NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Invasion ya Ukraine ni catastrophic failure ambayo itakumbukwa milele. Russia alitangaza malengo yake Ukraine ni denazification na demilitarization. Kwanza unaanzaje Ku denazify Nchi inayoongozwa na Jews, hii si ni kinaya. Kwanza Neo Nazis ni wengi Russia kuliko UkraineOk taratibu.
Kutoka kwenye majibu yako itoshe kukiri kua kusema kua Russia failed in Ukraine is Propaganda. Cuz you can't claim something that's doesn't exist. Hujui malengo yao, huna time frame ya Operation so how come umejua au mmejua kua mipango imebuma?, it's insanity claiming Russia failed in Ukraine while you know not of their plan.
Ndani ya wiki kadhaa USA ilikua imeshashinda vita Afghanistan, Taliban waliondolewa madarakani, ila USA isingejiondoa mbio mbio manake walikua wameweka Serikali mpya ambayo ilihitaji kulindwa na kupewa mafunzo.Second, Wadai kua hoja ya NATO miaka 20 Afghanistan ni ya Hovyo. Yes ni ya HOVYO kutoka kwenye fikra zako. But to the rest ina mashiko why? Cuz its Reality, NATO took 20yrs in Afghanistan fighting against Taliban. Yet they didn't win.
If not, go back to your source. Tafuta ni Vita gani walivyopigana kwa mda mrefu zaidi kwenye historia yao. Probably utapata kua ni Afghanistan, 5 months more than Vietnam.
Taliban kabla kuvamiwa walikua serikali kamili kwahio kuwaondoa madarakani ni ushindi mkubwa manake kikundi hicho kilidhoofika, hawana pesa, hawana silaha na hawana sympathy ya raia kama hapo mwanzo. Wakapoteza nguvu zao za kijeshi na ikabidi waanze kuvizia vizia soft targets.Third, You said that US/NATO invade Afghanistan kupigana na hao magaidi after September 11 attack, there after you want us to believe kuondoa Taliban madarakani ulikuwa ni ushindi kwao na sio kuliangamiza hilo kundi la Taliban.
Let say yes kuondoa madarakani ilikuwa ushindi, can you tell us nini walichokua wakifanya mda wote wakiwa hapo? Can you tell us how Taliban up to today wako hapo? Walikuwa wakisaidiwa na Taifa gani? Unasoma history? Tueleze kwanini majarida na vyombo vyote vya habari including wikipedia wrote that Taliban walishinda vita hivyo?
As far as we know, ni kua walivamia kuwapiga hao magaidi na kuwatokomeza kabisa. Swali hicho kikundi kinachodaiwa cha magaidi kimeisha? Why a war have ended with them to regain Power? Is that what you claim to be a Winning by US/NATO?
Hio miaka 20 Ilikua kuifunza serikali mpya ya Afghanistan jinsi ya kujitawala,America ilipoona kwamba muda umefika wajitegemee wenyewe wakajitoa. Lakini serikali mpya ikazidiwa ndani ya wiki moja. Alafu nataka ujue kwamba Taliban ya sasa ni tofauti na ya 2001, it doesn't pose any danger to USAAgain can you tell us why they claim it took 20yrs the same thing ambacho wewe unaona ni cha hovyo?
Can you tell us how long it was? If really sio 20yrs?
Bila kusahau majenerali wake. Na kipindi kile alikiri kupoteza hao 1500 ilikuwa bado Ukraine hajaanza kufanya mashambulizi kwa vifaa vya russia vya kivita hasa meli na base zingine.Unadhani Putin atakwambia ukweli? Kama Kwa week 2 alikiri kupoteza 1500 je Sasa Hivi week ya 10 ni wangapi haha
Op sio ya hovyo bali nyie hoja zenu ndizo za hovyo.Ok taratibu.
Kutoka kwenye majibu yako itoshe kukiri kua kusema kua Russia failed in Ukraine is Propaganda. Cuz you can't claim something that's doesn't exist. Hujui malengo yao, huna time frame ya Operation so how come umejua au mmejua kua mipango imebuma?, it's insanity claiming Russia failed in Ukraine while you know not of their plan.
Second, Wadai kua hoja ya NATO miaka 20 Afghanistan ni ya Hovyo. Yes ni ya HOVYO kutoka kwenye fikra zako. But to the rest ina mashiko why? Cuz its Reality, NATO took 20yrs in Afghanistan fighting against Taliban. Yet they didn't win.
If not, go back to your source. Tafuta ni Vita gani walivyopigana kwa mda mrefu zaidi kwenye historia yao. Probably utapata kua ni Afghanistan, 5 months more than Vietnam.
Third, You said that US/NATO invade Afghanistan kupigana na hao magaidi after September 11 attack, there after you want us to believe kuondoa Taliban madarakani ulikuwa ni ushindi kwao na sio kuliangamiza hilo kundi la Taliban.
Let say yes kuondoa madarakani ilikuwa ushindi, can you tell us nini walichokua wakifanya mda wote wakiwa hapo? Can you tell us how Taliban up to today wako hapo? Walikuwa wakisaidiwa na Taifa gani? Unasoma history? Tueleze kwanini majarida na vyombo vyote vya habari including wikipedia wrote that Taliban walishinda vita hivyo?
As far as we know, ni kua walivamia kuwapiga hao magaidi na kuwatokomeza kabisa. Swali hicho kikundi kinachodaiwa cha magaidi kimeisha? Why a war have ended with them to regain Power? Is that what you claim to be a Winning by US/NATO?
Again can you tell us why they claim it took 20yrs the same thing ambacho wewe unaona ni cha hovyo?
Can you tell us how long it was? If really sio 20yrs?
Wakati mwingine mfiche ujinga wenu PRONATOAMERICA..... Si wapo vitani ... Si walipue tu hiyo miundombinu ... Maonyo maonyo mavikwazo vikwazo na bado wananunue ...aseee nyie ni wehu sanaHakuna gas kukatiza ardhi ya Ukraine kwenda kwa baadhi ya wapuuzi wa Ulaya ambao bado wanasita sita kama Hungary na Germany 👇
View attachment 2221439
Huwa hatukurupuki kama vichaa wa Putin 👇Wakati mwingine mfiche ujinga wenu PRONATOAMERICA..... Si wapo vitani ... Si walipue tu hiyo miundombinu ... Maonyo maonyo mavikwazo vikwazo na bado wananunue ...aseee nyie ni wehu sana
Mamaaamaeeeee aseeee ...... Huyu wakuignore sasa . ..Na Ukraine yupo Zelensky na anampelekea moto putin hatareee na meli kailipua na Kyiev kamfurusha na wenye hela yaan western washampiga vikwazo vya nguvu urusi kabaki analialia tu.
Na urusi anaihara NATO hatareee ndo maana hataki ukraine ijiunge NATO maana anajua hatari yake. So kama manhataan waliiba germany so ni akili ya western hapo inatawala tena ya jews.
We unacheze na nchi kama US ambayo ina kambi za kijeshi nchi mbalimbali inafadhili miradi mingi ya maendeleo duniani. Haya Finland inayo inataka kujiunga NATO......
Leteni tena Kwa wingi ........
Elimu ya kawaida tu:Hiz taarifa unazitoa wapi
Kama huwezi kuvumilia upepo, kaa ndani. Ukiamini unaweza kuamrisha watu - endelea kuota ndoto.Mimi huwa sijadiliani na watu wa mipasho. Pita kushoto mwana, usitafute attention kwangu.
Can you submit your claim here so as they can change what a history have written? War in Afghanistan (2001–2021) - WikipediaInvasion ya Ukraine ni catastrophic failure ambayo itakumbukwa milele. Russia alitangaza malengo yake Ukraine ni denazification na demilitarization. Kwanza unaanzaje Ku denazify Nchi inayoongozwa na Jews, hii si ni kinaya. Kwanza Neo Nazis ni wengi Russia kuliko Ukraine
Ndani ya wiki kadhaa USA ilikua imeshashinda vita Afghanistan, Taliban waliondolewa madarakani, ila USA isingejiondoa mbio mbio manake walikua wameweka Serikali mpya ambayo ilihitaji kulindwa na kupewa mafunzo.
Taliban kabla kuvamiwa walikua serikali kamili kwahio kuwaondoa madarakani ni ushindi mkubwa manake kikundi hicho kilidhoofika, hawana pesa, hawana silaha na hawana sympathy ya raia kama hapo mwanzo. Wakapoteza nguvu zao za kijeshi na ikabidi waanze kuvizia vizia soft targets.
Hio miaka 20 Ilikua kuifunza serikali mpya ya Afghanistan jinsi ya kujitawala,America ilipoona kwamba muda umefika wajitegemee wenyewe wakajitoa. Lakini serikali mpya ikazidiwa ndani ya wiki moja. Alafu nataka ujue kwamba Taliban ya sasa ni tofauti na ya 2001, it doesn't pose any danger to USA
Huyu si great thinker ni mobutu sese seko kuku ngbengu wa za bangaAseee......eti Na huyu ni Great thinker..,