Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Daaah kwakweli[emoji22][emoji22][emoji22]Hata mimi na hofu sana. Kunahitajika umakini mkubwa sana. Hili nalo ni jaribio kwa Putin. Yasije kuwa kama yale ya Anwar Saadat wa misri. Alipigwa risasi na mmoja wa wanajeshi waliokuwa kwenye gwaride wakati akilikagua.
Kwa kawaida wakati wagwaride bunduki walizobeba zinakuwa hazina risasi. Ila yule askari aliyemuua Saadat aliweka risasi.
Putin kuwa makini muda huu. Dunia inakuhitaji.
Wacha weeTop news for the day:
- pensions will be automatically indexed by 8-9%, no action is required from the citizens themselves, said Svetlana Bessarab, a member of the State Duma Committee on Labor, Social Policy and Veterans Affairs;
- the seizure of Russian assets by the West is chaos and robbery in the best traditions of the Wild West, said Russia's permanent representative to the UN Vasily Nebenzya at a meeting of the organization's Security Council;
- The Russian Embassy in Washington called on the United States to destroy its chemical arsenal, following the example of Moscow.View attachment 2214001
Ndani ya hizi siku 5, toka May 2 hadi Jana May 7 zimetua takribani ndege 100 za kivita zikishusha silaha hapo Poland kuingizwa Ukraine.
Lakini ajabu walioko front wanalalamika silaha hawana, Mmoja wapo ni yule Sniper Wali niliyemnukuu jana kwenye ile video yake...
Kwamba βThere was a tank regiment behind the landing. My friend and I only had one Javelin. We were in position when a Russian tank hit us. I was confused for a while. When I came to, my friend was lying next to me. He had no legs, he was bleeding..." Note hapo kwenye Javelin... Hizo silaha zinaenda wapi?
Na kingine ambacho nilisahau kukisema jana kutoka kwenye hiyo Video ya wali, kuna jamaa aliyekuwa pembeni ake, I bet ni his Companion akawa anasema "it's mostly US Marines in our unit getting killed every day and the living US Marines primarily spend days cleaning up the dead."
Ukiiangalia hiyo kauli inatosha kabisa kujieleza kua Russia anapigana na nani Ukraine.
Duh yani 100 ndani ya siku 5, that's an avarage ya ndege vita 20 kwa siku zikitua na silaha. Na hawajawai kukomboa mji hata ule wa kusingizia. Na every day wanadai Russia is Advancing π
Their economies are shrinking more n more kila siku, Yet these morons wanaendelea kutupa pesa zao into a black hole called Ukraine. Sizan hata kama wanajali kuhusu kushinda au kushindwa, zaidi ya kutengeneza pesa tu kwa hawa elites na hizi Military Complexes za US.
Na shida nayoihisi ni nani ataja lipa yote haya? Ukaine huyu anayedai deficit ya budget ya $7B kwa mwezi na $600B kurejesha kila kilichoharibiwa? Ha ha sure as fu*k is not gonna pay yote hayo πͺ
The Globalist are pissed, their world domination has been stopped by Jembe Vladeeeeeeeeee Putin...
Zaidi ukitizama namna US na wenzao wanavoshiriki unaweza feel as if tupo kwenye Cold war nyingine. Na this round, I have a feeling that Russia will beat the West... Enzi zile Brezhnev alikuwa weak neither very smart kiviiile... This time they will have to deal with de π», Wakati Putin plays chess while Dementia Joe huko can hardly play checkers...
Oh sh!t wait, Huyu Biden doesn't even remember what checkers are at this point... Serikali iko busy ku'middle in a meaningless war, at the same time hundreds of thousands ya wamarekani wako homeless na Millions kati yao wakiwa hawana health care.
Just imagine kama wangetumia hizo resources zote katika making America a beeter place huku wakiwaacha Russians na Ukrainians mend their problems by themselves?
Na mwisho kwanini tunamwona Putin yuko smart kuliko hiki kikosi cha waimba taarab wa No Action Talk Only? Ni hivi... Wakati Viongozi wao wakiwaambia ni wakati sasa wa kutoka ndani wazime Taa, mara wakitumia Kettels wasizijaze hadi juu...
Putin anawaambia haya watu hao kwa unyenyekevu... Sasa nani kichaa kati yao
View attachment 2216288
Urusi inasema hakuna hata General wao mmoja kafa huo ni uwongo wa USA
Anamwambia asizidishe yeye kama nani pale India?US hajamzuia India kununua gas toka Russia bana. Amemwambia asizidishe tegemezi ya oil & gas from Russia.
Hata Mimi Nina wasiwasi huenda kukatokea shambulio la kigaidi toka kwa wa Ukraine kwa ufadhiri wa
Have you ever heard of an imposter?Hata mimi na hofu sana. Kunahitajika umakini mkubwa sana. Hili nalo ni jaribio kwa Putin. Yasije kuwa kama yale ya Anwar Saadat wa misri. Alipigwa risasi na mmoja wa wanajeshi waliokuwa kwenye gwaride wakati akilikagua.
Kwa kawaida wakati wagwaride bunduki walizobeba zinakuwa hazina risasi. Ila yule askari aliyemuua Saadat aliweka risasi.
Putin kuwa makini muda huu. Dunia inakuhitaji.
Najua basiUna ushahidi gani kwamba ni shambulizi la kigaidi au nyie ndio wazee wa ramli chonganishi.
Labda huna habari,mpaka sasa hivi warusi washaweka viongozi kabisa huko.Tangu Russia itangaze phase 2 tunamaliza Mwezi hata Mariopol haijaanguka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye mwenyewe hajuiTudadavulie apo unaposema mkisia alarm mkae tayari.
Mambo mazuri hayataki harakaTangu Russia itangaze phase 2 tunamaliza Mwezi hata Mariopol haijaanguka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
taka taka tupuPutin ni mtu mzuri sana, ni kiongozi wa kuigwa kwa dunia ya sasa, nyinyi hamumpendi kwa sababu mnasuport marekani ambao wao wanadamu za binaadamu wengi, wao ni chanzo cha migogoro yote duniani, sisi wenye akili tunawapongeza sana kwa kufyeka magaidi
Tangu Russia itangaze phase 2 tunamaliza Mwezi hata Mariopol haijaanguka ππππ
VizurNaona huujui mgogoro huu kwa undani,chanzo,sababu na haki za Urusi,
Ukraine kaingizwa choo Cha wanawake.
Nilikuambia vita hii Urusi kachokozwa na mchokozi ni Marekani tutakaa mwaka mzima hutanielewa.
Kuna vitu vingine huwezi elewa Hadi ujue historia.
Habari njema sana kwa kweli, sasa hao makuruta waliobaki humo wanasubiri nini kunyoosha mikono.Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha kama panya huko Mariupol.
Aisee wanajeshi wa Russia wanajua kushambulia vizuri, yaani viongozi wa kijeshi wa Ukraine wanaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama panya buku au digidigi, halafu wakipata chansi wanakimbia uwanja wa vita na kuwaacha makuruta[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji38]
Taarifa hizo za kukamatwa viongozi hao zimethibitishwa na chombo cha habari cha Ukraine, Pravda, baada ya kuwasiliana na wanajeshi wengine wa Ukraine waliojificha kama panya huko Mariupol.
========
View attachment 2216674View attachment 2216675View attachment 2216676
Putin nilisoma naePro Russia Kuna hazina ya analyst aisee.
Wewe jamaa hizi akili sio zako aisee.
Kwa kifupi Mimi vita hii ikiisha kwa nmna yoyote ntakua profesa kabisa ,maana sio kwa darasa hili.
Wewe jamaa hujaandika maoni Yako Bali unatufundisha bana.
Hizi ndo facts ninazozisema ambazo watu tunatakiwa tuwe nazo katika mijadala kama hii.
Haya ni maoni mazito sana.kwa kifupi Putin sio mtu Mzuri,kaamua TU kwa makusudi na ukorofi wake kuwavua Boxer Marais takrinan 40 wa "jumuiya ya kimataifa".
Dunia inashuhudia mambo ambayo haikutegemea kushuhudia.
Operation TU hivi,
Vipi Ingekua full scale war?
Rais wa taifa kubwa kabisa duniani anashauri watu wake wapande baiskeli kweli ili kupunguza gharama za mafuta.
Putin baba,acha "kuidhalilisha jumuiya ya kimataifa"