Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Daaaahhh anaboa kinomaHuyu ROBOT aliesetiwa humu ..mwenye usemi wake unaosema ......
INASIKITISHA KWAAKWELI / SANA
mi nawashauri tu mumvumilie maana ndo MEDULA kaiseti hivo au kwa lugha ingine anamtindio wa ubongo .....tuvumiliane humu kila mtu anaakili zake .......
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kama kuna mtu anayo video clip ya huyu mwamba aitume hapa ili mashoga wazidi kuumiatunataka tumalize vita then tuchukue likizo
Hahaha kweli Jf ina vichaa.Wapeeeeeeeee wapeeeeee mpaka watuambie Kwa Nini kuku anakunywa maji na akojoi....
View attachment 2193201
Hii ni hatari
Naunga mkono HOJAFb haikwepeki mkuuu kule kuna sources nyingi na michongo mingi kuliko app nyingne
Hamna hawakumalizwa MKUU kwakule kiwandani hawajaguswaJana si walimalizwa mkuu
Waone hivyohivyo warembo hao wa Russia,Russia inasifiwa kwa wasichana wazuri duniani,enzi za cold war waliwavuruga vibaya sana MaSpy wa west.Hahaha wewe mwenyewe muda wote uko kwenye picha hizo...Uzi😀nasonga mbele kwa Kasi wewe bado umeganda kwenye picha hizo😀😁😂🤣😂😁😂😂
Ha ha haa,Mnavyojiachia sasa vijana wa Putin ..... Kuna watu wanapita kimyakimya kama wanaaga maiti ..🤣🤣🤣🤣
Wakati wanaendelea kulalama kuna habari huko kwamba maeneo ya zaporinha kama nimeandika vyema na mengine nime yasahau majina wamepiga kura leo kujiunga na yale majimbo mawili yalio tangazwa na RUSSIA kwamba nijamhuri huru zinazojitegemeaVikao viiiiingi bado maamuzi yale yale [emoji241] [emoji241] [emoji241]
[emoji845]Scholz after talks with Biden and Western leaders: The West adheres to the position that NATO should not participate in hostilities in Ukraine[emoji845]
Wakati huo huo Germany kafikia ukomo wa kutoa silaha, [emoji848][emoji847][emoji2958]
[emoji845]We have reached the limit in what we can supply to Ukraine from our own reserves of the German Armed Forces — German Chancellor Scholz[emoji845]
NATO slogan be like No Action Talk Only
Anatembea na mafuta kwenye sikio kwa ajili kutoa bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635]Huyu Ramzan sijui kafunga swaumu!? Ana hasira balaa!
Uyu
Halafu historian ya maisha yake inavutia sana.Ajab zaidi kadri unavyozidi kumfatilia ndivyo unavozidi kuegemea upande wake...
Putin yupo tofauti kabisa na Media zinavyomwelezea... The MAN is SMART... My top Favourite Leader wa 21st Century...
Wapo kwenye mapango wanachungulia kama Nguchiro afu wanarudi mapangoniKuna Wale kimbele kimbele akina Coco reborn ,Nyamizi , sasa hivi wako kimyaaaa,wanachungulia vile Shoga wa Kiev anavyopigwa "miti" na Putin.
CC like tahira linajiita sijui Gang nani!Vipi team javelin mpo humu? Nauliiza mpooo mana mahaba yalizidi humu mara javeline linaweza kugeuka mbuyu,mara javelin kiboko ,mara javelin hakuna zaidi yake,mara javelin ndo baba angu haya kiko wapi sasa ,we javeline usione aibu njoo huku uwaone wasifu wako wanaumbuka huku
Ila nasikia jamaa (Russians) ni wabaguzi sana kwa watu weusi.
@NyamiziVipi team javelin mpo humu? Nauliiza mpooo mana mahaba yalizidi humu mara javeline linaweza kugeuka mbuyu,mara javelin kiboko ,mara javelin hakuna zaidi yake,mara javelin ndo baba angu haya kiko wapi sasa ,we javeline usione aibu njoo huku uwaone wasifu wako wanaumbuka huku