Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu nakusisitizia kila siku mapato ya nishati ya Urusi hayajapungua bali yameongezeka ila unajifanya huelewi kabisa.View attachment 2205167

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kaka soma kabla ya kujibu! Sijasema mapato yamepungua, nasema mauzo yanapungua. Mvurugo wa vita ulisababisha bei za mafuta & gesi kupanda. Hivyo kwa muda huu Urusi iliongeza mapato kutokana na kupanda kwa bei.
Ila: mauzo yanapungua na mapato yanafuata. Maana bei kabla ya vita ilikuwa wastani $99, ilipanda hadi 126, 25 Aprili ilishuka tena hadi 101.
Wateja wakubwa wa Urusi katika EU ni Ujerumani na Italia. Italia sina data, Ujerumani ilipunguza ununuzi wa gesi ya Urusi tayari kutoka 54% hadi 40% ya mahitahi yake; ununuzi wa mafuta kutoka 35% hadi sasa 12% ya mahitaji yake. EU inapanga kukataza mafuta na makaa kutoka Urusi kabisa katika mwaka huu. Gesi bado, wanakadiria miaka 1-2. China itakuwa tayari kununua zaidi lakini hakuna mabomba ya kutosha. Lazima wajenge kwanza, na swali ni je watachukua kiasi gani?
Wakichukua sina shaka kwa bei za chini zaidi. - kwa hiyo mchezo wa kusukuma thamani ya rubel juu utakuwa vigumu zaidi na zaidi katika miwili inayokuja.
Halafu hadi sasa ROSNEFT (kampuni ya mafuti ya serikali) ilitegema ushirikiano na makampuni ya kimataifa (=ya magharibi) kupanusha uzalishaji wake. Tuone kuondoka kwao itawaathiri kivipi.
Ona hapa:
State oil giant Rosneft, headed by close Putin associate Igor Sechin, is developing the massive Vostok Oil project in the Arctic that was expected to produce and export as much as 2 million bpd by 2030.
Vostok is the biggest oil project to be undertaken in Russia since the fall of the Soviet Union. To finance its development -- which will require tens of billions of dollars -- Rosneft last year sold stakes in the project to foreign global-commodities traders. Rosneft is now likely to struggle with securing financing and technology for Vostok's development as Western firms exit.
Overall, Western oil-field-service companies have orders representing about a quarter of all oil and gas investments in Russia, according to Rystad. "Should those contractors leave the country, it will undoubtedly cause delays and disruptions to ongoing operations," the research firm said. Rystad said Vostok "will be slowed and some Russian projects might be canceled altogether."
Russia could also face problems upgrading its oil refineries due to Western technology sanctions, Dickson said. Russia exports more than 2 million bpd of oil products. CHANZO : Russia's War In Ukraine: The Beginning Of The End Of An Energy Superpower?

Ona kucheza kwa bei ya mafuta:
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787].....

Ndo maana mi huniambii kitu kuhusu kuanzia MWAMBA PUTIN mpaka walio chini yake yaani sisi huku .......tuko smart sana ki akili na ufaham ....
 
Wakuu sintakuepo hewani kwa muda simu imeleta shida so kesho kutwa ndo ntakuepo mtanangeni .........
Maana hii vita tunayopambana humu sii ya kitoto aisee
Mpaka simu imezingua duhh sijui wameipiga na javelina hawa jamaa zetu

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji3][emoji120][emoji120][emoji120] kwa muda wakuu ntarudi
 
we mfia dini umempikia mmeo
 
We mtaalamu kabisa! Kumbe hao mabepari wanawekeza katika utafiti na matumizi ya hidrojenai kwa sababu ni kichaa? Jinsi ilivyi kawaida kwa mabepari? Kumbe wewe mtoto wa mafanikio ya ujamaa endelea tu kupiga hesabu. (Ila usisahau_ 1+1=2, si ujamaa)
Eeeeh! We jamaa na wewe sijui vipi yaani kwenye fuel cell ya hydrogen wameachana nako sahizi wapo kwenye mabetry na solar energy mambo yangekua raisi wasingienda Morocco kuanika solar panel na parabolic mirror. Hydrogen kutumika kwenye fuel cell ni biashara kichaa kwa sababu energy ya umeme inayo zalisha hydrogen Ni nyingi mno Ni Bora ukahifazi kwenye Betry moja kwa moja. Sasa mabepari wenyewe wameacha nayo wewe unakomaa utapasuka kichwa mwisho
 
Huna mchango wowote kwenye hii vita we nenda tu!!
 
Unatuchosha mwana.
Sales zinakupatia Revenue.
Sasa unaposema Sales imepungua but Revenue inaongezeka so what do you mean!?
Unapouza kitu unapata mapato.
Sasa hapa tunaongelea mapato yatokanayo na fossil fuel.

Bado hatujaongelea Nuclear fuel.

Kama unajua kidogo masuala ya account utanipata kidogo.

Price haijabadilika ni ile ile so nakuuliza kwanini Revenue imeongezeka!?
Kwa kukurahisishia jibu ni kwamba Sales imepanda, maana yake consumers wananunua zaidi.

Simple arithmetic.
 
Ok they were preparing to invade Russia,he he has hit first.
It
It is NATO Vs Russia,na bado anawakalisha,bravo Rossiya🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Hii inadhihirisha URUSI NDIYE MBABE WA DUNIA hebu fikiria nchi hizo zoote zinafanya vikao visivyoisha juu ya Russia kila mmoja wao analiomba bunge lake kupewa pesa au silaha ili zipelekwe UKRAINE ziishambulie Russia sasa kama lengo ni kumaliza silaha za mrusi basi kuna uwezekano mkubwa wa kufilisika kwa nchi za nato kwani kuna kila dalili kwamba wame mis-calculate mambo mengi ukianzia kwenye vikwazo ambapo ulaya nzima, USA na marafiki zao kuanzia Japan hadi Australia wameiwekea vikwazo bado Urusi ka survive na ame sustain vita bado hivyo vikwazo vika-backfire.

Kama kuna watu huko wanamwaga silaha ili urusi aishiwe silaha nawaonea huruma kwani Urusi ina ruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuundo la silaha haziishi na hazitaisha kwa vita yoyote ile hapa duniani labda nchi zoote za NATO ziingie ktk vita ya moja kwa moja na Urusi for 20 yrs consecutively otherwise wasubiri matokeo
 
We jamaa nikwambie tu nuclear Ni project wameanza muda miaka mingi tu iliyopita na mpaka Sasa kuweza kucontrol temperature ya 1 million Kelvin Ni ndoto za abunuasi

Na kwa fuel cell ya hydrogen artificial photosynthesis tu ndo only hope
 
We jamaa nikwambie tu nuclear Ni project wameanza muda miaka mingi tu iliyopita na mpaka Sasa kuweza kucontrol temperature ya 1 million Kelvin Ni ndoto za abunuasi

Na kwa fuel cell ya hydrogen artificial photosynthesis tu ndo only hope
 
Kweli mkuu👏👏
👏
 
Unatuchosha mzee.
Price haijabadilika ni ile ile so nakuuliza kwanini Revenue imeongezeka!?
Kwa kukurahisishia jibu ni kwamba Sales imepanda, maana yake consumers wananunua zaidi.
Simple arithmetic.
Labda upumzike kidogo kuondoa uchovu? Ndiyo, hisabati ya kimsingi. Wakati bei zinapanda, muuzaji anaongeza mapato. Ninarudia picha ya bei. Unaweza kusoma hiyo?
Ukiwa na nyingine, acha mahubiri, lete data na chanzo (data na chanzo unaelewa?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…