Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nyie mmekuwa bully. Mnapiga tu. Mmeshindwa hata ktuma majasusi wakamwondoa raisi kisha mkaweka pandikizi la raisi mkawaacha raia waendelee na maisha yao mnalipua nchi ya wakulima wa watu wasiojua hata tafsiri halisi ya NATO ni nn[emoji3].
Mbna NATO ambao hawakua bully hawakufanya hayo kwa IRAQ LIBYA AFGHANISTAN
Wakau watu hovyo ila kwa nchi maskini kama RUSSIA ndio mnataka wafanye !!!??
 
Fact tupuuuuuu
 
Mwanzoni US na Allies walionesha uoga ila sasa wameona uwezo wa Wanajeshi wa Ukraine ni tofauti na majeshi mengine waliyokuwa wanayasapoti, wameona liwalo na liwe.
Putin ataendelea piga mikwara ila mwisho wa siku Ukraine ataibuka mshindi na Hitler 2.0 atakufwa
 
Shoga baba yako na babu aliyemzaa mama yako
Kumtolea matusi mtz mwenzako kwa ajili ya Urusi au wamagharibi ambao kimsingi wanapigana kwa ajili ya maslahi yao ni moja wepo ya dalili za Upumbavu.

Hapa tuna takiwa kujadiliana kwa hoja na sio kutukanana na kudhalilishana.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mbna NATO ambao hawakua bully hawakufanya hayo kwa IRAQ LIBYA AFGHANISTAN
Wakau watu hovyo ila kwa nchi maskini kama RUSSIA ndio mnataka wafanye !!!??
Sijaelewa boss. Nachojua USA naye alishafanya huu ubully.
 
Chakushangaza unaefaa hujawahi kua hata katibu tarafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…