Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kamanda wa Garison inayotetea jiji la Mariupol ambalo limehatekwa na Urusi amemuomba raisi Erdogan wa Uturuki asaidie kuokoa kikosi chake pamoja na raia walijificha pamoja nae ili waende Uturuki wakiwa salama.Katika barua yake hiyo kwa njia ya mtandao wa kijamii kamanda Serhii Volynsky amesema jeshi la Uvamizi la Urusi limewazingira na bado linaendelea kuwashambulia yeye na kikosi chake cha wanajeshi 600. Amesema wameishiwa na chakula na kumejaa majeruhi miongoni mwa askari na raia wakiwemo watoto wachanga. Ameongeza kwamba wamekuwa katika mapigano kwa takriban siku 65 sasa.
 
Kwani wao hawana izo nuc weapons? Au hawana uwezo wa kuzifikisha hapo urusi?

Kwa akili ya kawaida tu nchi za ulaya na Urusi wapigane kwa nuclear nani atadhoovishwa?
Hilo swali aliulizwa yule dada akasema kwa kasi ya ICBM hawawezi kuzungumzia kuhusu kujibu mapigo kwani baada ya sekunde hizo visiwa vya Uiengereza vitakuwa vikitafutwa kwenye ramani wapi vilikuwepo.
 
📊 In total, since the beginning of the special military operation, 142 aircraft, 112 helicopters, 658 unmanned aerial vehicles, 279 anti-aircraft missile systems, 2656 tanks and other armored combat vehicles, 307 installations of multiple launch rocket systems, 1189 field artillery guns and mortars, as well as 2492 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
 
Maliza hao takataka Putin
 
Shida nn si wameambiwa wajisalimishe? Na kwann wanaendelea kushikilia kina mama na watoto? Wapambane kiume wafe kiume waache kujificha nyuma ya kivuli cha raia…
 
Ndio maana tumemuuliza pia kama RT NA TBC ni state owned vipi kuhusu Aljazeera,Dw, BBC, CGTN zinamilikiwa na nani kama sio nchi zao!!?? Mbona hizo anasikiliza na kuziamini!!??
 
Suala la kiamini au kutoamini ni utashi wa mtu binafisi maana hata usipo amini haliondoi ukweli wa hiyo habari.

Ni sawa na chombo cha habari kitangaze ya kwamba Magufuri alisha kufa sasa ww una uhuru wa kuiamini au kutoamini hiyo habari, lakini kivyovyote vile kuamini kwako au kutoamini kwako hakutabadilisha ukweli kuwa JPM kaisha kufa.

Na ndio maana kuna vyombo vya habari vyenye mlengo tofauti ili ukitilia shaka habari kutoka chombo cha mlengo fulani basi nenda kaitafute taarifa hiyo kwenye chombo cha habari cha mlengo mwingine.

Na ndio maana baada ya ww kukataa kuamini habari ya RT nikakuwekea habari kama hiyo kutoka BBC chombo chenye mlengo tofauti na kile usicho kiamini ili ulinganishe.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
@Nyamizi
 
Hongera kaka
Ila kazi unayo huyo jamaa huyo[emoji54][emoji54][emoji54]
 
MKUU nazini kukuonea huruma ujue huyo bwana anaelewa ila haelewi
 
Mkuu Russia sio member wa OPEC. Asante.
 
Chess game. Hii kitu jamaa naona walianza kupanga muda mrefu sana na iys going on their favor.

Nahisi ndo maana Putin alisema na hawataomba vikwazo vitolewe, alikuwa anajua nini anakiongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…