Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In France, Interpol President Ahmed Nasser al-Raisi is suspected of involvement in torture.

This was reported by BFMTV, citing sources. According to the channel, the judicial investigation against the major general from the UAE was launched back in March.

It was reportedly initiated by the National Anti-Terrorism Prosecutor's Office, which received complaints from two British citizens. In addition to torture, we are talking about arbitrary detention, RIA Novosti clarifies.

The incidents being investigated by the Paris investigating judge date back to 2018 and 2019.

 
Czech President Milos Zeman allowed 103 Czech citizens to join the Ukrainian Armed Forces, CTK reported, citing the press service of the Czech leader.
 
Hili pia aulizwe na MKUU Tsh
Boss, kwa maoni yangu mfumo wa ulipaji sidhani kama unaingia kwenye deni la taifa moja kwa moja katika ukubwa wake bali rasilimali za nchi iliyo vitani zinaumuhimu hapa. Naamini kabisa kuwa, Vita vina faida kubwa sana kwa matajiri wanaowekeza kwenye vita. Na katika hili lazima kuwe na ground fight, wanajeshi waingie kisiri au waziwazi na kabla lazima kuwe na muda mrefu sana wa kuhakikisha kuwekeza hapo kutalipa.
 
Ule msafara uliokuwa unaelekea Kyiv unakumbuka uliishia wapi?
STRUGGLE MAN
 
Tell em hawa mashabiki wa Putin, kitu kidogo matusi Kama yote wakihisi watu watakubaliana nao kwa matusi..[emoji706]

Huwezi kuonekana smart na mwenye hoja kwa kutukana instead of kudefend kile unacho kiamini.
 
Russia ipo hoi huko Ukraine, huo uwezo wa kuivamia Sweden itaupata wapi ?
 
It's okay kutofautiana msimamo wa nani yupo sawa juu ya kile kinachoendelea Ukraine kutokana na utofauti wa wingi wa taarifa kila mmoja alizonazo.

Ni sawa mtu kulaani warusi kuingia Ukraine, lakini ni Upumbafu kulaani warusi huku ukipongeza matukio yanayofanywa by US and it's allies ndani ya NATO.

I think it's okay ku-report some losses from Russian Army, but to believe Ukraine is winning ni kujitoa ufahamu wa hali ya Juu.
 
Russia ipo hoi huko Ukraine, huo uwezo wa kuivamia Sweden itaupata wapi ?
Nchi zote za NATO na EU zinaiogopa Russia kwa kuwa wanajua wanamiliki Nuc na kwa hali ilivyo Putin anaweza akaitumia popote. Sasa kila m1 anaangalia tu. Russia angekuwa hana nuc wallah nakwambia Nato wangeshamnyoosha. Wangeshaipiga mpaka Moacow. Lakini nani wakumfunga paka kengele? Wamebaki kubweka kama mijibwa koko isiyo na meno.
 
Tayari bomba la mrusi kupitia baharini kwenda ujerumani lilishakamilika, hapo wanaokomolewa ni ulaya sio mrusi
 
Tayari bomba la mrusi kupitia baharini kwenda ujerumani lilishakamilika, hapo wanaokomolewa ni ulaya sio mrusi
Mrusi zaidi wewe ,ulaya wameanza kutafuta altenative. Unafikiri ulaya ni Tz .Mnasubiri akili za waziri wenu which has no long term solution. Mafuta yakipanda nao wanalialia kama mimi
 
Well said, zaidi ni sawa vile vile kudai vikwazo vina athari kwa Russia, ila kukana kua havina madhara to the rest of the world hasa watoa vikwazo wenyewe ni kujifanyia uhaini wa kimawazo.
 
Tell em hawa mashabiki wa Putin, kitu kidogo matusi Kama yote wakihisi watu watakubaliana nao kwa matusi..[emoji706]

Huwezi kuonekana smart na mwenye hoja kwa kutukana instead of kudefend kile unacho kiamini.
Yaani umeweka msumari wa.moto.Kunywa soda nilipie
 
Champagnee inakuhusu hii Mr Printer 😂, then kwa Tsh ukisoma haya maelezo chini ya exPresident wa Russia yanarejea kwenye ile issue tulowahi zungumza huko nyuma... Russia sio kwamba hajui mbinu za US dhidi yake... Ni swala la mda tu tutaona kila mtu matokeo yake.

🇷🇺❗Dmitry Medvedev: The goal of US assistance to Ukraine is to continue the proxy war against Russia, the desire to inflict a heavy defeat on our country, limit its economic development and political influence in the world.

Will not work. Their printing press, due to which America is constantly increasing its already inflated national debt, will break faster. But the goals of the special operation will be achieved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…