Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uongo mtupu.
Mpaka sasa taarifa za Tanzania za mafunzo ya kijeshi unazoweza kuziona mtandaoni ni zinazihusu US na China.

Ni uongo mkubwa kwamba asilimia 90 ya silaha zinatoka Urusi, kuna kajamaa kameurudia huu uongo mpaka sasa kameweza kuwaaminisha baadhi yenu. Taarifa za ununuzi wa silaha za Tanzania huwa haziwekwi wazi, hakuna mtu wa mtaani anayeweza kuwa na hizo taarifa, ila ni vizuri ufahamu radar za hapa nchini zimetoka Ufaransa na Uingereza.
% kubwa Tanzania inapata mafunzo ya kijeshi kutoka Urusi,90% ya silaha eg bunduki za JWTZ na polisi, yaani AKA 47,zinatoks urusi. Tanzania kupiga Kura ya kutokuunga mkono upande wowote sio wajinga
 
Czech yaweweseka kwa kuhofia kukatiwa gesi na Russia...ni baada ya kuona wenzake Poland na Bulgaria wamenyolewa na wembe wa gesi wa Putin

Waziri mkuu wa Czech amesema wamarekani wa JF wanapozungumza kuhusu Putin awakatie tu gesi waCzech, hao wamarekani wa JF hawajui wanachobwabwaja...Waziri mkuu huyo anasema wao waCzech hawataki kurudi kwenye zama za kale za mawe...Waziri huyo ameonya kuwa endapo Russia ikiwakatia tu gesi, basi maisha ya kijamii na shughuli za kibiashara zitaathirika vibaya mno. WaCzech wanategemea gesi ya Putin kwa 98%.

Tulizoea kuona sisi tunaoishi ulimwengu wa tatu tukikatiwa umeme na TANESCO, mwaka huu mambo yamegeuka, hadi mabeberu yanakatiwa gesi...lazima tuheshimiane




 
Kwenye historia pia nahisi utakuwa umeenda mbali sana... mpe tu mfano ulio hai hivi sasa...

China na Solomon wamesign security deal ya pamoja, US na Australia ambao wapo thousand of mile kutoka Visiwa vya Solomon wanamtishia kumpiga kisa mahusiano yake na China wakidai n threat kwao...

Je huko sio kuingilia Sovereignty ya Taifa jingine lililo huru? Deal liwe kwa China na Solomon kwao ligeuke kua threat? Je hizo bloc wanazotengeneza wao sio threat kwa wengine?

Na kama wako sawa na sio kuingilia Sovereignty ya taifa hilo... kama wao wameona threat thousand of mile kutoka kwenye mipaka yao je vipi kuhusu huyu Russia kwa hili kundi linalotaka kukaa kwenye kibaraza chake?

Kwanini kunya anye kuku akinya bata kaharisha... Hii double standard ya nini ka kweli mnaipenda na kutaka kusimamia misingi ya haki?

US aliona kua kuna tatizo Iraqi mile zaidi ya ef 11 kutoka kwake, na akavamia akalipua akamnyonga Rais wa watu kwa kisingizio cha WMD... Weapon of Mass Destructions walizodai hazikuepo na hakuna aliyezungumza zaidi waliishia kuiba mafuta na dhahab walizozikuta...

Obama huyo hapo kisa Gadaffi kutoa proposals ya matumizi ya Gold standard ka mbadala wa dola akafatiwa kuvamiwa na jeshi la NATO hapo na kumuua... Hakuna waliozungumza na mwisho Obama anatunukiwa tuzo ya Amani mikononi akivuja dam za wasokua na hatia...

Leo hii huyu yupo anapigania usalama wa nchi yake dhidi ya hao hao warmongers kutoka western tunasimama kumuita kichaa [emoji52] kisa UK na US wamessma... so interesting.

Eeh sasa to know hili ni zuri na hili ni baya tunatumia standard ipi? Tupunguzeni unafiki na ifike hatua walau sie watu weusi tuwe na courage ya kuita nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe and not otherwise bila kujali nani aliyefanya...

Kwa mtu mwenye akili timamu ingetosha tu kutizama list ya wanao'msupport zelensky ni watu wa aina gani na haraka kujitenga nae...

US anadai anataka kulidhoofisha jeshi la Russia, huku mswahili Poporipo anaona Zele anapigana kutetea nchi yake...

Kama kweli kuna watu wako huru na halmashauri za vichwa vyao haikutosha tu kujiuliza kwanini solidarity wanayoifanya Western kutoka US na EU kwa Ukraine dhidi ya Russia haikuwah kufanywa kabla ilhal kila leo kuna migogoro kila kona za dunia? Why Ukraine tu na sio sehem zingine? Mmmh?

Wengi tutafika tumechoka sana kwenye hii safari ya matumaini. [emoji23][emoji23][emoji23]

It's okay kufuliwa kupikiwa hata kuogeshwa vile vile ila ikifikia hatua mtu unaanza kupokea msaada wa kufikiria, yan someone think and decide on your behalf... ni huo mda tu huwa tunakuwa hatuna tofauti na MISUKULE.
 
unapenda sana kupulizwa matako wewe wa kupulizwa. ndo maana unapenda kuutaja taja ushoga. acha hiyo tabia mara moja utachomwa moto jehanamu.ushoga unakusaidia nini wa kupulizwa?
Utakuwa na matatizo ya ushoga pia... Kwani ukikaa kimya bila kujibu utakufa!!?? Kila coment yake unaireply sasa SI wote mnapromoti huo ujinga !!??
 
kwa umri wako wote huo ndo umejibu utopolo kama huu? kwani mjinga ni nani, si mtu asiyejua jambo fulani, wewe kuitwa mjiga ndo unatoka povu kiasi hiki. wewe ni mjinga kuhusu huu mgogoro ndo maana ume paniki hovyo. kataa dingii, kataaa
Uko sahihi ..ndiyo maana nimeandika kuwa uanze kumwambia baba yako mzazi aliyekuzaa kuwa ' baba kwa Jambo hili wewe ni mjinga' ..Halafu utuambie humu reaction yake itakuwaje...
 

Mkuu umefafanua vzr ngoja nijazie kuna kitu US mpaka sasa hajiamini hajui maadui zake hata hao ambao wapo NATO ikianza WW3 wapo watakao mgeuka wengi wapo kimaslahi pale.
Ná Marekani anajua kuwa kuna kundi kubwa halimsapoti, hivi unafikir Japan hakumbuki machungu ya hiroshima?? Anajikaza tu

Kumbuka kuna kundi kubwa la nchi za Asia zitakua pamoja na Russia kuna china, NK, india brazili hao ni moja ya partner wa Russia. WW3 ikitokea Europe ndo watakaoumia zaid manake vita itapigwa hapo Europe.
 
Total BS, crap.
Hujui hata Gold standard ilikuwepo kabla hata mama na baba yake Gaddafi hawajatongozana na kwa nini ilikufa kifo cha mende!
 
S-generation hazina tofauti na Buk au sanGoa
 
Wewe unapata wapi ujasiri wakukataa wakati hao NATO kwakua wamejijua mmoja mmoja hawawezi simama dhidi ya RUSSIA wakaona iundwe kolabo
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
% kubwa Tanzania inapata mafunzo ya kijeshi kutoka Urusi,90% ya silaha eg bunduki za JWTZ na polisi, yaani AKA 47,zinatoks urusi. Tanzania kupiga Kura ya kutokuunga mkono upande wowote sio wajinga
Now day Tz inanunua siraha kotekote
Chopa zile alizoagiza JK alafu ambazo now nape anatembea nazo ni from Italy

Bunduki za PSU ni from Israel
Cyber team ya tiss inatumia vifaa vya israel and china

Vifaru vingi ni china russia German and Romania
 
Na mie nikazie juu ya mkazo hapo hapo...

Zile WMD alizotumia kama kigezo cha kuivamia Iraqi, Russia kazisheheni za kutosha. Em tizama hayo majiji ya US yageuzwe majivu kama tu ile September Eleven inawapa homa hadi leo na ni miaka zaidi ya 20 imepita na usisahau lile lilikuwa ni shambulio la ndege tu kugonga pale WT centre japo kiukweli hakuna mshindi kwenye Nuclear.

Itizame Europe ilinganishe na Russia, ukizungumza kieneo Eurupe imebanana iko more dense kuliko Russia ambayo iko scattered kulingana na ukubwa wa eneo. Hivo shambulio moja linaleta maafa makubwa na Utaona namna ilivo ngumu tena ngum mno kwao kushambulia kila point ndani ya ardhi ya Russia ukilinganisha wao...

Kibaya zaidi kama usemavyo ndani ya NATO kuna muunganiko wa nchi kama 30 hivi... ila huu wingi wao ni kama mapovu, ukipita upepo yamepotea. That's why hata katika kauli, Utasikia zinatoka US, ikisogea sana UK wengine bendera fata upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…