Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi akitaka kushinda hii game labda kwa TO,
Maana Bwana Mdogo Zelesky kaambiwa ajitahidi tu asianguke chini, avumilie panchi tu round zote 12 ziishe na ushindi atapewa yeye..
 
F35 mradi wa hovyo kabisa
Ndege zinaanguka kwaupepo tuuu[emoji3][emoji35][emoji23]
 
Heheee[emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA kama maji YAANI
 
Naona kuna watu wanarindimisha matusi mazito mazito humu
Wanaume wanasifiwa kuwa na vifua
sasa vifua vyetu tuvitumie kubeba vitu vizito tusiwe kama wadada wanao chambana .....tujikite kwenye mada .....wakuu
 
Matusi mnayaanza nyie, mkianza mtajibiwa ipasavyo
 
Wazalishaji wakubwa wa Uranium duniani ni Kazakhstan, Canada na Australia. Russia inapitwa hadi na Namibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…