NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Mwamba anatujazia uzi kinomaCome on,unafanya utoto gani?Watu tunafuatilia mjadala humu na updates,hiki unachofanya unafaidika Nini?Grow up bhana!
Hata mm ananikera sana kwakweli mtu kama ahuna cha kuchangia bora ukawa msomaji tu.Mwamba anatujazia uzi kinoma
Beberu lazima lile kisu safari hii....Watu hawashangilii vita,bali mabeberu waliozoea kunyanyasa wengine Russia anavyowatesa. Nchi zaidi ya 30 kuisaidia nchi moja lakini bado wakula za uso hadi baadhi maghala yamebaki tupu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Come on,unafanya utoto gani?Watu tunafuatilia mjadala humu na updates,hiki unachofanya unafaidika Nini?Grow up bhana!
RUSSIA sio ZIMBABWEBiden rejects proposals by US Senator Koons calling for troops to be sent to Ukraine, the US is not going to fight with Russia, Psaki said.
View attachment 2192433
Haijalishi boss, wao kazi yao ni kutii amri sio kuwachagulia raia raisi wamtakaye.Mkuu mwenyewe wa vikosi Ni yule mchekeshaji kibaraka wa mabeberu au Kuna mwingine mkuu[emoji3]
Nami nimeliona hilo, nikajua sababu labda kuna watu wapo ignore list ndio ikaleta hiyo hali. Kumbe si hivyo.Kuna Page Humu JF zinakata
Modes Mnafanya Nini
Kuna Page Humu JF zinakata
Modes Mnafanya Nini
Ujinga kama huu ndo ulinifukuza huku, kazi ku copy and paste ushuzi wowote mtandaoni. Hizi habari peleka telegram
Hata mm ananikera sana kwakweli mtu kama ahuna cha kuchangia bora ukawa msomaji tu.
Dj haina noma hata yule raisi wa Madagascar nu dj na promoter maarufu, tatizo ni mchekeshaji wa kiume anaevaa uhusika wa kike Kama joti na wenzakeKwani humuoni DJ kutoka chama flani hivi makao yake makuu yako pale mtaa wa UFIPA huyo DJ anakomaa anasema zamu yake kushika dola ......na lile chama lenye rangi ya KIJANI sijui kama litakubali
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kwaio joti anaweza kuwa raisi wa Tz?Kaka acha kukalili wachekeshaji nao ni watu kama sisi na wana vipaji na taaluma zao nzuri tu kuweza kuongoza nchi. Kama viongozi wenye elimu kubwa tena maprofesa lakini mmoja kwa kinywa chake alisema ametoka jalalani.
Kwa kweli Urusi anapigika sanaaaaa yaniiiiii.Russia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.
akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.
na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tutafinywa na MalawiHalafu mshauri wake wa mambo ya usalama Kingwendu,🤣🤣🤣