President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Na putin ashatoa order kwa wajeda wake wasiruhusu hata nzi kutoka wala kuingia ndani ya eneo hilo walilojificha hao nguchiro.NATO wameshikwa pabaya tuliwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE
ila hawawezi wakafanya huu upuuzi labda wakawaokoe kwamazungumzo hapa sawa !!!!!
Mwengine huyu, aljazeera inamilikiwa na serikali ya Qatar na agenda yake kuu ni Pro-Arab news. Tafuta habari za Israel hapo aljazeera ndo utaelewa order yao ni ganiSasa kama ni Aljazeera ulitegemea waseme nini??!! Hicho ni chombo cha kipropaganda cha nchi za magharibi...Na kama hufahamu Aljazeera ni chombo kilichoanzishwa na CIA..umesikia Ndugu?
Ntakuja kuposa kwako bila taarifa !?? Nyie wachumba tu...au kama vipi TUPIGE mechi ya kirafiki Jeshi la Kenya na TanzaniaAlafu urussi alivyokua mchumba aliwataarifu Pentagon kabla majaribio, hii inanikumbusha Iran walipowapatia taarifa kabla kulipua kambi zao Iraq.
Yaani Iran generali wao auliwe alafu bado wanatoa taarifa za mashambulizi kabla kuzifanya. Kweli Marekani anaogopewa
View attachment 2195575
Kwa hoja yake hiyo nzuri kabisa,ulitakiwa. Utoe jina Zimbabwe,uweke jina Uganda,ili iweNikukumbushe tu MKUU yakwamba
RUSSIA sio ZIMBABWE
🤣🤣🤣 Pentagon saysAlafu urussi alivyokua mchumba aliwataarifu Pentagon kabla majaribio, hii inanikumbusha Iran walipowapatia taarifa kabla kulipua kambi zao Iraq.
Yaani Iran generali wao auliwe alafu bado wanatoa taarifa za mashambulizi kabla kuzifanya. Kweli Marekani anaogopewa
View attachment 2195575
Watakoma Pumbafu chaaapaaaa chapaaaa style zote
BRICS.Tuna tofautiana kwa mengi lakini hili nakuunga mkono India na China ni maadui ni ngumu kuwa upande mmoja kwenye masuala ya kijeshi.
Sema tu wamejikuta wakiwa upande mmoja kwenye huu mgogoro kwa sababu wote Wana maslahi makubwa kwa Urusi.
Sasa hoja gani hapo. Aliyekwambia Urusi anataka vibaraka nani?Bro nakubishia tena Kwa hoja Kwenye swala la Ujasusi Urussi imeachwa nyuma hasa kwenye hii ishu.amendwa kupachika kibara Ukrain licha ya hiyo nchi kuwa na Warussi wengi,Marekan anachua point Kwa sababu huu uvamizi Alisha Anza kuutangaza tangu mwezi wa kumi na mbili public
Jikite kwa mada ama umeishiwa hoja.Ntakuja kuposa kwako bila taarifa !?? Nyie wachumba tu...au kama vipi TUPIGE mechi ya kirafiki Jeshi la Kenya na Tanzania
Anaongopea watu humo!!!Sijauona huu uzi MKUU hem nitag