President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kama huna muda wa kusoma, siwezi kuku spoon feed kwa kweli. Ni heri nionekane sina akili kuliko kukulisha.
Hata Google huwezi kutumiaMlete Source ambae ni zulensky mwenyewe
Endelea kuteseka hapo nanjilinjiHizi ni habari za kuokoteza
Naunga mkono, Su 35 ni ndege bora kabisa na hatari.Hiyo F-22 ilifeli pamoja na hio F-35 walitumia pesa mingi afu maajabu haina. Hio F-35 hainusi kwa Su-35
Haka hapa [emoji1]tupia kapicha sie timu Putin tujiridhishe
Uwe unafanya angalau kautafiti kidogo kabla ya kuandika. Kuna google hapo waweza kuitumia. Kwa kukusaidia tu, ebu soma hapa na uone hiyo SU-35 ipo wapi.Hiyo F-22 ilifeli pamoja na hio F-35 walitumia pesa mingi afu maajabu haina. Hio F-35 hainusi kwa Su-35
Rais wa UKrane ameomba vita iishe na kuomba kuonana na Rais Putin ,,amekiri kushindwa na kuleta soluishi la kudumu kwa watu w alande zote, Source,BBC ,Star Tv
Huo ni ugonjwa wa mchongo kugoka U.S.AHiv /AIDS ?
Ziko huko vichakani zinajadili ziibuke na kiki ipi.....Kuna kenge maji nyingi sizioni....
Aiseee..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Ukraine ni wale wanawake wanapiga kelele wamebeba mimba miezi tisa eti ni mzigo ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] wakati sisi Warusi (wanaume ) tunaotembea na pumbu maisha yetu yote milele Amina .
Wewe nilikupa siku tatu achilia mbali siku moja kwamba Azov wala Denis hamtawakamata. Je mumewakamata? Kwa aibu hutajibu hii quote utajifanya hujaiona kwa aibu. Pole sana. Bado hamjawakamata? Neter tulia ujifunze vita inavyoenda.
Ukrainian commander says forces in Mariupol facing 'last days'
Unakumbuka?Kwa akili yenu mnajua Denis na Azov Wanajisalimisha? Wanatekwa au kuuawa? Mtasubiri sana na bado. Subiri hiyo last day. Baada ya siku tatu nitakuja kukuuliza last day haijafika. Denis ni Komando na ana mbinu nyingi tu
Mimi ni figganigga. Nyie mnafanya propaganda za kuwadanganya Watanzania. Eti Azov wamezungukwa Mariupol. Siku moja tu wanadakwa. Sasa wiki inaisha. Huo mzunguko wa ukutiukuti. Ngoja niwaache muendelee kujiliwaza kwamba hii Vita Urusi watashinda. Hawa Urusi wataondoka kama walivyo kuja.Mpaka Raisi wenu kichwa ngumu zelensky
Keshakubali wanajeshi wake na Raia wamezungukwa, na sahv anaomba waachiwe kwa ahadi ya kuwaachia mateka wa urusi (ombi ambalo urusi hawajaomba)
Wewe Ni Nani sasa mpaka umbishie Raisi wako comedian[emoji2]
hana ishu anajua 100% kuwa UK na US wanaisaidia Ukraine tokea kabla vita havijaanza na marekani wakipeleka shehena za silaha waziwazi wakati wao wanajikusanya kule mpakani tena marekani wakitoa mafunzo ndani ya Ukraine na anajua dhati ile Meli yako iliripuliwa ni jeshi la UK lakini Putini anasomeka na kufahamika kwamba ni mtu wa ndaro tu otherwise ni moga kuliko mdudu yoyoteUrusi inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli Jeshi la Anga la Uingereza (SAS) lipo Nchini Ukraine na linashiriki katika vita baina ya nchi hiyo na Urusi.
Inaelezwa kuwa kuna wanajeshi 20 wa SAS waliopelekwa Ukraine kwa ajili ya kazi maalum ambao Urusi imesema wapelelezi wake kujua ukweli.
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Uingereza alipoulizwa alisema: "Hatuwezi kuzungumzia kuhusu SAS."
Inadaiwa kuwa SAS walienda Ukraine mwanzoni mwa mwaka huu kutoa mafunzo kwa majeshi ya taifa hilo kuhusu matumizi ya silaha za kisasa.
Source: Aljazeera.
Yaani huyo jamaa anaonekana mweupe kichwani aisee ukizisomq coments zake ila basi yu anakaza FUVUNgoja tutafika tu kwenyw fighter jet sasa hivi nakupatia hiki
Russia S-550 system capable of hitting spacecraft, hypersonic, Satellite targets
View attachment 2199320
Mkuu ilo eneo hakuna anaetaka kulilipua! Maagizo ya Rais Putin kwakuwa umo ndani wamewaweka watu hakuna haja ya kulipua nyie mzingire ilo eneo lote ila hakikishe. Hakuna anaetoroka.Wewe nilikupa siku tatu achilia mbali siku moja kwamba Azov wala Denis hamtawakamata. Je mumewakamata? Kwa aibu hutajibu hii quote utajifanya hujaiona kwa aibu. Pole sana. Bado hamjawakamata? Neter tulia ujifunze vita inavyoenda.
Unakumbuka?
Mimi ni figganigga. Nyie mnafanya propaganda za kuwadanganya Watanzania. Eti Azov wamezungukwa Mariupol. Siku moja tu wanadakwa. Sasa wiki inaisha. Huo mzunguko wa ukutiukuti. Ngoja niwaache muendelee kujiliwaza kwamba hii Vita Urusi watashinda. Hawa Urusi wataondoka kama walivyo kuja.
Mwanzo mlisema mtaikamata Kyiv ndani ya Siku 3, sasa miezi miwili imeisha hata kuikaribia bado.
Mkadai atakayeisaidia Ukraine mtamlipua, nchi ndogo kama Poland inaisaidia Ukraine, hamjathubutu hata kufyatua risasi hewani. Acheni kudanganya watu. Urusi wana Vifaa vingi vya Jeshi lakini hawana mbinu wala maarifa ya kuvitumia.
Baada ya kuona Warusi wanakufa sana Ukraine, Urusi ikabidi ikodi wanajeshi wa Libya na Syria ili waende Frontline wafe. Sisi tunataka Wanajeshi wa Urusi ndo waje Frontline. Mnaogopa nini? Mnaogopa Ukraine nchi ndogo hivi?
Vita ni akili sio Maguvu. Ngoja niwaache muendelee kuliwazana na kudanganyana.
View attachment 2199485
View attachment 2199484
Jamani yule jamaa fanatic wa NATO na West ambaye huwa analeta mipicha Askari wa Russia wanaodaiwa kufa vitani mbona simuoni Tena humu???!!
Uwe unafanya angalau kautafiti kidogo kabla ya kuandika. Kuna google hapo waweza kuitumia. Kwa kukusaidia tu, ebu soma hapa na uone hiyo SU-35 ipo wapi.
Top 10 advanced fighter aircraft - Airforce Technology
Fighter aircraft are a vital component of any air force and examples such as the F-35 Lightning and F-22 Raptor demonstrate their vast superiority.www.airforce-technology.com