Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tubonyeze ngapi kaka mkubwa kupata tuvituko Kama hutu!
 
Jifunze kwanza kuandika

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Washaambiwa waache kujificha kwenye mgongo wa raia.
Kuwateka raia na kuwafanya ngao Yao Ni uhuni usiomithirika.

Wapiganaji wa Ukraine waweke chini silaha,wajisalimishe Mambo yaishe.

URUSI Hana ugomvi Wowote na Raia,
Ndo maana wakati wore wa Vita amekua kipaumbele kuwatoa uwanja wa Vita na kuwapa misaada ya kibinadamu.

Kiburi Chao kinawaponza
 
How?!
 
Rais wa dunia make Kwanza hapo ncheke labda rais wa dunia ya nyumban kwenu huyo hafai hata kuwa mtibu tarafa
 
Russia has called on Ukrainian forces holed up in the Azovstal metallurgical plant in the besieged southeastern port city of Mariupol to surrender by noon Moscow time (09:00 GMT).


“All who lay down their arms are guaranteed to remain alive,” the defence ministry said.

The demand came after Russia’s RIA news agency quoted Moscow-backed separatist forces as saying that they were trying to storm the plant.

Lazima Putin awahofie hawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…