lengo gani na population yetu?