Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Your browser is not able to display this video.


The Russian flag is raised over the administration of the city of Primorsk, Zaporozhye region.

These videos are posted by local residents.

Also, the military removed the flags of Ukraine in Dniprorudny, located in the same region.
 
Kama mpaka sasa hivi nyie wafuasi wake hamjui anachokitaka Putin kwenye huu uvamizi wake basi hamuwezi kujua kama ameshinda au ameshindwa vita vitakopoisha.
Chochote atakachowaambia itabidi mkubali tu ndio uhalisia wenyewe.
 
Endelea kuota ndoto za majinamizi.
Angekuwa na uwezo wa kuwasambaratisha angeshafanya hivyo wiki iliyopita.
 
Putin haondoki madarakani, atafia kwenye hicho kiti na ndio maana anabadilishabadilisha katiba kila siku aendelee kutawala.
 
Ukilinganisha na vyombo vipi vya habari?
Vyombo vya habari vya magharibi vimeporomoka mno heshima na hadhi yake duniani kote...yaani Vita hivi vya Ukraine na Russia vimetoa funzo kubwa kuhusu weledi wa vyombo vya habari vya magharibi....HAKUNA KABISA WELEDI
 
Jikite kwenye jambo moja uliloliibua, usirukeruke huku na kule.
Ila umesikia habari ya ivi punde.baada ya Urusi kushambulia maficho ya silaha mpya zilizoingia kwenye mji wa Odessa. Zelensk aomba akutanishwe na Putin kwa ajili ya Amani
 
Ripoti zinaonyesha mzee mfupi Putin alipatwa na stroke. Cheki alivyokamatia meza na mgongo ameumkwamisha kwa kiti.View attachment 2197560
Hivi wewe huoni kama hiyo picha ni edited chuma kipo imara hiko alafu jamaa zako washaunga urafiki na mapanya buku mana mpaka leo wamejificha mashimoni huko na aibu juu
 
Baba hiyo Ni kivita so Kama unavyofikiria we'we.
 
tunaunda alphabet mpyaa tuko mbioni kukamilisha hili
 
Kwa nini Russia anapendwa sana Duniani?
Hembu Thibitisha hilo.
Mambo mengine sio mpaka jtafuniwe na kumezeshwa .........

Basi wacha nikutafunie ila utameza mwenyewe

.....hapa TZ tumetawaliwa na chama kimoja cha SIASA miaka mingi toka tupate UHURU na tulio wengi tunahitaji tubadilishe ladha

chama kiingie kingine .......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 

☦️🇷🇺 Russian President Vladimir Putin has arrived at the Cathedral of Christ the Saviour, located a few hundred meters from the Kremlin, for the Orthodox Easter service, a Sputnik correspondent reports.

Moscow Mayor Sergey Sobyanin (on the right) is attending the midnight mass along with the Russian President.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…