Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari za picha.Ukraine wana wasaidizi wazuri wa propaganda.Kama batallion nzima inaangamizika kihivyo kusingekuwa na vita tena.
 
Hii kauli inaonesha nani anaongoza huko field
 
Huko Russia leo ni moto tu[emoji91][emoji91]

In Russia, a pipe plant caught fire in the Sverdlovsk region. The circumstances of the fire are being specified.

Video[emoji116]
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 2_5472015349895403418.mp4
    647.2 KB
Woote wataziachia nisuala la muda tuu
 
Nukta moja muhimu ameisahau.Nayo ni kudhoofika kwa Ukraine kutaidhoofisha sana Israel na itakuwa ni fursa wapalestina kuongeza nguvu kupambana na madhalimu wao wa takriban karne nzima.

Mwendo mdogo mdogo hii vita inayochochewa na NATO chini ya Marekani italeta balaa na faida kwa wanaoonewa.
 
Uzuri wa Ukraine akikupiga analeta na picha. Lakini hawa wengine wanasema wamelipua meli 3, ndege 4, helicopter 3, drones 30 za Ukraine pale snake island lakini hakuna picha hata moja.
Haaa kwanza ukraine hawakuwa na hivyo vifaa ndio wanapewa sasa washabiki wa Putin wee acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…