Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).Na kwa taarifa tu hakuna kifaa chochote kwenye dunia hii ambacho Urusi atengenezi.kama kipo nitajie.mashine yoyote unayoijua wewe basi Urusi anatengeneza
Putin amefanya hesabu zake maridhawa. Amesogeza kete zake kwa mazingatio. Kila kitu kipo kwenye mpango.Absolutely, na kama ntakuwa sijapelea sana kwenye data ni kua Russia ana supply about 20% hivi ya Uranium EU kote...
Sasa hapa [emoji23]
Gas and Oil over 40%
Uranium Over 20%
Mbali na hayo Wheat, Barley, Sunflower Oil, Woods, fertilizer, Nyama na madini mengine adhim wanatoa Russia...
Hao hao wanamwekea vikwazo tena [emoji23][emoji23][emoji23] nawaza Putin angekuwa na jazba ka za Hayati wetu wa Chato yan ile mbwai na iwe mbwai... EU wangerudi stone Age kitambo mno.
Ukipenda tuendelee acha mahubiri lete DATA na TAJA CHANZO.Mwana unaniletea Statistics za OPEC huku ukiongelea Urusi!? Kweli mwanangu.
Urusi hayumo kwenye ushirika huo wa OPEC mwanangu.
Nimekuambia kwamba Urusi hajabadili bei ya mafuta lakini mapato yake yameongezeka.
Nimekuuliza kwanini mapato yameongezeka!?
Mzee nenda kajifunze huijui Urusi.Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).
[emoji3] ndio that's why bei ya furnitures sa hivi zimepea, sio TZ bali UK na EU kwa ujumlaUmeongelea issue ya kuni ikabidi niende nikafukunyue kidogo.
But Russia does not only have large fossil reserves, it is also sitting on by far the largest forest in the world. With around 815 million ha of forest it almost doubles the Brazilian Amazon and amounts to about 25% of total global forests. Now with the ban on trade with Russia, the question comes up: how much wood and wood products is the EU importing from Russia and can we do without it?
Tafadhali usilete copy-paste hivyo kama swali ni tofauti. Niliuliza: je sekta hii ina umuhimu gani? Thamani yake kwa $€ au rubel?Most of the 32 europian countries that use nuclear power rely on Russia for some part of their nuclear fuel supply chain.
Hivi hii post watu wameipa like kwa vigezo gani?!!!!Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,
Pili jeshi la Tanzania linatumia SMG kama Standard ya Silaha zake na Si AK-47, ukiona AK-47 kwa Askari wa Tanzania hiyo ni special case, pia Hizi Silaha tunanua China.
Ndege nyingi zilizopo kwenye Air force yetu ni msaada au zinatoka China, binafsi sijawahi kuona Russian planes kwenye Jeshi letu, kama umewahi kuziona unaweza kupiga picha...
Pili zile Helicopters za Jeshi unazozionaga zinatoka France, kama umewahi kuona zinatoka Russia ungeweka na reference.
Pia ingekuwa vizuri kama ungeelezea 90% imefikaje
Elezeana hii coco reborn.Hii propaganda nadhani niliimaliza kumbe bado ipo, China ndo inaongoza kwa kuwauzia silaha, urussi imeshindwa mpaka na Israel. Hapa Africa Nchi zinazopewa mafunzo ya kijeshi na Urussi ni chache mno kutokana na bajeti yao ndogo. Marekani / china/Uingereza wanaongozaa kwa mafunzo na misaada Tanzania.
Wewe mzee hujui kitu chochote. Lakini ngoja nikufundishe tu kwa faida ya wengine.Ukipenda tuendelee acha mahubiri lete DATA na TAJA CHANZO.
OPEC inatawala soko na Urusi pamoja na Marekani zinafuata, ilhali Urusi siku hizi inapaswa kuuza mafuta yake nafuu kidogo.
Kawa outsmart mno... tena mnoo hawa wababe uchwara [emoji23]...Putin amefanya hesabu zake maridhawa. Amesogeza kete zake kwa mazingatio. Kila kitu kipo kwenye mpango.
Alijua akilianzisha watamuwekea vikwazo. Na zaidi watasusia bidhaa zake hasahasa gesi na mafuta.
Akapambana kumbakisha Assad na Maduro. Muweke Trump kwa ofisi atibue dili la nyuklia na Iran, Iran irudi kwenye vikwazo. Hapo ulaya hawana option nyingine.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mtoto wa chekechea nikutafunie kila kitu. Mwana Urusi huijui. Jifunze kwanza uifahamu urusi ndio uje tujadiliane. La sivyo utakuwa unaleta issue za watoto wa chekechea.Tafadhali usilete copy-paste hivyo kama swali ni tofauti. Niliuliza: je sekta hii ina umuhimu gani? Thamani yake kwa $€ au rubel?
Mkuu umeuliza swari gani hili?Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).
Porojo za vijiweni hizi mkuuHata hivi wamekufa wanajeshi wachache sana kwa sababu kipindi kile vita inaaza urusi ilipeleka wanajeshi wake laki moja wa kuanzia tu. na wote walipanga mstari kama wanaenda kufyeka migagi.
Kwahiyo wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajipigia tu.
Urusi alipo ona mambo magumu ikabidi aanze kukodi majambazi Syria.
Kwenye hii vita urusi alivyo pigana inachekesha sana.
Kwa hiki kisa cha Solomon na China,USA ni taifa lisilo na aibu hata kidogo.Kwenye historia pia nahisi utakuwa umeenda mbali sana... mpe tu mfano ulio hai hivi sasa...
China na Solomon wamesign security deal ya pamoja, US na Australia ambao wapo thousand of mile kutoka Visiwa vya Solomon wanamtishia kumpiga kisa mahusiano yake na China wakidai n threat kwao...
Je huko sio kuingilia Sovereignty ya Taifa jingine lililo huru? Deal liwe kwa China na Solomon kwao ligeuke kua threat? Je hizo bloc wanazotengeneza wao sio threat kwa wengine?
Na kama wako sawa na sio kuingilia Sovereignty ya taifa hilo... kama wao wameona threat thousand of mile kutoka kwenye mipaka yao je vipi kuhusu huyu Russia kwa hili kundi linalotaka kukaa kwenye kibaraza chake?
Kwanini kunya anye kuku akinya bata kaharisha... Hii double standard ya nini ka kweli mnaipenda na kutaka kusimamia misingi ya haki?
US aliona kua kuna tatizo Iraqi mile zaidi ya ef 11 kutoka kwake, na akavamia akalipua akamnyonga Rais wa watu kwa kisingizio cha WMD... Weapon of Mass Destructions walizodai hazikuepo na hakuna aliyezungumza zaidi waliishia kuiba mafuta na dhahab walizozikuta...
Obama huyo hapo kisa Gadaffi kutoa proposals ya matumizi ya Gold standard ka mbadala wa dola akafatiwa kuvamiwa na jeshi la NATO hapo na kumuua... Hakuna waliozungumza na mwisho Obama anatunukiwa tuzo ya Amani mikononi akivuja dam za wasokua na hatia...
Leo hii huyu yupo anapigania usalama wa nchi yake dhidi ya hao hao warmongers kutoka western tunasimama kumuita kichaa [emoji52] kisa UK na US wamessma... so interesting.
Eeh sasa to know hili ni zuri na hili ni baya tunatumia standard ipi? Tupunguzeni unafiki na ifike hatua walau sie watu weusi tuwe na courage ya kuita nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe and not otherwise bila kujali nani aliyefanya...
Kwa mtu mwenye akili timamu ingetosha tu kutizama list ya wanao'msupport zelensky ni watu wa aina gani na haraka kujitenga nae...
US anadai anataka kulidhoofisha jeshi la Russia, huku mswahili Poporipo anaona Zele anapigana kutetea nchi yake...
Kama kweli kuna watu wako huru na halmashauri za vichwa vyao haikutosha tu kujiuliza kwanini solidarity wanayoifanya Western kutoka US na EU kwa Ukraine dhidi ya Russia haikuwah kufanywa kabla ilhal kila leo kuna migogoro kila kona za dunia? Why Ukraine tu na sio sehem zingine? Mmmh?
Wengi tutafika tumechoka sana kwenye hii safari ya matumaini. [emoji23][emoji23][emoji23]
It's okay kufuliwa kupikiwa hata kuogeshwa vile vile ila ikifikia hatua mtu unaanza kupokea msaada wa kufikiria, yan someone think and decide on your behalf... ni huo mda tu huwa tunakuwa hatuna tofauti na MISUKULE.
Mbona unaleta picha ya ndege MC-21 ambayo hali halisi hakuna abiria anayeweza kupanda? (ukipinga nionyeshe flight plan yake! - shiika gani? kwenda wapi? saa??) Hadi sasa walishindwa kuitengeneza kitasnia, hadi sasa ni ndege chache zilizotengenezwa kwa majaribio na ukaguzi. Tena wanahitaji kutafuta injini mpya maana waliipanga kwa mota ya Pratt&Whitney. Tena walitegemea aina za plastiki/metali kwenye mabawa ambayo hawawezi kupata tena kutoka Marekani, hapa walisema juzi tu waliunda mbadala. Elektroniki yote walitegemea makampuni ya marekani kama vile Rockwell Collins, Honeywell, Thales, Elbit Systems na UTC Aerospace Systems.Mzee nenda kajifunze huijui Urusi.
Urusi kila kitu anatengeneza yeye mwenyewe.
Urusi ndio nchi ya kwanza kutuma kifaa mwezini.
Ngoja tu nianze kidogo kukutoa tongotongo. Nakusaidia tu.
Tuanze na hapa:- MC-21
View attachment 2205378
Je unajua kampuni kubwa ya magari Urusi ni ipi? Unajua ni mali ya nani na ni nani walioleta tekinolojia huko?Brother naona unaongea vitu usivyovijua kabisa.makampuni ya magari yaliyondoka Urusi yalikuwa yanatengeneza magari ndani ya Urusi na kuuza urusi kwa sababu ni biashara ya kimataifa inataka ivyo wala sio kwamba Urusi hakuna kampuni za kirusi za kutengeneza magari.
Kwa iyo kuondoka kwao kunawapa faida kampuni za nyumbani kuuza kwa asilimia 100 wakati labda mwanzo walikuwa wanauza asilimia 50.na Uzuri wa izi kampuni za kirusi kila kitu kinatoka urusi wala hakuna hata spare inayotoka magharibi
Pole, watu wana husda sanaNa mm walifanyia fitina account pendwa kisa nilikuwa nasikitika
Umeulizwa swali hata AKA 47 Huijui mwanangu!?Mbona unaleta picha ya ndege MC-21 ambayo hali halisi hakuna abiria anayeweza kupanda? (ukipinga nionyeshe flight plan yake! - shiika gani? kwenda wapi? saa??) Hadi sasa walishindwa kuitengeneza kitasnia, hadi sasa ni ndege chache zilizotengenezwa kwa majaribio na ukaguzi. Tena wanahitaji kutafuta injini mpya maana waliipanga kwa mota ya Pratt&Whitney. Tena walitegemea aina za plastiki/metali kwenye mabawa ambayo hawawezi kupata tena kutoka Marekani, hapa walisema juzi tu waliunda mbadala. Elektroniki yote walitegemea makampuni ya marekani kama vile Rockwell Collins, Honeywell, Thales, Elbit Systems na UTC Aerospace Systems.
Sijaona habari za mwisho lakini naona makampuni hayo hayataweza kuendelea na mikataba yao.
(halafu ukitaka kuniambia tena "Urusi inatengeneza kila kitu" - tuambie kwa nini waliagiza vitu hivi vyote Marekani???)
Kwa hiyo uzalishaji halisi utaendelea kuchelewa. Hii ni sababu kwamba waliamua kukamata ndege mia kadhaa za Airbus na Boeing ambazo ziliazimwa kutoka makampuni ya magharibi ili waweze kuendelea na usafiri ndani ya Urusi.
Hadi sasa MC-21 ni kama kifaru cha T-14 au ile Sukhoi-57 ambazo hazipo hali halisi, kuna mifano michache kwa paredi na maonyesho, lakini si kwa matumizi halisi.